Chadema wazidi kukata tamaa Arumeru Mashariki washindwa kukubalika

Naona wengi walio kwenye mikutano ya CDM ni vijana, hawana weledi wala uelewa wowote wa mambo ya uongozi na uchaguzi kwa ujumla. Wengi nina uhakika wanaenda kishabiki tu na hawatapiga kura siku hiyo!
Tukiangalia mikutano ya CCM waliopo ni watu wenye machungu na nchi yao, watu wanaojua wanachokifanya, watu wanaofahamu maisha ni nini, wana experience kubwa kwani wameongozwa na viongozi kwenye era mbalimbali. Hawa ndio tutakaowaona siku ya uchaguzi. Kwa mantiki hii USHINDI KWA CCM NI LAZIMA!
 
Labda mkimbie na Masanduku ya Kura!
 
Kijana wa Kimasai, Morani na kijana wa Kimeru, Mseroo hawa tunawahesabu kwamba ni watu wazima, wanaweza kwenda vitani kupigana, wanaweza kukabidhiwa boma kwa maana ya mke na kutunza familia yao.

Ni kweli Joshua tayari yuko katika rika za Maseroo, lakini akishapata ubunge huo wazee wakienda nyumbani kwake na shida zao ni nani atatutengea chai mezani, nani atatugengea "roshoro" mezani wakati hana mke...

hiyo ndio mila na desturi za Arumeru Mashariki. wazee wanauliza.
 
Hoja Nyepesi sana, tena ya kitoto sana! Haifai kutajwa na mtu mzima kama wewe!
Hata kama ni upenzi wa chama, sasa unaelekea kubaya Mkuu!
 
Naona wengi walio kwenye mikutano ya CDM ni vijana, hawana weledi wala uelewa wowote wa mambo ya uongozi na uchaguzi kwa ujumla. Wengi nina uhakika wanaenda kishabiki tu na hawatapiga kura siku hiyo!
Tukiangalia mikutano ya CCM waliopo ni watu wenye machungu na nchi yao, watu wanaojua wanachokifanya, watu wanaofahamu maisha ni nini, wana experience kubwa kwani wameongozwa na viongozi kwenye era mbalimbali. Hawa ndio tutakaowaona siku ya uchaguzi. Kwa mantiki hii USHINDI KWA CCM NI LAZIMA!

Asilimia kubwa ya vijana hawajajiandikisha kupiga kura Arumeru Mashariki.
 
Back
Top Bottom