Chadema watoka nje hotuba ya Rais kulifungua Bunge....

Ngareni3

Member
Dec 4, 2006
31
2
Wabunge wa CHADEMa kwa umoja wao wametoka nje ya bunge mara Rais alipoanza
kulihutubia bunge. Walikuwa watulivu toka mwanzo, kuingia kwa Speaker na
Rais, Sala ya kulifungua bunge na hata kumsikiliza Spika akisemea umuhimu
wa Rais kama sehemu ya bunge, lakini Rais alipokaribishwa, within the very
first sentence wakatoka nje....

very embarrasing, you could see the face of the President and the Speaker
of the House.....First time in history. Nadhani CUF miaka ile waliposusia
hawakuingia hata ndani ya bunge kuapishwa... Mwanzo mpya?

Na kitendo cha waliobaki kushangilia kwa kuimba CCM, CCM nayo si njema
sana, kwa kuwa waliobaki nadhani ni CUF, TLP na NCCR- Mageuzi.... Au wote
waliobaki sasa ni CCM?

Watalaamu wa katiba na mambo ya bunge, je, hali hii ina mshindo nyuma
wowote? Wanasema Rais ni sehemu ya Bunge. Kutomkubali kunaiathiri CHADEMA
kwa namna zipi? Si vibaya tukapata maoni humu kutoka kwenu. tupeni mshindo
nyuma wa jambo hili.....
 
Bado hakuna kifungo kinachowafunga CHADEMA kikatiba. Lakini hii ni history hayawi hayawi yamekuwa na waliowezesha ikawa ni CHADEMA :hippie: hatukubaliani na wezi wa haki zetu. This is a strong message hata kwa wanafiki kama UDP CCM,TLP, NCCR, na CUF
 
Back
Top Bottom