CHADEMA waweka bayana msimamo wao juu ya yaliyowasibu ma-Sheikh Ponda na Farid

Hii ndio CHADEMA nayotaka kuiona, inayokuwa tayari kusema ukweli hata kama ukweli wenyewe unauma. Sheikh Ponda ni gaidi ila kwa kweli nadhani kumnyima dhamana ni makosa. Na inatupasa kukaa meza moja kuona namna tutakavyoyamaliza matatizo yetu kama watanzania. Waislamu+Wakristo ni ndugu tatizo ni CCM.

Well commented.
 
Wamejitahidi kuwapenda ndugu zetu na kiongozi wao Ponda BUT je ni kweli hata wanazuoni hawa hawana uhakika na uraia wa huyu sheikh Ponda? Kwanini waseme "raia au mkazi"
Nawapongeza pia kuwa wamemalizia vyema kuwa kile kilichokuwa chama cha wananchi tangu miaka 35 na zaidi iliyopita ndio "mzizi wenyewe wa fitna". Chama kikongwe na kijitokeze kitoe tamko, mbona mko kimya na nchi iko mikononi mwako?

Mkuu hapo kwenye red ni mtego moja mkali sana wameutoa hawa Cdm. Inawezekana Marando (Akiwa mtu wa jikoni) anatambua/fahamu zaidi ya Ponda
 
Limetolewa kwa kusudio la kuwapaka waislamu mafuta kwa mgongo wa chupa.....

so what then!who the hell(muslims) do u think u are?there are non religious tanzanians to.mngeka jana maandamanoni muone chupa inavyopeti (waislam)
 
leo tutashuhudia wafuasi wa chadema wakipingana na chama chao kwa mara ya kwanza.
Kisa, ni ishu ya waislam.
Sio ishu ya waislam mie ni mkristo sina ugomvi na waislam hata kazini kwangu nina vijana wa kiislam wamekua wameoa na kuzaa wanafanya kazi na mimi kwa upendo kabisa, hata majirani na marafiki ni vigumu hata kujenga nao chuki maana ni watu wema, ndivyo tulivyo wa tz, lakini huyu pônda ni janga tu ni kama mtikila, wakristo wangekuwa wabaguzi kama wewe ulivyo mtikila angeshakua rais tayari..kaburu!
 
CHADEMA playing their cards well to attract the frustrated and stranded voters! this is how politics is best at not wasting time with golden chance opportunity!!! hooraaay CHADEMA!
 
so what then!who the hell(muslims) do u think u are?there are non religious tanzanians to.mngeka jana maandamanoni muone chupa inavyopeti (waislam)

Naona mibangi haijakuisha kichwani, ni wapi nimeandika miye muislamu? shika adabu yako...ponda we!
 
Chadema should just keep quite on this issue

Really?I think it's the right time to show the LEADERSHIP......!

We see the nation heading towards a civil war.Kwa nini tunyamaze?

When you've got a situation where a bunch of people can go into a place of worship and open fire through the windows, you've reached a certain dismal watershed in the life of that nation.

There are people in power in certain parts of the country, leaders, who quite genuinely and authoritatively hate and cannot tolerate any religion outside their own.

When you combine that with the ambitions of a number of people who believe they are divinely endowed to rule the country and who… believe that their religion is above whatever else binds the entire nation together, and somehow the power appears to slip from their hands, then they resort to the most extreme measures

Youths who have been indoctrinated right from infancy can be used, and who have been used, again and again to create mayhem in the country.
 
we mbona unawatengenezea dhambi wenzio? kwanini usiwaangamize wewe uone mziki wake? kwani serikali haijui kwamba wakiwaangamizasana kama vipi kawaangamize wewe basi afu wewe ndo uliyechoma makanisa na wenzi afu mnawasingizia waislamu we mghala vipi?
 
Duuh umenishangaza kubariki udikteka( monoparty)
ni vyema ukasoma hilo tamko kwa makini

Vyama vingi ndio chanzo cha haya matatizo yote tanzania.vinafanya serikali ishindwe kuwashughulikia wahalifu kwa kuogopa kupoteza kura.ingekuwa enzi zile hata jk mnayemsema kila siku asingekuwa hivi.unafiki ndio biashara ya siku..
Challenging and testing times is now.
 
Really?I think it's the right time to show the LEADERSHIP......!

We see the nation heading towards a civil war.Kwa nini tunyamaze?

When you've got a situation where a bunch of people can go into a place of worship and open fire through the windows, you've reached a certain dismal watershed in the life of that nation.

There are people in power in certain parts of the country, leaders, who quite genuinely and authoritatively hate and cannot tolerate any religion outside their own.

When you combine that with the ambitions of a number of people who believe they are divinely endowed to rule the country and who… believe that their religion is above whatever else binds the entire nation together, and somehow the power appears to slip from their hands, then they resort to the most extreme measures

Youths who have been indoctrinated right from infancy can be used, and who have been used, again and again to create mayhem in the country.
Talking about who?
Mbona hueleweki? Tatizo hapa ni dhamana ya Ponda, na unaongea na Judiciary ya Tanzania ...... ukianza ku-politicize vitu kama hivi unakuwa unakosea.
Na kwanini wanawaambia wawe na subira? .... Tatizo siyo kuwa na subira bali kufuata sheria, or face the consequences.
 
CHADEMA playing their cards well to attract the frustrated and stranded voters! this is how politics is best at not wasting time with golden chance opportunity!!! hooraaay CHADEMA!

Wasema ovyo bana;
Wangekaa kimya mngesema wameuchuna kwakua wahusika ni Waislamu.

Wameongea, mnasema wanaongea ili ku-win kura za Waislamu.

Anyway, TUSHAWAZOEA!!
 
Kuhusu tamko la hawa jamaa bado linahitaji kulifikiria vema, walitaka jeshi lisitumike wakati mali za upande wa pili zinaangamia, je wakati makanisa yanachomwa moto polisi wangetumia njia ipi? je vurugu zote hizi wanaona polisi ndo wakorofi? Siasa isiingizwe katika kukabili hili jambo tafadhali, ........ TUMIA NJIA NYINGINE.
 
Hongereni CDM kwa tamko makini.Ponda ana haki ya kupata dhamana kisheria.

Unafiki ni kitu kibaya sana...

by Molemo

[h=3]
icon1.png
[/h]
Huyu mfuasi wa Uamsho anafuata nini bara? Naona anakuja kutoa tamko kibaraka wao Ponda aachiwe mara moja.​
 
2.JPG

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimekutana na waandisihi wa habari makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam leo, ambapo wajumbe wa Kamati Kuu, Profesa Abdallah Safari na Mabere Marando, wameweka waziwazi msimamo wa chama hicho kuhusiana na mgogoro kati ya waislamu na serikali na kukamatwa kwa Sheikh Farid huko Zanzibar.

Wanasheria hao wa CHADEMA wamesema kuwa kitendo cha serikali kumnyima dhamana Sheikh Ponda ni kinyume cha katiba na kwamba Chadema kama chama kinachojiandaa kuchukua dola, hakiwezi kuvumilia kuona haki za raia zikivunjwa.

“Tunaweza kuwa miongoni mwetu, wapo watu wanaomchukia Sheikh Ponda, lakini hatuwezi kuficha ukweli kwamba Sheikh Ponda kama raia wa Jamhuri ya Muungano au mkazi wa Jamhuri hii, anayo haki ya kusikilizwa na kupewa dhamana. Makosa ambayo Sheikh Ponda ameshitakiwa yanadhaminika kwa mujibu wa sheria, hivyo ni makosa kwa serikali kufanya hila kumnyima dhamana kiongozi huyu wa kidini,” ameeleza Marando katika mkutano huo.

Marando alifika mbali zaidi kwa kusema tatizo lililopo sasa kati ya serikali na waislamu, limetokana na hatua ya serikali kuwalazimisha waislamu wote kuwa waumini wa Bakwata, chombo ambacho wengi wanakiona kinatumika kuwakandamiza.

Naye Profesa Safari alionya matumizi ya nguvu za kijeshi yanayotumiwa na serikali kwa kisingizio cha kulinda amani, huku akieleza kuwa matumizi ya kijeshi siyo suluhu ya kutatua matatizo yaliopo.

Kuhusu kukamatwa kwa Sheikh Faridi na kumzuia kwa siku tatu, wanasheria hao wamesisitiza kuwa kitendo hicho hakikubaliki.

“Kitendo cha kumkamata na kumshikiria Sheikh Faridi, huku serikali na vyombo vyake vikisema havihusiki, wakati ukweli ni kuwa alikuwa anashikiliwa na watu wa USALAMA wa TAIFA, ni uharamia mkubwa unaopaswa kulaaniwa na wote wanaolitakia mema taifa hili,” ameeleza Marando.

Kuhusu uvunjwaji wa makanisa, Profesa Safari amesema CHADEMA kimelaani hatua hiyo iliyotokana na wananchi kujichukulia sheria mkononi. Amewataka waislamu kuvuta subira.

Hata hivyo, Profesa Safari amesena matatizo yanayotokea sasa, yameletwa na CCM kutokana na hatua yao ya kuwatumia baadhi ya waislamu kupandikiza mbegu ya udini nchini.

Chanzo Chadema Blog
 
“Tunaweza kuwa miongoni mwetu, wapo watu wanaomchukia Sheikh Ponda" - Mabere Marando.

Hilo mbona tunajuwa sana tunaoingia JF, si marando tu, tuko wengi mnaotuchukia lakini sisi ndio wapiga kura na tunahakikisha hatuwachagui.
 
Back
Top Bottom