CHADEMA wasaliti - CUF

Guys rejeeni kauli mbiu ka CUF huko Igunga kabda hamja enda mbali jamani.

Mtatiro hajamwambia mwandishi yeyote kuhusu suala la usaliti wa chadema igunga.
Hutu aliyeleta mada hii aseme ni gazeti lipi na mwandishi yupi.

Pia mtatiro siyo mratibu wa kampeni za cuf igunga, mratibu wa kampeni zetu ni shaweji mketo, naibu mkurugenzi wa uchaguzi cuf taifa. Kuna watu humu wasipomshutumu mtatiro kwa maneno ya uongo na vijembe hawaoni raha. Mtatiro anabakia kuwa kiongozi makini na ambaye amesimamia historia ya mapambano na hadi leo hana rekodi ya udhaifu katika uongozi wake.

Mtatiro aliamua kujiunga cuf kwa utashi na akili yake na hakulazimishwa na mtu, kuwa kwake cuf kusiwe hoja kwa wanaoichukia cuf.

Mimi ni mohammed mtutuma - msaidizi maalumu wa mhe. Mtatiro

Katika maelezo yako naona ni jambo moja tu lenye ukweli ndani yake; kwamba mtatiro si mratibu wa kampeni za cuf igunga.

Lakini haya mengine ya kufanya kampeni chafu dhidi ya chadema pamoja na kuikashifu na kuitolea kila aina ya shutuma ni ya kweli na hakuna kiongozi yeyote wa cuf anayeweza kubisha ikiwa ni pamoja na mtatiro mwenyewe.

Kwanini kila mara cuf mnailalamikia chadema huku mkiisaidia magamba badala ya kuiunga mkono ili kwa pamoja mpambane na kuhakikisha kwamba mmoja wenu ndo anashinda na si magamba?

mbona yeye alijua hashindi lakini alienda UBUNGO badala ya kwenda MUSOMA VIJIJINI

mbona TARIME CUF waliharibia CHADEMA kwa kugawa kura zaidi ya 7000

mbona hazungumzii KIGAMBONI jinsi wapinzani walivyogawana kura

au MTATIRO naye ameanza kutumia akili za kwwnye MASABURI

Tumia akili kaka achana na Mtatiro hao ni wakn wa CCM wameolewa huko Znz ndoa ya mkeka

je Mtatiro, anajifanya tajiri wakati alisomea MKOPO? YEYE ANAJIFANYA MWEMA WAKATI NI UNAFIKI WA KISIASA? HATA HAJUI MAANA YA UPINZANI, SIJUI HATA CUF ALIINGIAJE! YAANI MTATIRO NI MCHANGA SANA KTK SIASA, NDO MAANA INABIDI APUMZISHWE, TANGU AMEANZA KAMPENI ANAIPONDA TU CDM, NI CCM WAMEMTUMA? HATA CCM WAKIPATA ,NA WAKIMPA NGAZI YOYOTE ,HUYU MTATIRO ATAHARIBU TU, ANA MAWAZO DUNI SANA, AU ANAJUA ANAONGEA NA MAZUZU? NI BORA WATANZANIA WAMWELEWE HUYU KIJANA, NI MNAFIKI SANA! LAKIN, MBIO ZA FARASI HUISHIA UKINGONI!!!!!!!!!!!!,HATA KM CCM WATASHINDA HATUJALI, WANAJUA HILA WANAZOTUMIA, ILA, KUMBUKA, KABLA YA MAANGAMIZI NI KIBURI NA KABLA YA HESHIMA -UNYENYEKEVU, YUPO MUNGU!!!MUNGU WETU SIO WA HILA KAMA CCM, WEWE MTATIRO NAKUSHAURI USUBIRI UKUE, WEWE NI MTOTO WA MAWAZO YA KUONA MBALI, TAMAA NA UNAFIKI NA HILA VIEPUKE UKIWA BADO MDOGO!!!!!!!!!!!!!!!

CUF na CCM watagawana kura. CHADEMA njia nyeupe kwenda mjengoni.

Ndoa ya kwanza ilikuwa kule Kigoma, sijui ya nani ile? hii ya CUF ya pili na imefana sana, wana makamu wa Rais. Unalo?

ndo maana kila wa2 waliongoza kwa vpind tofauti, mbona unashindwa kuelewa maana ya ndoa?

Chadema msikate tamaa, kuna leo na kesho, mtatiro ni kijana mwenye tamaa sana, nyie kazeni mwendo, kwani hamjui mtatiro anatuiwa na ccm, hata kuongea sana kwake haisaidii, uzuri mmoja,tangu udsm huyu alipewa kura kwa ushabiki tu, but his not qualified completely, ndo maana mnashuhudia maneno anayoongea majukwaani. Sisi ni watu walioelimika sana, yaani, yaani kuburi chake ndio maangamizi yake ktk siasa. Tumemsoma vizuri hapa alikofika ndio anaimaliza cuf... Yetu macho!!!!!!!

Bora tuwe wakweli Vyama vya siasa havitafika mbali kama havitokuwa na tabia ya kuachiana majimbo. Kama kweli CUF ina nguvu zaidi ya CDM basi CDM waiachie CUF Igunga vinginevyo ni kuwapa CCM ubwete wa kushinda.

Acha mambo ya ajabu mbona lipumba hakujitoa wakt alijua hatashinda?

I know mtatiro huwa anaongea then anafikiria alichokiongea,ni mtu wa jazba na ana uchu wa madaraka ndo sababu akajiunga na cuf chama kinachokufa ili apewe madaraka makubwa!!!

Mkuu huyu kaishiwa tena siyo polepole mbona CCM-B waliweka mgombea wa Urais mwaka jana wakati walijua ni mkono mtupu,WACHA MANENO YA KINAFIKI MTATIRO WW NDIYO MNAFIKI NAMBA MOJA! Kwanini chama kimoja kina toa wagombea wawili (CUF&CCM) wakati lao ni moja,Mtatiro umeishiwa vibaya chama kishakufa hicho kweli ww ni kijana mzuri cc wazee tumekuona but umeingia choo cha kike!

Sasa hapo usaliti uko wapi?kwani CDM na CUF ni wamoja?huyo Matatizo siju Mtatilo hana akili kabisa kwanza CUF ni ccm,akafie mbali huko.

halafu mbona wanatumia nguvu sana(magamba) si walisema upinzani ni vyama vya msimu?

Isitoshe kwenye kufunga kampeni pale Jangwani mwaka jana Mkapa aliuita upinzani kokoto na kichuguu huku akisema wao magamba ni Mlima Kilimanjaro. Sasa kwa utashi huo iweje CCM wapeleke mlima kupambana na kichuguu kwenye kampeni Igunga?

mratibu wa kampeni wa cuf julius mtatiro ameishtumu vikali chadema kwamba kiimeenda igunga kwa lengo la kugawa kura za cuf.mtatiro amesema chadema wanajua wazi hawana nguvu yoyote igunga lakini wameamua kwenda huko ili ccm ishinde.mtatiro amemueleza mwandishi wa habari hizi kwamba chadema wasijidanganye kuambulia hata nafasi ya pili bali watakuwa namba 3 nyuma ya ccm na cuf.mtatiro amesema cuf wamejipanga kuwaeleza wananchi wa igunga ukweli wote kuhusu chadema ili waamue wenyewe.
huu wehu sasa,badala ya kwenda kueleza sera mnaenda kuelezea chadema,si upumbavu mnaenda kufanya,we are tired of u,peoples power 4 ever

Nachojua huyu jamaa (Mtatiro) hajawah kuwa Rais wa Daruso ila katibu wa Daruso,katika historia ya mapambano dhidi ya haki pale "The Hil",tuna wasiwasi na kufyata mkia kwake mwishoni kunahusishwa na kurubuniwa au kupewa mlungura na wadau wa ccm pale UD akiwemo prof mkndalal,kumbukumbu zinaonesha kuwa yeye na jamaa mmoja anaeitwa Bush ambae alihongwa ajira na UDSM na mpaka sasa yuko pale Administration UDSM.
Kwa sababu hii tunaweza kumwita yeye ndiye Msaliti.Ukijumlisha na CUF ambao ni wachumba wa CCM ndipo usaliti unapoongezeka.

Nani asiyejua kuwa CUF bado wanaichukia CDM kutokana na kutokukubaliwa kuingia ktk kambi rasmi ya Upinzani,kwa hiyo whatever they will say tuna doubt kuwa ni usaliti bado unaendelea dhidi ya wapigania haki wa kweli CDM.

Sijaongelea suala tajwa hapo juu,
nadhani CHADEMA wamekuja Igunga kama chama cha siasa na CUF tupo Igunga kama chama cha siasa, so ni kiasi cha kusubiri kipenga kipulizwe ndio tutajua nani alikuja kugawa kura za mwingine, nani CCM B au C n.k.
Kwa sasa ni mapema mno kupeana shutuma hizo za uongo, mimi nawaheshimu chadema kama chama cha siasa na sina ugomvi na uwepo wao Igunga.

Jambo lingine muhimu ni kuwa hii forum inaheshimika sana, kuna baadhi ya wadau wanajiunga hapa kuja kupotosha umma au ku_dogoesha watu fulani, yote haya hayatusaidii ikiwa bado watanzania wanashughulikiwa na sera za CCM. Hii ni forum muhimu sana na ninaogopa ikiwa itageuzwa kuwa mahali pa propaganda za vyama na masuala yasiyo na tija kwa jamii na taifa. Hali hii ikiendelea kufurahiwa itaharibu sura halisi ya forum na malengo yake.

Mimi ni kiongozi wa juu wa CUF na niko CUF kwa akili na utashi wangu na wakati najiunga CUF vyama vingine vyote vilikuwepo na sikuamua kujiunga navyo. Nitasimama CUF na kuijenga CUF , sitakimbilia kwenye vyama ambavyo vinaonekana vina mafanikio, nitapambana hapahapa nilipo na kuyatafuta mafanikio ya watanzania hapa hapa CUF.

Nawashukuru wote wanaoniunga mkono, wanaonikosoa kwa makusudi, bahati mbaya , kwa malengo mazuri au mabaya, sote tu watanzania na hatuna cha kuchekana.

Wasalaam,
Julius Mtatiro,
Naibu Katibu Mkuu(CUF),
TANZANIA Bara.
03/09/2011

mwenye macho haambiwi tazama,cuf wamechimbia mizizi igunga tokea yaanze mageuzi,chadema hata tawi wa walikua hawana wamekurupuka juzi kwakua kuna uchaguzi mdogo,tatizo chadema wanatamaa mno na wanajidanganya kwandoto zamchana,cdm wangewaachia cuf wenye nguvu kubwa igunga jimbo lingechukuchuliwa na upinzani,ila kwa tamaahizi za cdm naweza sema wazi tayari ccm wameshashinda na wanasubiri kuapisha mbungewao tu.
Kwanini CUF wasiachiane na CCM?

Mtatiro hajamwambia mwandishi yeyote kuhusu suala la usaliti wa chadema igunga.

Hutu aliyeleta mada hii aseme ni gazeti lipi na mwandishi yupi.

Pia mtatiro siyo mratibu wa kampeni za cuf igunga, mratibu wa kampeni zetu ni shaweji mketo, naibu mkurugenzi wa uchaguzi cuf taifa. Kuna watu humu wasipomshutumu mtatiro kwa maneno ya uongo na vijembe hawaoni raha. Mtatiro anabakia kuwa kiongozi makini na ambaye amesimamia historia ya mapambano na hadi leo hana rekodi ya udhaifu katika uongozi wake.

Mtatiro aliamua kujiunga cuf kwa utashi na akili yake na hakulazimishwa na mtu, kuwa kwake cuf kusiwe hoja kwa wanaoichukia cuf.

Mimi ni mohammed mtutuma - msaidizi maalumu wa mhe. Mtatiro

Safi sama kwa kuwa muwazi. Kama kila mtu angekuwa hivi majungu yangepungua sana au yangekuwa at very mimimum

Sijaongelea suala tajwa hapo juu,
nadhani CHADEMA wamekuja Igunga kama chama cha siasa na CUF tupo Igunga kama chama cha siasa, so ni kiasi cha kusubiri kipenga kipulizwe ndio tutajua nani alikuja kugawa kura za mwingine, nani CCM B au C n.k.
Kwa sasa ni mapema mno kupeana shutuma hizo za uongo, mimi nawaheshimu chadema kama chama cha siasa na sina ugomvi na uwepo wao Igunga.

Jambo lingine muhimu ni kuwa hii forum inaheshimika sana, kuna baadhi ya wadau wanajiunga hapa kuja kupotosha umma au ku_dogoesha watu fulani, yote haya hayatusaidii ikiwa bado watanzania wanashughulikiwa na sera za CCM. Hii ni forum muhimu sana na ninaogopa ikiwa itageuzwa kuwa mahali pa propaganda za vyama na masuala yasiyo na tija kwa jamii na taifa. Hali hii ikiendelea kufurahiwa itaharibu sura halisi ya forum na malengo yake.

Mimi ni kiongozi wa juu wa CUF na niko CUF kwa akili na utashi wangu na wakati najiunga CUF vyama vingine vyote vilikuwepo na sikuamua kujiunga navyo. Nitasimama CUF na kuijenga CUF , sitakimbilia kwenye vyama ambavyo vinaonekana vina mafanikio, nitapambana hapahapa nilipo na kuyatafuta mafanikio ya watanzania hapa hapa CUF.

Nawashukuru wote wanaoniunga mkono, wanaonikosoa kwa makusudi, bahati mbaya , kwa malengo mazuri au mabaya, sote tu watanzania na hatuna cha kuchekana.

Wasalaam,
Julius Mtatiro,
Naibu Katibu Mkuu(CUF),
TANZANIA Bara.
03/09/2011

Julius, I salute you for this politically mature response.

I think you can make one of the best (if not the best) among the top politicians around siku chache tu za baadae.

Keep it up!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom