Chadema Washngiton DC 100%; CCM (USA-UK ) 00.0 %

environmental

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,054
137
Matawi ya vyama vya siasa hasa wakati wa ukombozi wa nchi mablimbali duniani africa na america kusini yalikuwa yanafunguliwa nje ya nchi sababu ya kupigwa marufuku katika nchi zao. Chadema ina tawi imara sana washington dc ina maana sana maana ni mapambano ya kukabiliana na na maovu ya ccm, tanzania ni rahisi kupewa sumu sababu umesema kitu fulani,
sasa chama tawala kikianzisha matawi nje ya nchi ni kwa uwoga upi na maslahi ya nani? Hivi ccm ni wazima maovo yote haya bado wanachekacheka na wananchi hwawajui wako uchi sijui nani awasaidie wajisitiri.
 
Usidhani watu hawa comment hii thread yako kwa sababu wanakuchukia, bali ulichoandika hakina mantiki na hakieleweki, hasa hasa mpangilio wa mada wenyewe.
 
Matawi ya vyama vya siasa hasa wakati wa ukombozi wa nchi mablimbali duniani africa na america kusini yalikuwa yanafunguliwa nje ya nchi sababu ya kupigwa marufuku katika nchi zao. Chadema ina tawi imara sana washington dc ina maana sana maana ni mapambano ya kukabiliana na na maovu ya ccm, tanzania ni rahisi kupewa sumu sababu umesema kitu fulani,
sasa chama tawala kikianzisha matawi nje ya nchi ni kwa uwoga upi na maslahi ya nani? Hivi ccm ni wazima maovo yote haya bado wanachekacheka na wananchi hwawajui wako uchi sijui nani awasaidie wajisitiri.
Verbal diarrhea!
 
hii inaonesha mpangilio wa mawazo ktk akili yako ulivyo mbovu.
 
hovyo-hata kama ni ushaabiki wa siasa kwa cdm -hujajipanga kuwashawishi watu
:love:
 
Hayo matawi ya CCM nje ya nchi ni ya watoto wa vigogo ili wakirudi nyumbani na kuukwaa uongozi iwe kisingizio cha kuwa ni mwanaCCM aliyekuwa tawi la nchi fulani. Pamoja na hilo, ni sehemu ambazo zinakuwa rasmi kwa ajili ya kufichia wezi na mali za umma, na kupanga madili yote machafu.
 
Asante mkuu wa ukenyenge mwa maelezo toshelezi
 
Jamani mbona ameeleweka tu vizuri, watu wote hatuna uwezo sawa wa kuandika..

Na pia siyo vizuri kama mtu anaandika kitu watu wanaponda tuu saa zote, acheni kuponda ponda hatuna upeo na elimu pia hatufanani, kwanza wengine tuko vijijini na kiswahili kinatupa shida kidogo kujipanga, pia shule za kata ni kasheshe tujaribu na tujitahidi kuelewana.
 
Back
Top Bottom