Elections 2010 Chadema washindwa kumzuia kikwete

Wanachodai CHADEMA kiko valid kweli kweli, Mei 2010 kabla Serikali ya JK haijawasilisha bajeti bungeni Rais alitamka kuwa haongezi mishahara ya wafanyakazi hata kama watagoma kwa miaka minane.

Wakati huo JK alikuwa na muda wa kutosha na uwezo wa kuingiza katika bajeti ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2010/2011 lakini hakufanya hivyo kwa kuwa wafanyakazi hawakuwa maoja ya vipuambele vyake. Baada ya kuona CHADEMA imetamka kuwa inazitaka kura za wafanyakazi nalizokataa JK; na TUCTA imesema bila waoga kuwa wafanyakazi watampa kura mgombea mwenyewe kuzihitaji na sio aliyewahi kutamka kuwa hazihitaji. Ndipo JK ndio anakurupuka na kutoa nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi kwa kuvunja Kanuni na Taratibu za Fedha za Serikali. Ni ukiukwaji wa aina hii wa Kanuni na Taratibu za Fedha vilisababisha mabilioni ya fedha za serikali kwa njia ya EPA n.k Kanuni na Taratibu za Fedha za Serikali kazitoi madaraka kwa Rais wa Jamahuru ya Muungano wa Tanzania kuelekeza matumizi ya Fedha za umma bila ya idhini ya Bunge.

Ikumbukwe siku JK anatangaza katika hutobu kuwa Serikali haina uwezo wa kuongeza mishahara ya wafanyakazi Mei 2010 alikuwa anafanya hivyo kwa kutumia fedha na rasli mali za Serikali hivyo hakupaswa kutamka mamabo amabyo hana uhakika nayo.

CHADEMA inataka haki za wafanyakazi wanyonge zipatikane kama mujibu wa Kanuni na Tratibu za Fedha za Serikali na wakati na sio baada ya kiongozi kuona kuwa upepo mbaya wa kisias umajia. Kwa kuwa Rasi JK alikwisha tumia rasli mali za Serikali kutamka kuwa Serikali ya Awmu ya nne haina uwezo wa kuwaongezea wafanyakzi mishahara ilihali ikaongeza misjajara na kulipa malimbikizo ya nyongeza hiyo kwa za viongozi waandamizi Serikalini kama vile Wabunge, Mawaziri, Makatibu wakuu, Majaji, Wakuu wa vyombo vya usalama n.k.

Hivyo kitendo cha kuwaongezea wafanayakzi mshahara kimya kimya tena baada ya kuona upepe mbya wa kisias ni mbinu ya kukwepa ni kulipa malimbikizo ya nyongeza ya mishahara kama walivyofanyiwa viongozi waandamizi. Aidha kwa kuwapatia nyongeza kimya kimya upo uwezekano mkubwa sana baada ya uchaguzi wafanyakazi wakaambiwa kuwa yalifanyika makosa katika kuwapatia fedha hizo hivyo wakakatwa na nyongeza hiyo kutoka ktika mishahara yao.

Ni vyema utaratibu ukafutawa katika kitu kinachofanyika.
 
Hapo kwenye red ni kuonyesha hana wazo jipya wala mbinu mpya amezoea kudesa (copy and paste) aangalie asicopy na jina la mtu akadhani nilake....achanganye na zake....


Naomba msiwadanganye watanzania,haipo kabisa labda miaka 5 iliyopita.
 
Back
Top Bottom