"Chadema wanaleta vita"

haya, mambo yanaendelea kuwekwa wazi. Kwa hakika sasa kila mmoja atajua nani ni nani katika propaganda nzima! dddf.jpg
 
Tuendelee kusubiri....ili tujue ukweli.Hata waliokwisha kutwaliwa kwa njia ya risasi za police walikuwa wanasubiri kujua ukweli....lkn wao ndo wakawa ukweli unaofuatia.
 
napenda nimwulize mtoa mada kati ya chadema na ccm ni nani mleta vita?kwa sababu ccm ndio walioshika dola,ccm ndio wenye silaha,chadema haina hata mundu ule wakukatia majani iweje useme chadema wanaleta vita?jaribu kuangalia watanzania wa leo ni tofauti na wale wa miaka ya nyuma,chukua mfano mzuri huyu mwandishi wa habari aliuwawa na watu gani,ni mwanasiasa hapana yeye alikuwa anachukua habari,chedema wakati wa vurugu walikuwa na silaha ?jibu ni habana,upande wa pili juzi kati tumeshuhudia wanaccm wanataka kutoana roho kisa madaraka,kama ndanoi ya ccm kuko hivyo wanatishiana nje kutakuwaje kama sio kuwaua kama kuku kwa sababu ni amri tu inatolewa ua na wanaua,mkuu wa polisi Said Mwema aliwaruhusu chadema kufanya maandamano na hatimaye mikutano yao lakini cha kushangaza serikali hii amri ikitolewa kutoka juu haipewi kipaumbele kabisa nashindwa kuelewa ni kwanini, na kwa mtindo huu hali itakuwa mbaya zaidi,na asiye kubali kushindwa si mshindani kamwe,wao hawaamini kuwa wako katika hali mbaya wanaona bado wanapendwa kama zamani
 
Back
Top Bottom