CHADEMA wazidi kujipanga; Wenje Mambo ya Nje

Nilishatanguliza pongezi kwa Wenje.Kwa Chadema sasa ni wakati wa kuishauri na kuishinikiza serikali kuhusu mabadiliko kwenye sera yetu ya Mambo ya Nje.Sera ya mambo ya nje tuliyo nayo ni shallow mno

Balozi zetu nje zimegeuka kijiwe cha watoto wa vigogo na maofisa wastaafu serikalini au wale waliokataliwa na wananchi (kama hisani au kitengo cha kujifutia machozi) bila kuzingatia taaluma.Career Diplomats hapa Tanzania hawapewi majukumu hayo,hii ni changamoto kubwa kwa wizara ya mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa.Mlioko nje ya nchi mnaelewa hali halisi kwenye balozi zetu

Diplomasia ya uchumi bado tunaitafsiri na kuitekeleza vibaya.Tunaichanganya na diplomasia ya kuomba na kushukuru.Haya ni mambo yaliyopitwa na wakati.Our embassies abroad especially in Europe, America and Asia are to focus more on investment policy to our domestic agenda. We now tie our foreign policy to our domestic agenda. Our interaction with foreign dignitaries should be investment-driven and less of politics

Ni lazima sasa tuwe na sera zinazolenga bara fulani na pia tuwe na special zones.Tuwe na sera zilizotafsiriwa vyema katika utekelezaji.Ushawishi wa Tanzania katika nyanja za kimataifa umeshuka sana ingawa tunao wanadiplomasia wenye rekodi iliyotukuka.Tunao akina Dr.Salim Ahmed Salim,Ambassador Mwapachu,Mahiga na wengine.Tuweke sera itakayotafsiriwa katika faida za kiuchumi ili pamoja na sera nyingine murua tuwe na ushawishi katika bara la Afrika(ingawa najua nguvu ya kiuchumi inachangia katika ushawishi).

Our foreign policy must be defined in terms of the goals our nation need to officially seek to attain abroad, the culture and values that bring about those objectives and the instruments necessary to pursue the goals while taking into account other nation’s prevailing foreign policies that may be established against our national interest. The essential tripods of our foreign policy strategy must be linked together such that they add value to our nation. Unfortunately for Tanzania, our foreign policy is static, unprogressive and is not benevolent to most Tanzanians.

Ukiangalia hata balozi zetu nje zinavyoshughulikia maswala yenye maslahi kwa taifa na wananchi wake,utagundua wanafanya kiujanja ujanja na mara nyingi Interest za taifa na wananchi hazitiliwi maanani ukilinganisha na balozi za nchi nyingine.Perhaps, it is not surprising why a citizen of one nation is patriotic while a citizen of another work against the interest of his nation; why a citizen of one nation exhibits political fervor while citizen of another nation shows political apathy; and why a citizen of one nation is very passionate about his country while the citizen of the other looks for every available moment to make caustic statement about his country.

Tanzania’s foreign policies have historically exhibited stagnancy, political favoritism, sometimes involve political cronyism, clueless diplomats who have no idea of their functional responsibilities which is to represent Tanzania well in times of joyous ceremonies, defending the nation in hostile environment from a hosting nation, protesting citizens’ human right abuses in the countries where such human right abuses take place, chastising nations that flout citizen’s human rights and feverishly defending Tanzania’s national interests.

Pia tuhakikishe tunaishinikiza serikali inatoa misimamo kwa uwazi kwenye mambo ya kimataifa na yenye maslahi kwa taifa letu.Covertly,ni muda wa kuunda sera inayoendana na wimbi la mabadiliko duniani hasa kipindi hiki ambacho China anaibuka kama taifa lenye nguvu duniani

Kwa upande wa maslahi ya chama hasa muda huu tunaojiandaa kuchukua Dola 2015,kuna mambo mengi ya kuweka sawa kidiplomasia .haitakuwa jambo jema kama nitayaandika hapa kwa sasa.Ila tu tujiandae kikamilifu

nimekusoma!big up.
 
Yaani we ndiyo bure kabisa, hebu cheki hapa kisha urudi tena

View attachment 45231

Nimeona hii picha nikakumbuka discussion yangu na wadau sehem flani jana.
Alikuwa ame base kwenye point yake kwamba 2015 chadema itapata majimbo at most 10.
Mjadala ulikuwa mrefu sana,ila mwisho kabisa alikuja rudi kwenye point kwaba,....
YAWEZEKANA CHADEMA IKAPATA WABUNGE HATA ATELAST 100,....LAKINI WABUNGE WA SASA HATA 10 HAWATARUDI TENA.

Kwa hili la mwisho nilikubaliana nae 100%,.....Nawa angaliaaaaa,afu nawapa pole zao sana.
 
hata sijakusoma kwa hiki
 
Asante Clemmy......lakini naona hata kama ningeteuliwa bado lawama zingekuwepo.Pengine watu wasingeshindwa kujenga hoja ya ukanda(kwa wale wakabila wangeona uchagga wangu zaidi ya taaluma na uzoefu).Hii ni ndiyo changamoto tuliyo nayo katika kubadili fikra za hii small fraction kwenye jamii yetu inayokuwa kwa kasi(kwa kuchagizwa na wanasiasa wasiofikiri nje ya box)

Hata hivyo kuhusu uteuzi wa wenje sitasema sana,kwa kuwa naamini katibu mkuu na sekretarieti ya chama wamekaa na kulitafakari kwa umakini.

Kwa hiyo Mkuu in maana ukiwa Mchaga na una uwezo hupewi madaraka ndani ya CDM? Nadhani ni vyema tukaangalia uwezo zaidi pamoja na kuepuka ukabila!
 
Kwa hiyo Mkuu in maana ukiwa Mchaga na una uwezo hupewi madaraka ndani ya CDM? Nadhani ni vyema tukaangalia uwezo zaidi pamoja na kuepuka ukabila!
Mkuu,
Point yangu ni kwamba lawama hazikosekani....hatakama ningeteuliwa mimi bado zingekuwepo na zitakuwepo tu.Kwa hiyo tufanye maamuzi wakati huo huo tuzidi kutoa elimu ya uraia kwa haka kakikundi kadogo kanakoibuka na maswala ya ukabila na udini...........

Vile vile,tumuhukumu mtu kwa kuzingatia atendayo na yale anayoamini na kusimamia bila kujali atokako
 
Ben,

Kama ningepewa nafasi ya kupendekeza Mkurugenzi wa mambo ya nje ningekupendekeza wewe kwa sababu moja kubwa, kuingiza damu mpya katika safu ya uongozi wa chama.
Chama chetu kinakua haraka na sasa kina wanachama wengi waliosoma vizuri, sioni uhaba wa wasomi ndani ya chama, hivyo basi ni muda muafaka kuangalia nje ya wabunge ili wabaki kufanya vizuri shughuli zao za kuwatumikia wananchi wao.

Ingawa pia ninatarajia uongozi wa chama kuwa makini kukabiliana na hii dhana ya udini, ukanda na ukabila. Imefika mahali hata baadhi ya wanachama wameanza kuangalia teuzi za chama kwa jicho hilo, kitu ambacho si kizuri kwa ustawi wa chama.
 
Mwita Maranya unaweza kuwa na sababu nyingine zaidi ya hiyo?
 
Mwita Maranya unaweza kuwa na sababu nyingine zaidi ya hiyo?

Mkuu naungana na Maranya. Ni muhimu kuingiza damu mpya kwa maana ya kuwa expose kwa watu. Kama chama kinajiaandaa kutwaa madaraka ya kuongoza nchi inabidi kijijengee uwezo kwa kuwa na watu ambao wamekuwa exposed kwenye uongozi. Sasa kama unakuwa na watu wachache ambao wanakuwa na vyeo lukuki ikifika wakati umetwaa madaraka na kutakiwa kuunda serikali basi utatindikiwa na watu. Kusema kweli hata kama ningekuwa mimi ndio napendekeza basi huyu Ben ningempa nafasi hii. Nimeseoma post zake nikaujua uwezo wake wa kuchambua mambo kimantiki. Wenje siyo mbaya lakini ana majukumu ya kuwatumiakia wapiga kura kama mbunge na watanzania kama waziri kivuli.
 
Hakuna tofauti na CCM ukiishakuwa mbunge unajaziwa vyeo!
ninachokiona kwa sasa CHADEMA wanaajali zaidi uwezo wa utendaji wa kazi na si vinginevyo ni rahisi kuwatumia wabunge kwani tayari wapo jikoni kuliko watu wengi ambao wana weza kukisaliti chama

ALL IN ALL kumbuka kuwa CDM bado kimtaji wa watu wasomi WAAMINIFU wa kushika nyanja mbalimbali

TUWAPE MUDA
 
Mkuu naungana na Maranya. Ni muhimu kuingiza damu mpya kwa maana ya kuwa expose kwa watu. Kama chama kinajiaandaa kutwaa madaraka ya kuongoza nchi inabidi kijijengee uwezo kwa kuwa na watu ambao wamekuwa exposed kwenye uongozi. Sasa kama unakuwa na watu wachache ambao wanakuwa na vyeo lukuki ikifika wakati umetwaa madaraka na kutakiwa kuunda serikali basi utatindikiwa na watu. Kusema kweli hata kama ningekuwa mimi ndio napendekeza basi huyu Ben ningempa nafasi hii. Nimeseoma post zake nikaujua uwezo wake wa kuchambua mambo kimantiki. Wenje siyo mbaya lakini ana majukumu ya kuwatumiakia wapiga kura kama mbunge na watanzania kama waziri kivuli.

Na mimi naungana na wachangiaji wengine kwamba tunaitaji sura mpya katika nafasi za uongozi, kama hii nafasi aliyopewa Mh Wenje ilibidi apewe kijana yeyote makini. Hii ingeleta sifa nzuri kwa wananchi kwamba CDM tunayo adhina kubwa ya vijana wasomi na makini.
Hii ni changamoto kwa Dr Slaa
 
Hongera Wenje. Lakini mbona hakuna tofauti na CCM kwamba mtu ni Mbunge kisha analundikiwa vyeo vingine. CDM ingejitofautisha na CCM kwa kuwapa vyeo vijana wengine ambao si wabunge ili nao waonekanane mbele ya watanzania. Sasa kila siku ni hao hao tuuuuu! Wenje, Mnyika, Zitto Wenje, Mnyika, Zitto! Wapeni vijana wengine nao vyeo jamani. Hao wabunge waachwe na shughuli za kutekeleza ahadi zao majimboni pamoja na shughuli za uwazir vivuli.

Safi sana Mkuu! Well said!!!!
 
Very good!!

Lkn ili wenje aweze kumudu huu wajibu wake mpya inabidi aielewe sana dunia, na ili aielewe sana dunia inambidi:

Aiweze sana lugha ya Kiingereza

Awe very conversant na current affairs za dunia

Aijue sana geography ya dunia

n.k., n.k.
 
naunga mkono hoja,ila natoa angalizo kwa wanaosema wangependa kuona sura mpya!kuna nafasi nyingine sio za kujifunzia,badala yake zinaitaji mtu ,mwenye uzoefu na mambo fulani,kwahiyo kumbukeni vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Ni kweli,pia kwa level ya chama sasa Multi-track Diplomacy (kuna kitabu kilichoandikwa na Ambassador John W. McDonald) ni muhimu na kuzingatia kanuni zake katika utendaji wa kurugenzi ya mambo ya nje kwa chama kinachosubiri muda mchache kuchukua dola .Ndiyo maana ukiangalia uchaguzi wa kenya 2007,ODM walikuwa wamejiandaa sana kwa hili na Zambia Patriotic Front.

Ukiangalia Congo-Kinshasa hawa jamaa wa upinzani walishindwa katika hili ndiyo maana hata chama tawala kikawa na uwezo wa kufanya ghiliba kama ilivyoelezwa katika ripoti ya waangalizi wa uchaguzi.Tshisekedi na chama chake walijikita kwenye millitary zaidi na kusahau kanuni ya kinyonga kwenye msingi wa diplomasia 'Hatua za kidiplomasia zina militarism kama background'.Chama tawala kilijua zaidi ya upinzani kujipanga ndani lakini walikuwa hawajaandaa kuwashawishi jumuiya ya kimataifa na kuweka mechanism za kuungwa mkono hata kama watawafanyia ufedhuli/uchakachuaji.

Kama unapenda kusoma vitabu jaribu kutafuta hivi vitabu (Stone, Diane. (2004) 'Private Authority, Scholarly Legitimacy and Political Credibility pia kuna virtabu hivi 'Think Tanks and Informal Diplomacy', by Timothy J. Sinclair '
 
naunga mkono hoja,ila natoa angalizo kwa wanaosema wangependa kuona sura mpya!kuna nafasi nyingine sio za kujifunzia,badala yake zinaitaji mtu ,mwenye uzoefu na mambo fulani,kwahiyo kumbukeni vigezo na masharti kuzingatiwa.

Mkuu unataka kuturudisha kule kule kwenye uzoefu wa miaka 15 wakati kijana amemaliza first degree na ni fresh graduate!! Wenje alianzia wapi? Ana uzoefu gani wa mambo ya nje? Siku CDM ikitakiwa iunde serikali itakuwaje! Itabidi wachukue wazoefu ambao si wengine bali CCM!!
 
Back
Top Bottom