CHADEMA washitukiwa wakitaka kuvuruga mkutano CCM

Ilidaiwa kuwa lengo la kikundi hicho kufika katika mkutano huo, lilikuwa ni kuwazomea viongozi hao, lakini kutokana na kuonywa na Katibu wa CCM wa Mkoa, Bw. Kilumbe Ng'enda kuwa atakayejaribu kufanya fujo katika mkutano huo atakiona cha moto, azma hiyo ilishindikana.
Kheeee kheeee heeeee eeEh!
Kumbe CCM sio kimeo
 
Sasa na wasiowapinga serikali na ambao sio Chadema wakienda ktk mikutano wa Chadema na kufanya kazi ya kuzomea itakuwa siasa au SI HASA!

Bado hamuamini kwamba Watanzania wamechoka na usanii wenu! Mnanyibaraguza bure inabidi msikie sauti za wanyonge wa Tanzania vinginevyo mtakuwa history na wa kulaumiwa ni nyinyi wenyewe kwa kukataa kuzikubali dalili zilizojaa kila kona toka kwa Watanzania zinazosema sasa USANII BASI!
 
Waheshimiwa waleta hoja, unajua siku za kati ya wiki ni za kazi, na ni vyema kuleta thread na hoja za maana kujadiliwa kama hazipo muache ili tupige mzigo kuikomboa Tanzania,

Hoja kama hizi zinatakiwa zije ijumaa jioni hivi,,, ili wakati wengine wanaenda kwenye ngwasuma, melody, TOT Plus, wengine tunachanganua mambo ya nnji hapa...


Tutabanana humu humu mpaka kieleweke!

Hamna cha kuongeza!, isipokuwa I like the Wazee Wa Ngwasuma thing! Nafikiri wakati mwingine wakuu tunahitaji ku-relax kidogo!
 
Hamna cha kuongeza!, isipokuwa I like the Wazee Wa Ngwasuma thing! Nafikiri wakati mwingine wakuu tunahitaji ku-relax kidogo!

Msee ES,
ku-relax tena wakati tunapigwa mabao ya "wan' teleza miye."?? Hao wanahitaji weekend kama za Camp David!!.
 
Back
Top Bottom