Chadema wanawakawaka ITV..............wasema bei mpya ya umeme BIG NO....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,463
911,172
Viongozi waandamizi wa Chadema wakiwemo Tumbo na Singo Benson.............wamenguruma kuwa mapendekezo ya bei mpya ya umeme yasitishwe kwa sababu ni mzigo usiobebeka kwa wananchi na chanzo cha Tanesco kukwama ni watendaji na wanasiasa serikalini.........

SOURCE:ITV
 
sijui lini watanzania watakuja kukaa na kufurahia maisha katika nchi yao
 
Achana na hiyo 18.5 % tu.... Hii cost ya umeme wa sasa tayari ni kubwa..... Watu majiko ya umeme yameshakuwa mapambo tu......
 
What CHADEMA needs to do is insure people understand that the reason there are power hikes, power failures, and no power is due to the corruption and incompetence of TANESCO .

Now the government is asking poor Tanzanians to carry the burden of these corrupt, incompetent fools yet none of them have been held accountable for anything.

Tanzanians should not accept this until those responsible are held accountable.
 
Usishanga ccm wakasema katika hili Chadema wanatamani kuhararisha amani na utulivu
 
Ni vema serikali ingefikiria kuondoa VAT (kodi ya ongezeko la thamani) kwenye umeme. Kwa sasa kodi hii ni asilimia 18%.
 
wenye akili tulisema kuwa kumrudisha JK madarakani ni kuleta msiba mzito kwa taifa. sasa ndiyo haya yametukuta. tuendelee na msiba huku tukutafakari. poleni waombolezaji wenzangu, Mungu atutie nguvu katika hiki kipindi kigumu
 
William Mhando the best CEO of the year!

Idrisa Rashid the best CEO of the year!

Net Group Solution the best Management solution

"Kusema kweli nashindwa kuelewa hapo Tanesco patatulia lini? na CEO yupi ataweza?

nafikiri Tibaijuka alitakiwa aje hapo avunje Tanesco kabla palm beach tired!
 
wenye akili tulisema kuwa kumrudisha JK madarakani ni kuleta msiba mzito kwa taifa. sasa ndiyo haya yametukuta. tuendelee na msiba huku tukutafakari. poleni waombolezaji wenzangu, Mungu atutie nguvu katika hiki kipindi kigumu

Uliwahi kusema tatizo la Tanesco ni "Idrasa" sasa unasema ni JK na siyo "William"

Watu kama nyinyi ni wagonjwa sana halafu wajinga sana?
 
Kama majiko ya umeme kwa wafanya biashara waaminifu na wafanya kazi wa kawaida yamekuwa mapambo, je, mkulima wangu ataachaje kukata / kuyeka miti kwa ajili ya nishati?
 
HYKING POWER prices: this all amounts to economic unfairness to the poor whose income is being deeply squeezed while no efforts are being made relieve him of life burden, and as the sitution seems no one is fair minded and a well wisher of the poor. Even EWURA is less inclined to sympathize with the wananchi than with TANESCO! Tegemeeni more deaths thru suicide.
 
Lakini je kabla ya kukanusha wapepitia namna maamuzi yalivyofikiwa au wamefanya kisiasa tu ili kuonekana wanapinga?
 
Lakini je kabla ya kukanusha wapepitia namna maamuzi yalivyofikiwa au wamefanya kisiasa tu ili kuonekana wanapinga?

Walicho pinpoint ni kwamba huu ni mzigo mkubwa usiobebeka kwa wananchi....... kwani we mwenzangu huu mzigo kwako vipi; au una some other means of power e.g. solar power na mimi unimegee.....??????
 
'the hope of a secure and liveable worldlies withdisciplined nonconformists'- Martin Luther King
 
Back
Top Bottom