Chadema watifua ndani ya Kilosa!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
Leo ndani ya Kilosa ilikuwa ni patashika nguo kuchanika pale ambapo uongozi wa wilaya ya Kilosa walipotifua na kuonesha umma wa watanzania kuwa sasa kilosa siyo ngome ya CCM kama ilivyokuwa ikiaminika.
Wakipanda jukwaani kwa zamu, makamanda mbalimbali wa ndani ya wilaya ya kilosa walishambulia jukwaa na kutoa elimu ya uraia kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuanika maovu y CCM na serikali yake kwa wananchi.
Vilevile viongozi hao wa CDM kilosa wamekemea tabia ya CCM kuoneza propaganda za kidini na kikanda kwa chama cha demokrasia na maendeleo baada ya kuona kuwa moto ulioanzishwa na chadema wa kudai mabadiliko hauzimiki.
Cheki picha mwenyewe hali ilivyokuwa jembe la chadema la kimamba, kilosa jukwaani.jpg mkutano wa chadema kilosa.jpg Katibu wa chadema wilaya ya kilosa.jpg !
 
Bado watu wanauoga mbona wanajificha....CCM sumu wanayoieneza ya udini itawarudi...........
 
Kudos Ndio matunda ya M4 C hayo , Ndio maana magamba wanamtumia Tendwa ili atafute jinsi ya kuizuia
 
CHADEMA ndio nuru inayowamulika watanzania wote. No Chadema no Tanzania.
 
Yes hapakuwa na mahudhurio mazuri kutokana na woga wa kilichotokea wiki chache zilizopita,ushauri ni kuwa makamanda wasikate tamaa hata siku moja,baada ya siku chache nawashauri warudi tena kilosa,woga utawa umepungua na mahudhurio yatarudi kwenye level ya kawaida ya chadema,Big Up makamanda.
 
Kazi kubwa andaeni wahutubiaji wengi wazuri jukwaani na kuandaa wapigakura na wagombea kwa ajili ya chaguzi zijazo.
 
Bado watu wanauoga mbona wanajificha....CCM sumu wanayoieneza ya udini itawarudi...........

Yakhe, ndo hali ya kipwanipwani hiyo, unamwona mwanamke aliyejitenga peke, tuna hali ya ustahiki ambayo hatuchangamani, kuna mipaka kati yetu kwa misingi ya gander ingawa huko pembeni tunakumbatiana bila kuachana.
 
Hii picha ni kujitia aibu tu nyie magwanda

Picha hii ni nzuri kwa sababu inakupa picha halisi ya nini kinaendelea kwy ground kuliko ile imejaa watu wa kusombwa
na malori. wana strategy wanapenda picha kama hizi kwa maana unajua wapi pa kukaza na wapi pa kulegeza.
 
Back
Top Bottom