Chadema watikisa iaa(uhasibu) arusha,watu wajivua ccm.....

lapc

Member
Oct 29, 2010
18
3
Chama cha Maendeleo na Demokrasia CHADEMA, kimetikisa chuo cha uhasibu arusha (IAA) baada ya MH Lema kufungua tawi jipya ukanda wa uhasibu,huku mamia ya wanafunzi wa chuo wakichukua kadi za CHADEMA na wengine kurudisha kadi za CCM na kuwa wanachama wa CHADEMA.Huo ni mwelekeo mwema kwa wanaharakati wa mabadiliko...PEOPLES.....................
IMG_0004.JPG
HAO NI BAADHI TU YA WANAFUNZI WALIOKUWA WAKIENDELEA KUCHUKUA KADI.takribani watu 400 hivi walihudhuria.
 
attachment.php

Oh! I can see they have disobeyed Newton's law of Gravitation
 
Mh Godbless Lema! Anachapa kazi ninamkubali, naweza kusema ni role Model wangu kwa upande wa mambo ya siasa kwa wabunge wa Bunge la JMT.
 
Hapo bado mbona mpaka kitaeleweka by 2015 maaana hawa CCM lazima waelewe zaidi, na sio ufisadi tu wanaoufanya mbele za watu.....
 
ndo hvyo@papizo,2ko kasi jamaa kamwaga sumu za ukweli,ccm hawana chao mpaka katibu wa ccm tawi la uhasibu kasign out cmm kaamua kukata kauli na kutubu na kulogin CDM....CDM 2ko pamoja pamoja 2tajenga nchi ye2..
 
Amin usiamin 2015 CCM itashinda tena kwa kishindo! Wapinzani walikua CUF! CHADEMA wanaigiza tu! wakiwa na njaa wanapiga keleleee!! wakiitwa ikulu inayoongozwa na Rais wasiyemtambua wanapewa chai wanarudi wapoleee! Hao ni wahuni kama wahuni wengine tu!! Polen mambulula mnaodanganywa na wahuni wenzenu! "I can't let my country go to the dogs". By Nyerere J.K (1995).
 
Haaa!,
ungesema tofauti na uchagani ingeleta maana ila kwa hapo, cha ajabu nini wakati
chaga + chaga = CHADEMA
Chama cha Maendeleo na Demokrasia CHADEMA, kimetikisa chuo cha uhasibu arusha (IAA) baada ya MH Lema kufungua tawi jipya ukanda wa uhasibu,huku mamia ya wanafunzi wa chuo wakichukua kadi za CHADEMA na wengine kurudisha kadi za CCM na kuwa wanachama wa CHADEMA.Huo ni mwelekeo mwema kwa wanaharakati wa mabadiliko...PEOPLES.....................
View attachment 27855
HAO NI BAADHI TU YA WANAFUNZI WALIOKUWA WAKIENDELEA KUCHUKUA KADI.takribani watu 400 hivi walihudhuria.
 
Kaka BRIGH WIZE quotation zako angalia sana na make sure zinarelate na maada yako. Mwl nyerere bado tunamheshimu sana si mtu wa kumquote hivyohovyo tu. Nakushauri sana kuwa makini ktk kuchagua quotation zako.
 
Ndugu yangu Mwakisalu, niko makini sana na nina uhakika na ninachokisema! CHADEMA mnielewe kwamba bila kumung'unya maneno hawana hadhi wala uwezo wa kuiongoza Tanzania!Kama huamin jiulize Chacha Wangwe yuko wapi?Kwa nini kila anaeonekana kuwa na ushawishi ndani ya chama anaundiwa zengwe?Kafulila?Na sasa Zitto!Mkifika salama 2015 Mungu mkubwa!!! Mwl. Nyerere aliona mbali sana!Chadema ni wanafiki, waongo, wazandiki na waroho wakubwa!Mie kabla sijawaelewa niliwaamini sana lakin baada ya kuona wanaenda hadi ikulu kunywa chai nikatupa na kadi yao na staki hata kuwaona mbwa mwitu hawa!Vumilia ipo siku utanielewa tu!Sorry!
 
Back
Top Bottom