Chadema wanawasha moto arumeru leo, ffu kila kona

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
507
191
leo cdm wanazindua kampeni zao Arumeru,nw wapo maeneo ya USA krb na chuo kikuu Tumaini Makumira,FFU kila kona ya USA,vijana wa chadema wamejipanga kila kona yani ni chamrachamra za kutosha,kwa mbali naona helkopta ya chadema inapita juu,toyo zote zimeamia cdm,kwa mbali naona gari ya wazi yenye bendera ya cdm imebeba WAZUNGU nao wapo kwenye kampeni. Kwenye daladala wakina mama wanasema hawawezi chagua mtu aliyewekwa kwa maslai ya wengine.Tutazidi kujuzana zaidi bse nipo hapa chuo ila nw naelekea twn.haujambo?MUNGU ATUKUZWE,hbr ya uzima wako?wewe ni mzma kbs?
 
kufanya mbwembwe za kila aina ni sawa, but the bottomline is the ultimate vote count... so wajipapange kama wanataka ushindi
 
Kwi kwi kwi teh teh teh, hao wazungu ni wa kile chama cha Kikatoliki cha siasa cha Ujerumani CDU?
 
Kaka yangu yupo kule ananiambia pamepooza sana, CDM wamezomewa katika baadhi ya mitaa, hali si shwari. Taarifa zaidi zitawajia.
 
Kaka yangu yupo kule ananiambia pamepooza sana, CDM wamezomewa katika baadhi ya mitaa, hali si shwari. Taarifa zaidi zitawajia.

Tumezoea kusikia mkisema mmeambiwa mkatae jambo hata kama ni la kweli basi hukataa,sikushangai
 
Kaka yangu yupo kule ananiambia pamepooza sana, CDM wamezomewa katika baadhi ya mitaa, hali si shwari. Taarifa zaidi zitawajia.

We ni mwongo kabisa kuanzia hapa Atown ni magari pikipiki zenye bendera za cdm huko si ndiyo itakuwa balaa.
 
Kwi kwi kwi teh teh teh, hao wazungu ni wa kile chama cha Kikatoliki cha siasa cha Ujerumani CDU?

ungejua hata CUF chama chako cha magamba wote masela wa hawa CDU.. VyAma vyote ujerumani have christianity origin ili uweze kushinda. Just like islamic parties in Egypt, arabia n middle east.
acha uji-nga wako
 
mkuu tuna hamu ya kujua nini kinajiri,naomba jitahidi upate picha za matukio yote
 
Mbona sasahatuoni kwenye Tv startv mlisema wataonyesha live hapa naona kipindi cha sporah hivi wakuu.
 
Kaka yangu yupo kule ananiambia pamepooza sana, CDM wamezomewa katika baadhi ya mitaa, hali si shwari. Taarifa zaidi zitawajia.
kaka yako ni kipofu sasa habari za kuambiwa tena na kipofu unazileta hapa kwa nini?
 
Nipo mbali kwa leo lakini MUNGU akinijalia nitue,hakika nitafika eneo la tukio.

Nikitua nitawajuza nitakayoyakuta!

Maana ni dhahiri hawa mafisadi mwisho wao huoooooooooo!!
 
Mbona sasahatuoni kwenye Tv startv mlisema wataonyesha live hapa naona kipindi cha sporah hivi wakuu.

Star Tv wapo kibiashara zaidi wanatoa habari zenye mvuto katika jamii, habari zitakazo attract maelfu ya watazamaji, subiri jumatatu utaona live uzindizi wa ccm. Star tv haipromote ukabila, kuonyesha uzindizi wa cdm ni kupromote ukabila jambo ambalo ni kinyume cha maadili ya vyombo vya habari.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom