CHADEMA ya washika wafuasi wa CCM wakiendelea na Uandikishaji Ubungo

mmmh mashabiki wa mnyika mna mambo? why ubungo ? halafu wameona gari la chadema wakakimbia? walikuwa wapi? barabarani au? aliyekuwa anawangalia hao jamaa na gari la chadema nani? alikaa wapi? akashuhudia watu wenye daftari la kupiga kura wakikimbia huku gari ya chadema ikija mmmmmmh
mmh yaani acha tu siasa zitatuua na tutasikia mengi sana mwaka huu ......huu ni mwanzo
 
huwo ni mtazamo wako kamanda kwani unapo ambiwa gari ya chadema, si huwa unaitambua kwa rangi au kwanamna yoyote ile, kuwa siriasi kamanda tunachokiongelea hapa kipo na kama unataka kushudia kwa macho yako njoo kituo cha polisi hapa mbezi
 
Mmemsahau huyo Kilewo alivyosema ana report live toka vikao vya NEC ya CCM Dodoma na yeye mwenyewe akiwa mjumbe wa NEC?

Hivi watu wengine mnapata nini kuja kuwadanganya wana JF? Huyo jamaa ni mwongo na mzushi na threads zake safari zote ni uzushi huo huo.

Jamaa nafikiri yupo JF kupotosha ukweli na sio ku report ukweli.
 
mwizi anaiba kuganga njaa...anaiba kwa kuandikisha watu ili ale vitambulisho? huhitaji PhD kujua mchezo huu unless uwe Chiligati au Makamba au Hiza kukanusha hata kilicho dhahiri. Kwa nini tusiwape wanachotaka.....kuchinja wenye mashati ya kijani na suruali/sketi nyeusi wote!!! #%%&*((^&@@ma zao!!!!!
 
Mmemsahau huyo Kilewo alivyosema ana report live toka vikao vya NEC ya CCM Dodoma na yeye mwenyewe akiwa mjumbe wa NEC?

Hivi watu wengine mnapata nini kuja kuwadanganya wana JF? Huyo jamaa ni mwongo na mzushi na threads zake safari zote ni uzushi huo huo.

Jamaa nafikiri yupo JF kupotosha ukweli na sio ku report ukweli.
Let us not jump to a judgement maana hata vyombo vya habari vimeanza kutangaza, hadi kesho tunaweza kujua ukweli wote.
 
Ni kweli tuvute subira.....

baada ya mtuhumiwa kushikiliwa na polisi na kuhojiwa na kkmtaja mtendaji kata polisi walimfuta mtendaji wa kata ya mbezi na kumkamata kwa mahojiano na katika mahojiano hayo mtendaji huyo alidai ni kweli walikuwa wanafanya tukio hilo, ila walitumwa na mh,SHAMSA MANGUNGA na nizaidi ya vitambulisho elfu 2000 wamekwisha vigawa , picha hizo walipigia maeneo ya shule inayo itwa moutain villar , kwasasa ndiyo tunaeleka kituo cha mbezi na wahandishi wa habari nitaendelea kuwa juzi mambo yanavyo endelea
 
Mmemsahau huyo Kilewo alivyosema ana report live toka vikao vya NEC ya CCM Dodoma na yeye mwenyewe akiwa mjumbe wa NEC?

Hivi watu wengine mnapata nini kuja kuwadanganya wana JF? Huyo jamaa ni mwongo na mzushi na threads zake safari zote ni uzushi huo huo.

Jamaa nafikiri yupo JF kupotosha ukweli na sio ku report ukweli.

Tuliza Mumnkari Mgoshi
 
baada ya mtuhumiwa kushikiliwa na polisi na kuhojiwa na kkmtaja mtendaji kata polisi walimfuta mtendaji wa kata ya mbezi na kumkamata kwa mahojiano na katika mahojiano hayo mtendaji huyo alidai ni kweli walikuwa wanafanya tukio hilo, ila walitumwa na mh,SHAMSA MANGUNGA na nizaidi ya vitambulisho elfu 2000 wamekwisha vigawa , picha hizo walipigia maeneo ya shule inayo itwa moutain villar , kwasasa ndiyo tunaeleka kituo cha mbezi na wahandishi wa habari nitaendelea kuwa juzi mambo yanavyo endelea

duh - hii sasa ni mafia. thanks kwa info.
 
Hii nomaaaaa
 
Asante sana kilewo watu walianza kuwa na wasiwasi na habari yako walifikiri ni yule yule tena Mjumbe wa NEC Dodoma. Ukweli nimeshangaa kama si kusikitika zaidi ya vitambulisho 2000 is a big issue, hivi CCM wana wasiwasi gani kiasi hiki kama walifanya mazuri waache watu wawahukumu kwa mazuri yao lakini kuhangaika hivi wanaweza hata kusababisha uvunjifu wa amani, lakini still watu humu kama walivyozoea watatuambia haya ni mambo ya kawaida wait n see.
 
Kwa hiyo Hao alioandikishwa jana nao watapiga Kura au! Baada ya Mtendaji wa Kata Kumtaja Waziri Mwanguka kuhusika kwake je Jeshi la Polisi litaweza Kumtia Mikokoni! Je Mwangunga atajiwajibisha au atangojea Mkulu amwajibishe ( Kama anaweza)
 
baada ya mtuhumiwa kushikiliwa na polisi na kuhojiwa na kkmtaja mtendaji kata polisi walimfuta mtendaji wa kata ya mbezi na kumkamata kwa mahojiano na katika mahojiano hayo mtendaji huyo alidai ni kweli walikuwa wanafanya tukio hilo, ila walitumwa na mh,SHAMSA MANGUNGA na nizaidi ya vitambulisho elfu 2000 wamekwisha vigawa , picha hizo walipigia maeneo ya shule inayo itwa moutain villar , kwasasa ndiyo tunaeleka kituo cha mbezi na wahandishi wa habari nitaendelea kuwa juzi mambo yanavyo endelea

Give a break Kilewo....habari hii ni ya kweli?
 
Hivi kwapani kwani watu wenye nia nzuri wakati maishu yanatokea si wanaweza kutoa taarifa na chadema wakavamia eneo la tukio mbona unashindwa kutafakari?
 
Give a break Kilewo....habari hii ni ya kweli?

afisi mpelelezi aanza kuhaha kutoa jibu la uhakika adai bado wanaendelea na uchunguzi, naye mtendaji kata yupo kwenye harakati za kumuwekea dhamana mtuhumiwa, CHADEMA ya wajia juu polisi baada ya kupata tetesi kuwa chama tawala kimekwisha ingiza mkono wake kwenye kesi hiyo, chadema yawaonya polisi, ikisema mtuhumiwa alishikwa na vithibitisho so upelelezi ni upi unaotakiwa tena? mwananchi imebahatika kumuhuji mtuhumiwa, tumeambiwa turudi kesho saa saba mchana
 
makubwa hayo

Madogo yana wapinzani teh! teh!
Ndio maana kila wakati tatu bila. Ukiuliza, unaambiwa kubali yaishe, wamezoea kulalamika. Mwisho wa siku wanakwambia chama chetu kinapendwa sana. Hiki ndio chama chetu cha Mapinduzi bwana Alllaaaa!!!!!, Ebooooo!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom