CHADEMA watikisa jimbo la Spika Makinda....

Nafikiri Chadema wabadilishe mwelekeo na mtazamo.
Mtazamo wenu ni kutangaza sera zenu kwa wananchi wote na sio kukazania wanachama. Mnatakiwa mfahamu kuwa kuwa na kadi zaidi ya moja ya chama cha siasa sio kosa huko tanzania. Hulka ya wabongo ni muhali na hivyo wengi ni walaghai.

Barubaru wewe uko Kata huko sisi tuko Njombe tuachie mambo yetu wewe gonga tende zako na kilemba kikubwa kichwani .Chadema kazi buti wako wengi hawa akina Barubaru
 
Kazi nzuri na hatua nzuri pia, ila tusisifie kazi nzuri halafu 2015 hatuonekani kutoa fursa zetu kwenye kura.
Wakati wa mabadiliko ni huu, tuamke kwenye upigaji KURA.
 
Huwa napenda sana nikisikia habari za faraja kama hizi kwa watz sababu kubwa ni siraha pekee ya kupambana na dudu ccm ni elimu ya kutosha kwa watz juu ya vyama vya upinzani ili uchaguzi mkuu ukifika wawe na uelewa mzuri juu ya nini wanapaswa kufanya ktk uchaguzi wao. Viva Chadema
 
Back
Top Bottom