Elections 2010 Chadema wekeni mawakala waaminifu

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Jana mkurugenzi wa Nec alidokeza kwamba"Vyama vya siasa vinatakiwa kuweka mawakala waaminifu ambao watakuwa tayari kuweka mbele maslahi ya vyama vyao kwa kuwepo vituoni na kuepuka vishawishi kutoka kwa waharibifu wa uchaguzi" statement hii ilinikumbusha kuwa tumekuwa tukijadili swala la kuweka mawakala waaminifu.

Naileta hoja hii tukumbushane tena kama kuna any new developments interms of techniques and approaches NINAJUA VIONGOZI WA chadema wako bussy na kampeni lakini pia kuna wakati wanapitia JF wakati wa mapumziko kumbukeni hilo.Tusijisikie bored na mada maana hii ndiyo eneo nyeti kuliko vyote kwa sasa.Karibuni

CHADEMA VEMA
 
Back
Top Bottom