Elections 2010 CHADEMA , Why?

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,558
Bnafsi nilikua najua Dr. Slaa Atatembelea Iringa Tar 3 mwezi wa Kumi.
Nashangazwa katika mitandao fulani kuwa Dr. atakua Iringa leo. yaani tar 2 October.
Pita pita zangu mitaani wengi wanajua Dr. atakuja Iringa Tar 3 October.
Please Clear This mess up!! We really need changes. you are the only hope! dont let us down!!
 
What's the problem? Oct 2 or 3? kama mkutano umepangiwa Oct 3, what's the problem akifika hapo Oct 2?
 
Bnafsi nilikua najua Dr. Slaa Atatembelea Iringa Tar 3 mwezi wa Kumi.
Nashangazwa katika mitandao fulani kuwa Dr. atakua Iringa leo. yaani tar 2 October.
Pita pita zangu mitaani wengi wanajua Dr. atakuja Iringa Tar 3 October.
Please Clear This mess up!! We really need changes. you are the only hope! dont let us down!!

Relax.
 
Ni habari njema km umesikia kwa hiyo wataarifu na wengine ..............
 
Tehe tehe teheee,

Hii kali, kuna mtu post yake ililalamikia ratiba ya Dr. Slaa kutoonyesha kama atafika maeneo ya kwao, wewe unalalamikia Dr.Slaa kufika siku moja kabla.. Man you are Luck, just thank God he is coming and inform others:hand:
 
Yaani ujanja wote huo hujui wanaopanga na kusimamia ratiba za Slaa mpaka uingie ukumbi kuulizia na kumwaga upupu kiaina?

Hatudanganyiki lakini kudanganya ruhsa. :tonguez:
 
Mbona paygod katumwagia picha za Leo Leo za ironga pale mwembetogwa uwanjani wakuu?.....nyomi....poisi wengi lakini hawazuoo watu= hata wao wao busy kusikiliza mapoint ya rais wao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom