CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

kwa wewe mwenye uelewa finyu huu kwako ni mchezo wa kitoto, watu wenye akili zao wamekaa na wamepanga strategy hii, ambayo hata kama ccm waking'ng'ania meya aendelee yule batili lakini no bussiness as usuall. chadema itakuwa na majority kwenye council ya Arusha. nadhani unajuwa nini maana ya majority kwenye vyombo vya maamuzi. sumbuwa akili yako kidogo kufikiri deeper, ndio maana halisi ya Great Thinkers.
Kweli Arusha itakuwa no business as usual, mpaka hili swala lipate muafaka uchaguzi urudiwe!!!!!!!!!!!!!!!
 
La msingi ni kuwa kanuni zibadirishwe ili wabunge wa viti maalumu kwa kuwa hawana majimbo so wasiruhusiwe kuingia kwenye mabaraza ya madiwani, full stop. Mbunge wa ni ruksa kwani ni sehemu ya uchaguzi katika jimbo husika. Hiyo ndiyo itakuwa dawa. Ni vizuri kipengele hiki kitazamwe kwenye mjadala wa ktiba mpya
 
great thinkers hatuwezi kwenda zaidi ya hapo, kwa kujua sheria ni mbovu then what is next kulaumu aliyeziweka au anayezifuata sipati picha?

katiba mpya ndilo jibu pekee la kututoa katika hili tope la upotevu na ujima. Siasa za maji taka, tuzinduke tuwe na katiba halisi inayojieleza wazi wazi kwa kila kitu. Siasa, uchaguzi, aridhi yetu, madini yetu, bahari zetu, maziwa, rasirimali zetu.kila kitu kiwe defined,quite explicit. Ufisadi na dhuluma vitazibitiwa!!!!!!!!!!
 
Matola: Uko sawa kabisa, issue hapa siyo umeya tu, cha msingi zaidi ni majority, kwa sababu hata wakiwa na meya when it comes to voting on a certain issue, then CDM always watakuwa kwenye safe side.

Kama alivyowahi kusema Ben, Raisi aliyemwachia ziwa JK: Watanzania tusiwe wavivu wa kufikiri

Watavote lini wakati wameishaapa kuwa km meya ni gaudence hawatii mguu mjengoni..au uamuzi umebadilika? ccm walivyo vichwa ngumu wakiona wajumbe wao ni wachache hawakubali kurudia uchaguzi kamwe.
 
Watavote lini wakati wameishaapa kuwa km meya ni gaudence hawatii mguu mjengoni..au uamuzi umebadilika? ccm walivyo vichwa ngumu wakiona wajumbe wao ni wachache hawakubali kurudia uchaguzi kamwe.

hvi naibu meya itakuwaje...?
 
Naunga mkono hatua hiyo.. Ila vile vile lazima tujue hili la mbunge kuhamishwa ni moja ya mapungufu ya katiba.

Pia nadhani hii ya viti maalumu inapashwa kuondolewa kabisa kwenye utaratibu wetu wa katiba mpya. Hawana tija wala ufanisi wowote hawa, wengi ni kula kuku tu..

Je uchaguzi wa meya utarudiwa kweli arusha????
 
cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha
Mama huyo mkongwe na mkomavu kisiasa aliripoti ijumaa kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo.

Soc. tanzania daima

My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa

Sikutegemea kama CHADEMA wataingia kwenye mtego wa CCM kirahisi hivyo na hapo ina maana kuwa CCM walishinda uchaguzi wa meya kihalali kwa mjumbe wao Mh. Chitanda kupiga kura kama mjumbe. Kwa maana hiyo basi , hapo uchaguzi hakuna haja ya kurudiwa kwani mama Chitanda ni mjumbe halali na Komu pia ni mjumbe halali.
 
Kolumu ya 2/3 ilitimia?
 
chadema wakurupukaji na wanaakili za komoni(sehemu ya mbele ya kichwa)

hata kwemye suala la katiba mpya jazba zinawaongoza kuliko busara ati lipelekwe bungeni, hadi walipoambiwa kuwa likienda bungeni litakuwa limetawaliwa na chama tawala kwa kuwa wao ni wengi na kamwe cdm hawana uwezo wa kushinda bungeni ndio wameamka.

kwa hio kuuwa watu wote kwa jambo ambalo walishaambiwa kuwa taratibu zilikuwa wazi, na sasa wameanza kufanya kile kile ambacho walikipinga, hawa mavutu
 
Humfahamu Mary Chatanda,unamfahamu Anna Komu.......kabla Mary hajarudisha miguu Tanga,Komu atakuwa amepokelewa kuzimu!:frusty::banplease::amen:

komu kwa ninavyomfahamu chitanda hana pa kupumulia , ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja amedumu kwenye siasa za ushindani na ni miongoni mwa wanawake wenye ujasiri wasiokata tamaa ukimaliazia kuwa anauwezo wa kushawishi kwa hoja
 
Kolumu ya 2/3 ilitimia?

Sasa kama mlisusa watu waache kufanya uchaguzi kwa vile CHADEMA mlitoka ?. Na mkurugenzi ambae ni msimamizi wa uchaguzi aliwaambia mkitoka uchaguzi utaendelea. Tatizo la CHADEMA kuna watu ambao ni vichwa maji sana, na hayo ndio madhara yake
 
Humjui Komu wewe, ni bora unyamaze tu hana lolote ni fundi wa mambo ya p*a*i tu.
 
Sasa kama mlisusa watu waache kufanya uchaguzi kwa vile CHADEMA mlitoka ?. Na mkurugenzi ambae ni msimamizi wa uchaguzi aliwaambia mkitoka uchaguzi utaendelea. Tatizo la CHADEMA kuna watu ambao ni vichwa maji sana, na hayo ndio madhara yake
Unaongelea itikadi zaidi ya kutumia busara.
 
Kolumu ya 2/3 ilitimia?

Ni sheria gani hiyo inayotaka mahudhurio ya 2/3? Kama unaifahamu naomba tufahamishe.

Mkurugebzi wa jiji alishasema hakuna sheria kama hiyo. Kama ipo basi CHADEMA wana haki na uchaguzi utakuwa haukuwa halali.

Kwa yeyote anayeijua sheria inayosemwa basi atutajie kifungu na ikiwezekana maneno yake. Sitashangaa kama hakuna kitu kama hicho.
 
Kama hujui sasa unapiga kelele za nini.
 
Back
Top Bottom