Chadema wanakuwa double standard polisi wanapo wauwa wafuasi wa vyama vingine

halafu mbona sijawahi kusikia CCM wameandamana na mtu kauawa? kwanini upande mwingine tu?
2015 mauaji yatakuwa makubwa zaid kuwahi kutokea, (by mimi, not shekhe yahaya)
 
Baba yako akakuuliza mbona unawahi sana shule siku, ukamjibu yule mwalimu anayegawa BAGIA siku hizi anagawa mapema sana, nitakuta zimeisha.......utafokewa sana na baba'ako kuwa unafata bagia au masomo! Ukamjibu baba yako kuwa ''ELIMU HAINA MWISHO, ILA BAGIA HUWA ZINAISHAGA''........Leo hii hapa unatuonyesha matokeo ya kukimbilia bagia shuleni badala ya masomo

Mwambie baba, ZINAISHAGA, BAGIA, ha haa ha.
 
CHADEMA ya 2001 ndio hii kweli? Nakumbuka pia CHADEMA iliwahi kuwaunga mkono CUF kwenye kugombea URAIS wa Jamhuri pia. Jambo ambalo CUF hawajafanya na hawatafanya.
 
Ritz unapiga propaganda ktk jukwa la GT.
Kwanza ni uwongo wa mchana kweupe kwamba CDM waliunga mkono polisi kuua raia Pemba. Kama unaushahidi lete hapa. Mkuu kule kwenye thread za kifo cha Iringa naomba comment yako hasa ile ya kwangu ya jana. Mbona umekimbia?
 
Ritz ulivyokuwa una-comment kwenye thread za mauaji yanayosababishwa na Polisi dhidi ya kuikabili CDM nilikuona mtu mwerevu na usiyeegemea upande wowote. Nilikuheshimu kwa kuchangia mawazo yako chanya yenye kulaani utumiaji wa nguvu kubwa na kusisitiza hatua stahiki zichukuliwe baada ya uchunguzi. Ila kwa habari yako hii ya sasa, inanifanya niamini kuwa ni mmojawapo unayejipatia ujira kwa kazi hii kwa kuwajibikia kundi fulani. VIPI wamekutishia kukusimamishia mgao nini? Maana hata bumbuwazi hili halijatutoka umekuja na Historia unayoichakachua.
siku nyingine usifanye tena kosa la kuwaamini wanaoshirikiana na shetani.
 
mkuu okwi na ile tabia imemuharibu hadi leo ndio maana hata leo anayoyafanya hapa ni kuhakikisha hakosi mgao wake japo kwa sasa sio bagia tena,nahisi ni alfu kumi.
 
we are talking of current issues, hata mwamko wakati ule ulikuwa sio sana, watu walikuwa waoga zaidi, mambo maovu hayakujitokeza sana wakati huo kama sasa, taarifa pia hazikutolewa waziwazi kama sasa ( zaidi kulikuwa na biased information) iliyozungumzwa na upande mmoja zaidi-ccm.
sasa ukilinganisha mambo yaliyotokea miaka 11 iliyopita! hata cdm ya wakati huo haikuwa hii ya sasa, sina uhakika kama huendi kwenye dini wewe kijana, naona unaelekea huko. ngoja wengine wachangie
na kwa kuongezea pia ccm na hata usalama wa taifa walikuwa hawajagawanyika kama sasa sembuse kuwa na uongozi dhaifu na mchafu kama huu hana hoja.hii cdm hii itawaua kwa presha mwaka huu.
 
Wanabodi,

Tanzania ni nchi yetu sote na itajengwa na sisi wenyewe na itabomolewa na sisi wenyewe, Inasikitisha sana la polisi linapotumia nguvu kuuwa raia wanaofanya maandamo kwa amani kwa kuwapiga risasi za moto.

Itakumbukwa maandamano yalifanyika janauri 27, 2001 yalikabiliwa na polisi na kusababisha vifo na majeruhi. Hadi sasa idadi ya vifo inayotajwa na serikali ni watu 34, lakini kuna madai kuwa waliokufa ni zaidi yao cha kushangaza polisi walipo wauwa hao waandamaji wa Pemba, Chadema walikuwa upande wa Jeshi la Polisi na serikali na kudai waandamaji hao walikuwa wanataka kuatalisha amani ya nchi.

Lakini polisi wanapofanya mauaji kwa wafuasi wa Chadema, kule Arusha walikufa watu wawili, Kule Morogoro alikufa mtu mmoja na Iringa alikufa muandishi wa habari, hawa ndio wanaonekana raia muhimu ambao hawakutakiwa kuuwa lakini waandamaji wa pemba walitakiwa kuuwa..

FJM,
Mie sipo humu kulitetea Jeshi la Polisi, natetea utaifa, ni kweli wanauwa ni polisi, leo hii polisi alifyatua bomu na kumuua mwandishi anafikishwa mahakamani, kwa ni Chadema walikuwa upande wa polisi kwenye mauji ya Pemba?

Mkuu umeanzisha mjadala, unadhani una hoja yako kuwa Chadema walikuwa upande wa polisi kwenye mauaji ya Pemba, hujaweka uthibitisho wowote. Hii inahitaji kuthibitishwa kwanza.

Ukianza na kuuliza kwa nini walikuwa upande wa polisi wakati sehemu ya kwanza haijathibitishwa unafanya kosa la logic linalojulikana "plurium interrogationum" kwa kiingereza wanaita: Fallacy of many questions, au Fallacy of Complex Question, au Fallacy of Loaded question.

Mfano wa kawaida ni pale unapomuuliza mtu: "Je umeacha kumpiga mke wako?". Hapa hawezi kujibu kama kaacha kumpiga au la kabla hajakubali kwanza kuwa ana mazoea ya kumpiga mke wake.

Mfano mwingine: ukiuliza "Mfalme wa sasa wa Ufaransa ni nani?". Swali hili pia lina walakini kwa kuwa kwanza muuliza swali ame assume kuwa ni kweli Ufaransa ina mfalme kwa sasa wakati si kweli. Swali hili halijibiki.

Fallacy hii inajitokeza pale ambapo ndani ya swali kuna dhana ambayo si ya kweli au haijathibitishwa au haikubaliwi.

Kwa hiyo swali lako, kwa misingi ya logic ni swali batili, litapata uhalali pale tu utakapothibitisha sehemu ya kwanza.

Hawa wote wanakuuliza nawe umeshindwa kujibu.

Nadhani kitu cha kwanza tupate ushahidi kwamba CHADEMA au viongozi wake walitoa kauli za kuonyesha kuwa wanaunga mkono mauaji ya Pemba. Halafu tuendelee na mjadala.

Usiwe unaropoka Ritz lete ushahidi Nani kiongozi wa CDM alitamka hayo, Ilikuwa Lini na wapi sio unaamka asubuhi unaandika stori ya ndoto uliyoota usiku.Tulikuheshimu kwa michango yako juu ya matukio haya ya mauaji jirekebishe tusije kukudharau tena kama Nape tunavyomdharau

Ushahidi kwanza kwa kauli yako, then tuendelee na mjadala

Sina hakika na msimamo wa CDM kwa mauaji ya Pemba na kwa kweli ni shutuma nzito. Ili kuachaan na hadithi za vijiweni, kwanza ningemuomba Ritz aweke chapisho la gazeti, sauti ya radio au picha ya video juu ya kauli za kiongozi/viongozi wa CDM kuunga mkono vitendo vya polisi Pemba/Unguja. Pia ningependa kusikia viongozi/wakereketwa wa CDM kuzitolea maelezo shutuma hizi za Ritz.

My take:
- Ikiwa Ritz hakutoa ushahidi wa shutuma zake, nitaamini kuwa anamwaga propaganda zisizo na msingi.

- Na ikiwa kiongozi/viongozi/wakereketwa wa CDM watauchuna kwa hili, nitaamini kuwa vifo vya Wapemba havikuwauma CDM kwa sababu wale ni/walikuwa wafuasi wa mahasimu zao - CUF - bila ya kujali kama walikuwa ni Watanzania.

Lete TAMKO la CHADEMA juu ya 27th January 2001 sio kuongea ka unatoka kuamka kwa uvivu wa kufikiria.

Naomba ukumbusho tamko la CHADEMA kuwa waandamanaji walikuwa wanahatarisha amani ya nchi lilitolowa lini na nani alitoa tamko hilo kwa niaba ya CHADEMA?. Napat hisia kuwa wewe ni mpotoshaji usiyekuwa na kumbukumbu za kutosha. Au umetumwa na Ahmad Rashid wa ADC (ccm c) nini?

Lini CDM walisupport mauaji wakati wafuasi wa vyama vingine wameuawa? Tuache hisia, suala la Wapemba kuuwa wakati ule naamini lilididimizwa na CCM kwa propaganda kama hizi wanazoendelea nazo hadi sasa. Tofauti na wakati ule kwa sasa wananchi wengi wanafuatilia siasa na kikubwa CDM walichofanikiwa ni kuwatoa hofu wananchi maeneo mengi hususani vijijini ambako ilikuwa ngome ya CCM. Unakumbuka namna CCM walivyoihusisha CUF na udini na ikapelekea baadhi ya watu kuamini hivyo enzi hizo?

Mkuu Ritz, Katika jambo hili la mauaji ya Iringa umejitahidi saana kuwa objective. CDM ya sasa si ile ya 2001. CDM ya 2001 ilikuwa chama kidogo sana kisicho na influence kubwa ktk jamiii. Tena kilikuwa chama kinachofanya kazi kwa kuunga mkono harakati zote za CUF. Ndiyo maana uchaguzi mkuu mwaka 2000 CDM ilimuunga mkono LIPUMBA. Sasa hii habari umeitoa wapi?...

Ritz,

Unataka watu walete ushahidi kuhusu CDM wakati wewe umekuja na hoja bila ushahidi. Tuletee ushahidi wako kwanza ili tuone huo ukweli wako.

Mbona haya ni maneneo matupu hata kwenye kanga yamo kama haya..weka ushaidi wa chadema kuunga mkono police walipouwa raia huko pemba. Acha story za kwenye vijiwe vya ghahawa weye.

Ritz umeendelea kuleta hoja ambazo hazina uthibitisho, tafadhali thibitisha kwa cdm waliunga mkono mauaji!

Kwa hili ni wazi umeisingizia cdm, tafadhali jaribu wimbo mwingine hata hivyo unaweza kuendelea kuchangia nyuzi za wenzio kuliko kuleta yako yenye mapungufu kiasi hiki na hiliyo jaa chuki!

Ni bora huu uzi uufute kuliko kuuacha maana bila kujijua umekiri polisi kuusika na mauaji japo haukutegemea na huu uzi una kudharirisha ndugu yangu!

Mchana mwema.

Ritz,

Tupatie ushahidi kwa unayoyasema hapa jukwaani ku-support hoja yako.

weka supporting evidence inayoonyesha jinsi CHADEMA walivyofurahia mauaji ya pemba! vinginevyo hakuna cha kujadili hapa zaidi ya porojo tu!

Kabla ya yote, thibitisha hizi tuhuma kwenye red hapo

Hiyo kauli si ya kweli, kwa hiyo haiwezi kujadiliwa kabla hujaithibisha na kuitolea ushahidi.

Toa nukuu ya tamko la CDM kuunga mkono Polisi. Nani alitoa tamko, wapi, tarehe, na content za tamko.

wewe unatakiwa ujenge hoja kwanza,umeulizwa hapo juu ni kiongozi gani wa cdm aliunga mkono hayo mauaji ya pemba?

Sasa mkuu unasema tuu bila kuleta ushahidi wa nani alisema nini na wapi? huu tutauita umbea!! Potea.....

Unaweza ukaweka ushahidi hapa juu ya kauli yako hii? Au ni porojo za kitoto?

Mkuu Ritz, kubali tu kuwa hii thread haina evidence za kutosha. Muungwana na vitendo.

Ritz unapiga propaganda ktk jukwa la GT.
Kwanza ni uwongo wa mchana kweupe kwamba CDM waliunga mkono polisi kuua raia Pemba. Kama unaushahidi lete hapa. Mkuu kule kwenye thread za kifo cha Iringa naomba comment yako hasa ile ya kwangu ya jana. Mbona umekimbia?

Umeulizwa mara ishirini swali hilo. Kama huna jibu la hilo hamna mjadala hapa. Umetuwekea Fallacy ya Complex question. Tuwekee ushahidi ili uwe na hoja halali ya kujibiwa.

Great thinkers hutumia logic kwenye hoja zao!
 
Mkuu sijui ulianza kufuatilia lini siasa za Tanzania, mauwaji ya Pemba yametokea Janauri 27, 2001 baada ya uchaguzi uliyofanyika mwaka 2000 na mgombea wa Chadema alikuwa Freeman Mbowe, hakuwahi kusema chochote kuhusu mauwaji ya watu 34, yeye kwake mauaji muhimu yale ya Arusha ya watu wawili.


Mkuu mwaka 2005 mgombea urais wa Chadema alikuwa Mbowe, alishika nafasi ya tatu nyuma ya Prof Lipumba.



SINA UHAKIKA SANA NA HAYA MAELEZO YAKO MKUU HAPO JUUU NADHANI NAHITAJI MAELEZO ZAIDI KABLA SIJAANZA KUHOJI UELEWA WAKO NA KUKUTILIA SHAKA NA DATA ZAKO UNAZOLETA HAPA
 
Mkuu umeanzisha mjadala, unadhani una hoja yako kuwa Chadema walikuwa upande wa polisi kwenye mauaji ya Pemba, hujaweka uthibitisho wowote. Hii inahitaji kuthibitishwa kwanza.

Ukianza na kuuliza kwa nini walikuwa upande wa polisi wakati sehemu ya kwanza haijathibitishwa unafanya kosa la logic linalojulikana "plurium interrogationum" kwa kiingereza wanaita: Fallacy of many questions, au Fallacy of Complex Question, au Fallacy of Loaded question.

Mfano wa kawaida ni pale unapomuuliza mtu: "Je umeacha kumpiga mke wako?". Hapa hawezi kujibu kama kaacha kumpiga au la kabla hajakubali kwanza kuwa ana mazoea ya kumpiga mke wake.

Mfano mwingine: ukiuliza "Mfalme wa sasa wa Ufaransa ni nani?". Swali hili pia lina walakini kwa kuwa kwanza muuliza swali ame assume kuwa ni kweli Ufaransa ina mfalme kwa sasa wakati si kweli. Swali hili halijibiki.

Fallacy hii inajitokeza pale ambapo ndani ya swali kuna dhana ambayo si ya kweli au haijathibitishwa au haikubaliwi.

Kwa hiyo swali lako, kwa misingi ya logic ni swali batili, litapata uhalali pale tu utakapothibitisha sehemu ya kwanza.

Hawa wote wanakuuliza nawe umeshindwa kujibu.









































Umeulizwa mara ishirini swali hilo. Kama huna jibu la hilo hamna mjadala hapa. Umetuwekea Fallacy ya Complex question. Tuwekee ushahidi ili uwe na hoja halali ya kujibiwa.

Great thinkers hutumia logic kwenye hoja zao!

Wala aitaji PhD kujua kama Chadema walikuwa upande wa polisi kwenye mauaji ya Pemba kusoma hujui hata picha uoni bila hata kukuletea ushahidi michango yenu nyie Pro-Chadema wengi wenu mauaji ya Pemba mnayaona ya kawaida tu kama waliopigwa risasi ni Nyumbu, raia ni watu wa Arusha.
 
Chadema ina lazimisha siku zote maandamano ili mtu afe ili ipate umaarufu kwa watanzania wajinga ambao hawawezi fikiria!
 
Hivi umeishawahi kumsikia Dr.Slaa au Mbowe au Lema, wakilalamika kuhumu mauaji ya Pemba...

Mauaji muhimu kwao ni ya Arusha na Morogoro.
 
RITZ kwa kweli umeiabisha sana hiyo Status yako ya GOLD MEMBER............
uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.........unaendeshwa na udini na ukabila na chuki
huna ushahidi lakini bado mbishi unataka watu wakuamini
 
At post#3
Baada ya yote hayo mwisho wake Seif akaungana na CCM. Huu ni usaliti wa hali ya juu.
 
Unao ushahidi kuwa CHADEMA walisema hivyo? Hbu ona MAGAMBA mlivyoanikwa hapa kabla ya kuwaoa wabaya wenu wa wakati ule!

THE CIVIC UNITED FRONT

PRELIMINARY REPORT ON HUMAN RIGHTS ABUSES COMMITTED BY TANZANIAN ARMED FORCES IN ZANZIBAR SINCE JANUARY 26[SUP]TH[/SUP], 2001
7[SUP]th[/SUP] February , 2001


Massacres in Zanzibar
Tanzanian police, riot police, army, navy (KMKM), secret police and other security forces have, since January 26[SUP]th[/SUP] 2001, engaged in a coordinated program to place Zanzibar under military rule and to inflict massive human rights violations on its people. Benjamin Mkapa should be held responsible in the eyes of the world for approving the use of live ammunition to kill dozens of peaceful demonstrators, and for the subsequent campaign of terror to punish Zanzibaris for daring to stand up for the principles of political pluralism and freedom of assembly. Armed forces have injured hundreds of people, shooting them in their homes, sinking boats carrying injured refugees, raping, and looting. We hope that all perpetrators of these atrocities will be brought to justice, both those who committed crimes and those who ordered them.

This report is a preliminary summary of available information from eye-witness accounts by refugees and other sources. Almost all of our leaders have been arrested, are in hiding, or have disappeared. Collecting information on human-rights abuses is very dangerous because our telephone calls are monitored, we are searched when we travel, and we are under surveillance by secret police and CCM officials. The government is attempting to cover-up and hide their actions, but the truth will be known. We are compiling these lists of victims in order to help their families and friends to know what happened to them. But we also hope that knowledge of the Tanzanian state’s persecution of its citizens will lead Tanzanians and others to insist on the need to safeguard democracy and basic human rights. Please contact CUF if you have any information about the whereabouts or conditions of our fellow countrymen.

Starting from today, 7[SUP]th[/SUP] Feb. 2001, daily updates of news and events will be circulated throughout the world. If you would like to know what is really going on, without censorship by the government, please contact cuftz@hotmail.com


Note: These figures are very preliminary and incomplete. It will take a long time for the world to be able to have complete figures and information about the massacres and other human rights abuses committed in Zanzibar by government armed forces. Up to now, people are still being tortured, humiliated, intimidated, killed, etc.

Summary Table (for up to 7[SUP]th[/SUP] Feb. 2001)



S/N



Location
The Number
of
Deaths
The Number
of Injured (treated)
The Number
of
Injured (but not treated
The Number
of
Raped & Looted
Number
of
Refugees
Number
of
Missing People
1.
2.
3.
4.
5.
Micheweni
Wete
Chake Chake
Unguja Town
Mombasa (Kenya)
21
21
17
8
-
14
44
55
-
14
60
100
120
380
-
-
-
16
-
-
-
-
-
-
510
580
437
132
-
-

Total Number

67

127

660

16

510

1149

Legend: - means data not yet available and will be provided in later updates.

1. DISTRICT: MICHEWENI, PEMBA

A: The list of people killed:

The list of people killed in Micheweni is not yet available owing to the difficulty in communicating with the people in that District. It is however reported that at least 21 people were killed there on the 27[SUP]th[/SUP] of January 2001.

B: The list of people injured:

S/N

Name of the Victim

Sex

Age

Victims Address
Victim’s
Condition

Remarks
1Abdalla Seif MasoudMMicheweniSeriousReferred to Wete Hosp
2Ali Rashid SalimMMicheweniSeriousReferred to Wete Hosp
3Issa Said OmarMMichewenibadAdmitted
4Ali Khalid KhatibMMicheweniSeriousReferred to Wete Hosp
5Maalim Salum RashidMMichewenibadAdmitted
6Machano IssaMMicheweniSeriousReferred to Wete Hosp
7Khamis Shame KomboMMichewenibadAdmitted
8Khatib Khamis ShameMMichewenibadAdmitted
9Juma Khatour IssaMMichewenibadAdmitted
10Nassor Juma ShameMMichewenibadAdmitted
11Rashid Khalid SalumMMichewenibadAdmitted
12Ali Juma AliMMichewenibadAdmitted
13Masoud Kombo HamadMMichewenibadAdmitted
14Juma Mganga HajiMMichewenibadReferred to Wete Hosp

REPORTED NUMBER WHO RECEIVED MEDICAL TREATMENT FROM MICHEWENI DISTRICT AS OF 7th FEB 2001 = 14



2. DISTRICT: WETE, PEMBA
A: The list of people killed:

S/N

Name of the Deceased

Sex

Age

Deceased Address

Remarks

Those who were shot before the demonstration
1Mjaka Salim AliMKinyasini
2Chande SaidMMsuka
3Hemed Said OmarMNjuguni
4Juma Bakar JumaMChwale
5Haji Bakar HajiMMchangamdogo
6Hassan Omar HassanMKipangani
7Asha Hamad MassoudF49Bopwe
8Ali Omar KibabuMMtambwe
9Moh’d SaidMBopwe
10Ali HusseinMKojani
11Haji Kombo AliMMchangamdogoKilled at Limbani, Wete

Those who were shot at the demonstration
12Kombo Ali Abdalla (Kombo Ngozi)MChasasaShot in the chest

Those who were shot after the demonstration
13Abdalla Moh’d SalumMKizimbaniShot in the stomach
14Salim Masoud Khamis MiskryMShot in the head. Killed at his home while not participating in any demonstrations. He was actually a newly-wed who came to Wete to pick up his wife for Sweden, his present residence before his brutal death.
15AbeidMChasasaShot in the back
16Ahmed Said OthmanMShot in the chest & ribs. Killed while helping Salim Masoud after he was shot by police.
17Salim Juma (Fundi Salim)MChasasaClubbed to death
18Abdalla RajabMClubbed to death
19Abdalla HamadM
20Mohammed AmourMSchool teacher
21Abeid Moh’d AbeidMMajimbikani

TOTAL DEATHS FOR THE WETE DISTRICT AS OF 7[SUP]th[/SUP] FEB. 2001 = 21



B: The list of injured people who received medical treatment
[Note: Most injured in Wete were denied medical treatment]
S/N
Name of the Victim

Sex

Age
Victims AddressVictim’s
Condition

Remarks
1Hidaya Salim HabibF19KipanganiShot in the shoulderReferred to Mkoani Hosp.
2Haji Khamis MakameM22FinyaCut woundAdmitted
3Hassan Ali MwinyiM24FinyaCut woundAdmitted
4Ame Makame MnyaaM24FinyaCut woundAdmitted
5Omar Faki JumaM37BopweShot in the palmReferred to Mkoani Hosp.
6Faki Omar FakiM25ChoziCut woundAdmitted
7Khatib Kassim KhatibM29UzunguniFace cut woundAdmitted
8Moh’d SuleimanM26KizimbaniShot in the abdomenReferred to Mkoani Hosp.
9Japhet KadagalaM36Mjini WeteCut woundNot admitted
10Chum Ali Moh’dM25FinyaTrauma & wrist POPNot Admitted
11Khamis Juma ChoumM24FinyaBruisesNot Admitted
14Bakari SalumM
13Khamis Mbarouk KhamisM32MlindoShot in the thigh & fermerReferred to Mkoani Hosp.
14Rahma Abdalla MasoudF40BopweShot in the kneeAdmitted
15Awena Hamad KhamisF30BopweAdmitted
16Abdulaziz Shehe KahaleM19KipanganiBullet woundAdmitted
17Omar Hafidh HamadM21UtaaniShot in lower kneeAdmitted
18Fadhil Juma AliM19SelemShot in the abdomenAdmitted
19Raya Ali JumaF32ChasasaShot in the chestAdmitted
20Tamasha Abdi SheriaF24UtaaniShot in lower abdomenReferred to Mkoani Hosp.
21Sharifa Kombo HamadF60KojaniShot in thighAdmitted
22Abass Ali KhamisM27MtambweShot in the chestAdmitted
23Ali Omar SalehM30MtambweShot in lower kneeAdmitted
24Shehe Ali HamadM29JojoShot in the ankleReferred to Mkoani Hosp.
25Ali Hussein AliM37MkwajuniShot in the headAdmitted
26Suleiman Kassim HamadM39JadidaShot in the wrist (POP)Admitted
27Sultan Khalfan NassorM60UtaaniShot in the elbow jointReferred to Mkoani Hosp.
28Omar Hamad OmarM40MtambweShot in thighs both legsAdmitted
29Bakar Ali HamadM40JadidaShot ankle ( POP)Admitted
30Juma Omar SaidM53MtemaniMulti bruisesAdmitted
31Suleiman Omar KhatibM40BwagamoyoHit in the fibula (POP)Admitted
32Moh’d Said Moh’dM52MtemaniCut wound in the faceAdmitted
33Mussa Haji HamadM39JojoShot in the buttocksAdmitted
34Khatib Juma MaalimM36M/ MdogoShot in the left thighAdmitted
35Shaibu Ali HamadM27OleShot in the buttocksAdmitted
36Fatuma Issa MbaroukF27PandaniAdmitted
37Moh’d Juma HamadMAdmitted
38Ali Habibu HamadMShot in the right armAdmitted
39BidoroFCut wound in the faceAdmitted
40Mwalimu RashidMShot in the back headAdmitted
41Mussa Ali HamadMShot in the chestReferred to Mkoani Hosp.
42Khamis NahodhaMShot in both legsAdmitted
43Ali Omar SalehMShot in the legsAdmitted
44Kassim Maalim HassanMShot in the ribsAdmitted

REPORTED NUMBER WHO RECEIVED MEDICAL TREATMENT FROM WETE DISTRICT AS OF 7[SUP]th[/SUP] FEB 2001 = 44



3. DISTRICT: CHAKE CHAKE, PEMBA
A: The list of people killed:

S/N

Name of the Deceased

Sex

Deceased Address

Remarks
1Malik AbdallaMMvumoni
2Ali Haji KomboMShamiani
3Said Moh’d KassimMGombani
4Habibu IbrahimMFuraha
5Asha Moh’d SeifF
6Isha JumaFMachomane
7Mpaji JumaFMchanga wa Kwale
8Hafidh Moh’d SalimMKiwani
9Khamis Salum Moh’dMKiwani
10Salma Juma SuleimanFKiwani
11Habibu SalimM
12Salim JumaMMwachawa
13Kombo AliMMtakata
14Asha Ali Moh’dFWawi
15Tatu AbdallaFMgogoni
16Mauwa SalehFBarawa
17Ali Juma AliMWawi

TOTAL NUMBER OF DEATHS IN CHAKE CHAKE DISTRICT AS OF 7th FEB. 2001 = 17




B: The list of injured people who received medical treatment:

S/N

Name of the Victim

Sex

Age

Victims Address
Victim’s
Condition

Remarks
1Ali Abdalla KhamisM50WawibadAdmitted
2Ali Abdallah AliM25ZiwanibadAdmitted
3Ali Khamis ZiadM28VitongojibadAdmitted
4Ali Moh’d AliM48W/UjingabadAdmitted
5Ali Omar AliMWeshabadAdmitted
6Ali Petro LumilyaM45MkanjunibadAdmitted
7Amina Abdi AbassF16ChanjaanibadAdmitted
8Asha Ali KhamisF30WawibadAdmitted
9Hafidh Moh’d SalimM42GombaniseriousReferred to Mkoani Hosp.
10Hakim Shukur HakimM40MtoniseriousReferred to Mkoani Hosp.
11Halima Kombo AliF18Wawi MgogoniseriousReferred to Mkoani Hosp.
12Hamad Khamis SalehM37MsukaseriousReferred to Mkoani Hosp.
13Hamad Mmaka SalehM22W/MgogonibadAdmitted
14Hamad Omar JumaM40W/MgogonibadAdmitted
15Hemed Nassor SaidM19MachomanebadAdmitted
16Hidaya Hamad BakarF29MachomanebadAdmitted
17Isha Juma AliF50MachomanebadAdmitted
18Jenet P. MwakatagweF22MakangaleseriousReferred to Mkoani Hosp.
19Juma Khamis AliM22W/MgogonibadAdmitted
20Juma Ngwali KomboM71MachomaneseriousReferred to Mkoani Hosp.
21Khadija Ali JumaF35MtonibadAdmitted
22Khamis HajiMbadAdmitted
23Khamis Salim Moh’dM60MkanjunibadAdmitted
24Khatib Ali KhatibM35GombanibadAdmitted
25Kombo Yusuf KomboM45badAdmitted
26Maua Saleh SaidF37Ziwani BarawaseriousReferred to Mkoani Hosp.
27Mgeni Mzee JumaF29ChanjaanibadAdmitted
28Mkubwa Khamis IddiM30Wawi MgogonibadAdmitted
29Moh’d HilalM50MsinginiseriousReferred to Wete Hosp.
30Moh’d Juma NgwaliM24MachomanebadAdmitted
31Moh’d Khamis HajiM30KwaleseriousReferred to Mkoani Hosp.
32Othman Nassor KomboM43MachomanebadAdmitted
33Ramadhan S. RamadhanM38MicheweniseriousReferred to Mkoani Hosp.
34Rashid SuleimanM65seriousReferred to Mkoani Hosp.
35Raya SaadFbadAdmitted
36Sadiq Said SadiqM34VikungunibadAdmitted
37Said Ali SaidM34VikungunibadAdmitted
38Said Amir SaidM35MachomanebadAdmitted
39Said Kombo HajiM50KwalebadAdmitted
40Said Salim OmarM17VikunguniseriousReferred to Mkoani Hosp.
41Said Seif Moh’dM22MachomanebadAdmitted
42Said SuleimanMbadAdmitted
43Salim Abdalla AliM48VikungunibadAdmitted
44Salim Ameir KhamisM39MachomanebadAdmitted
45Salim Juma SuleimanM35WingwibadAdmitted
46Salim Khamis JaffarM24MachomanebadAdmitted
47Salim Said SalimM35WingwibadAdmitted
48Seif Moh’d OmarM51W/MgogonibadAdmitted
49Shafi HamadMbadAdmitted
50Sharif Salim Moh’dM55Wawi BranchbadAdmitted
51Tatu Abdalla KomboF25MgogonibadAdmitted
52Yadali SaidbadAdmitted
53Yahya Hamdani SaidM20MuharitanibadAdmitted
54Yahya HamadMseriousShot in the upper abdomen. Admitted at Mkoani Hospital
55Ali Michael BabediMSnatched away from Mkoani Referral Hospital by riot police officers

REPORTED NUMBER OF INJURED WHO RECEIVED MEDICAL TREATMENT IN CHAKECHAKE DISTRICT AS OF 7[SUP]th[/SUP] FEB 2001 = 55



4. DISTRICT: ZANZIBAR TOWN
A: The list of people killed:

S/N

Name of the Deceased

Sex

Deceased Address

Remarks
1Juma Moh’d KhamisMKilled on 26[SUP]th[/SUP] Jan. 2001
2Hamad SaidMKilled on 27[SUP]th[/SUP] Jan. 2001
3Abdalla Said Moh’dMKilled on 27[SUP]th[/SUP] Jan. 2001
4Gharib Salim Hamad BaalawyMHurumziKilled on 27[SUP]th[/SUP] Jan. 2001
5Mwalimu Nassor MwalimuMKilled on 27[SUP]th[/SUP] Jan. 2001
6Mdungi AliMKilled on 27[SUP]th[/SUP] Jan. 2001
7Kombo RashidMKilled on 27[SUP]th[/SUP] Jan. 2001
8Juma Hamad FakiMKilled on 27[SUP]th[/SUP] Jan. 2001

TOTAL NUMBER OF REPORTED DEATHS IN ZANZIBAR TOWN AS OF 7[SUP]th[/SUP] FEB. 2001 = 8



5. MOMBASA, KENYA
A: The list of people killed:

Police reported that 3 refugees out of many (estimated to be more than 1000) that fled to Mombasa, Kenya, died in hospital from gunshot wounds. The names of the deceased are not available yet and will be reported as soon as possible.

B: The list of people injured:

S/N

Name of the Victim

Sex

Age

Victims Address
Victim’s
Condition

Remarks
1Issa Khamis AliM29
2Abdulli AbdallaM20
3Ali Salim AliM20
4Sharif Kassim AhmedM36
5Rashid Juma BakariM35
6Ali Juma SharifM21
7Hemed Ameir SaidM20
8Moh’d Khamis KhalfanM34
9Juma Mbarouk MatanoM16
10Faki Omar FakiM25
11Moh’d Abdalla AliM27
12Haji Osman HajiM31
13Sleyum Hussein SalimM18
REPORTED NUMBER OF INJURED WHO RECEIVED MEDICAL TREATMENT IN MOMBASA, KENYA AS OF 7[SUP]th[/SUP] FEB 2001 = 13


Reports of Human Rights Abuses by Police and Security Forces, by District and Date


District


Date of events


Details of the events
Mkoani Pemba27[SUP]th[/SUP] Jan 2001(1) Many Riot Police and other security forces from mainland Tanzania & Zanzibar were observed on the main road coming from the Harbour.
(2) No food available in town, as all people are locked inside their homes. Mkoani town is virtually under curfew.
28[SUP]th[/SUP] Jan 2001(3) So far 18 severely injured people have been admitted to the
Mkoani Hospital. Among the 18, 4 are in serious condition, including:
(i) Ms. Tamasha Abdi Sheria of Utaani, Wete, who was shot by police, the bullet went through her buttocks and through her private parts.
(ii) Mr. Bakar Salum, shot by the police, the bullet went through his thigh and also damaged part of his urinary bladder. As a result, he has no control of his urine.
(4)Three other severely injured patients were brought in and admitted at Mkoani Referral hospital from Chake Chake and Wete, making the total number of seriously injured people to be 22. The four new patients are:
(i) Mr. Omar Hafidh , from Wete, whose leg was
smashed by a bullet.
(ii) Mr. Mussa Ali Hamad of Chasasa, Wete, is still in serious condition because of a bullet that penetrated his chest under his breast, got him so bad that he is still bleeding continuously and doctors have already instructed his relatives to refer him to Muhimbili Hospital in Dar-es-Salaam.
(iii) Hidaya Salim Habib (teenager) from Wete who was shot in the shoulder when she was inside her home.
(iv) Yahya Hamad of Chake Chake, who was shot by police in the upper abdomen.
29[SUP]th[/SUP]Jan. 2001(5)On the night of 29[SUP]th[/SUP] Jan 2001, all the 22 severely injured patients were forcefully interrogated and made to write and sign statements, against their will and in the absence of their lawyers.

The moment they finished signing those forced statements, police told them that they were all under arrest. The police remained inside the wards carrying their weapons, the action that prompted protest from the Chinese doctors who ordered the police out of the wards. Still determined to continue with their humiliation and psychological torture to the patients, police decided to take guard, fully armed, around the ward.

Since then, police have been demanding doctors to release the sick people so that the police could arrest them, prosecute them and take them to jail.
30[SUP]th[/SUP] Jan 2001(6)On 30[SUP]th[/SUP] Jan 2001, Mr. Moh’d Salim (alias Mulla) together with Mr. Masoud Khamis Omar (alias Meya) and Mr. Moh’d Adam were severely beaten-up by riot police while sitting on the verandah talking. While Mr. Meya and Mr. Moh'd Adam managed to escape after being beaten-up for some time, Mr. Mulla could not make it and he was immediately arrested. He was eventually released late in the evening but ordered to report back to the police the next day (31[SUP]st[/SUP] Jan 2001) along with the other two who had escaped police brutality.

(7)On the same day, 30[SUP]th[/SUP] 2001, police forcefully cut off the beard of Mr.Moh’d Ali Moh’d at Kipitacho area using a knife.

(8)Another incident involved Mr. Imu who was spared of humiliation but ordered not to be seen with beard the next day, otherwise he could be punished.

(9)On this day, 30[SUP]th[/SUP] Jan. 2001, police ordered the muadhin, the person responsible for the call-to-prayer at the mosque, not to make a prayer-call for the evening (Isha) prayer, (usually made soon after 8 p.m.), otherwise they would ‘fix him’. Not only was he told not to make the prayer-call, but he was also warned that if anyone was caught saying prayers in the mosque after 7 p.m., he (muadhin) would also be arrested and punished. This order put off every Muslim from going to Isha prayer as going there could mean risking the life of the muadhin.

(10)On this date, 30[SUP]th[/SUP] January, 2001, a convoy of riot police officers in full riot, gear arrested and dragged away two patients, Ms. Khadija Ali Juma of Chake Chake, and Mr. Ali Michael Babedi, from Mkoani Referral Hospital.
Chake Chake Pemba27[SUP]th[/SUP] to 29[SUP]th[/SUP] Jan 2001(1)After beating-up and killing people with live bullets on the streets, Police and other Security forces engaged in breaking into people’s houses, severely beating up the occupants with police clubs and rifle-butts, raping women in some cases, smashing wardrobes and jewelry chests and finally looting jewelery, cash money, radios, TVs and other valuables. Most of the stolen jewelery is that which had been traditionally inherited from their ancestors generation after generation. Thus it is irreplaceable.

In the course of looting, police were saying loudly, “You Pembans have no discipline as you had not witnessed revolution violence and hence we have come here to show you Pembans the real revolution”.
Some of the houses that were looted of valuables were those of the following people:

(i) Mr. Juma Ngwali, at Machomane
(ii) Ms. Sharifa Mussa (Mrs.Marshed), at Mkanjuni (3) Mr. Suleiman Seif, at Mabatini
(iii)Mr. Suleiman Seif, at mabatini
(iv) Ms. Lulu (300,000 TShs were stolen)
(v) Mr. Rashid Seif

(2) The number of missing people is more than 40 for Chake Chake alone, and most of them are assumed dead.
Wete, Pemba
























































27[SUP]th[/SUP] to 29[SUP]th[/SUP] Jan 2001(1)On 27[SUP]th[/SUP] Jan 2001, there were 9 bodies in the mortuary of the Wete Hospital, 4 bodies inside the Limbani CUF branch, and 2 bodies inside the Mtemani branch.

(2)Mr. Salim (alias Fundi Salim) , who was accused of having washed the body of a family member who had been shot dead by Police earlier the same day, was arrested by Police at Chasasa, tortured and killed and then his body was dumped at the mortuary of the Wete Hospital. His death was instigated by the local CCM representative, the Sheha (local Headman), Mr. Ali Hamad (alias Mpemba Mwekundu) who had earlier asked police officers to punish him for washing and preparing (for burial) the body of a CUF member.

(3)Police officers were harassing injured patients inside Wete hospital wards to finish them-up, as they were heard boasting about. This Police man-handling forced many bullet-injured patients to seek refuge in forests and it is feared that many might have died of these bullet wounds.

(4)Those injured were barred by Police from being treated in Government Hospitals. In one incident, Riot Police officers stopped an ambulance and ordered the doctors to take out all patients, who were being transferred to Mkoani Hospital with severe injuries. When these police officers were asked why the patients should be unloaded while in such critical condition, they publicly said that they wanted to kill them. Fortunately, the doctors refused and told the police officers that they (doctors) would rather die than hand over those patients to the police officers.

(5)It is reported that two boats carrying injured refugees were sunk by police or navy, and all the passengers drowned. Passengers in a third boat witnessed the sinking caused by a police helicopter and reported it when they arrived in Mombasa. The sunk boats are estimated to have been carrying more than 50 people.

(6)At Mtambwe (Uchozini) many people were shot dead by Police and Navy officers as they were fleeing for their safety from the demonstration scene. Many dead bodies there, and of those who died in forests in different parts of Pemba have not been collected for burial as people are not allowed to go out of their houses, and this could trigger an outbreak of cholera and other diseases.

(7)Somebody (name withheld) witnessed a 60-year old man sitting at his home being shot at by police.
(8) Somebody (name withheld) witnessed a woman who was cooking in her home’s kitchen being shot by police.
(9) Medical supplies in Pemba have been depleted.

(10)More than 30 shops have been broken into and looted of stock in Wete, including that of Mr. Masoud Ali Hamad.

(11)Humiliation and sufferings continues in Pemba, especially in Wete and Mkoani. People are still harassed and tortured.

(12) Ambulances are the only vehicles allowed on the road, and they are always followed by heavily-armed riot-police cars in Wete.
30[SUP]th[/SUP] Jan 2001(1) Road blocks between Chake Chake and Wete towns are still in place, all cars and passengers are searched and all knives found with passengers are confiscated. (Note: Pembans take with them knives as tools rather than weapons). Many passengers are harassed and humiliated.

(2) In Mtambwe area, 3 bodies have been found.

(3) A soldier by the name Ali Makame (alias Kijeshi) seconded to the office of the Regional Commissinor for Pemba North region, dared to rape the wife of another soldier (name withheld). It is suspected that the act was commited with the purpose of making the victim's husband believe that his wife was raped by his neighbours so that he could retaliate and harm and even kill the innocent neighbours.

(4)Police officers also looted food stuff, as much as they could carry at the Wete Market, and then they sprayed salt on the remaining food stuff which they could not carry on their lorries, so that the owners of would not be able to sell the commodities to any customers.

(5) Mr. Ali Moh’d Juma (alias Ali Zungu) of Hodhi la Ng’ombe was arrested after all his vehicles had been smashed and destroyed by police.

(iii) Mr. Nassor, a seriously injured victim of police brutality shown groaning on ITV (a TV station in dar es salaam), is yet to be taken to hospital for treatment as the police still hold him at the Wete Police station.
Micheweni, Pemba30[SUP]th[/SUP] Jan 2001(1)According to the Micheweni-hospital report, 14 injured people were treated there, out of which the following were referred to the Wete Hospital as their injuries were serious:
Mr. Abdalla Seif Masoud
Mr. Ali Rashid Salum
Mr. Ali Khalid Khatib, and
Mr. Machano Issa

(2)Two big police lorries fully laden with severely beaten-up people who were arrested in Micheweni, under a heavy riot police guard with full riot gear, was seen roaming the streets of Wete.

(3)A group of people who were preparing a shroud for the burial of one of those earlier shot and killed by police were also shot at by the police and died.
CUF H’QUARTERS















































27[SUP]th[/SUP] Jan 2001(1) Mr. Maulid Makame, a member of the Central Committee of CUF, and Mr. Moh’d Ali Yussuf, the CUF's Director for Human Rights, were arrested at their residences at around 3:00 a.m. in the morning, by heavily armed convoys of police.

(2) Among many people who were beaten-up and then violently arrested by police on the early morning hours of this day, 27[SUP]th[/SUP] Jan. 2001, were CUF leaders including Mr. Said Miraji the Deputy Youth Director of CUF, Mr. Rashid Nyange, Mr. Duni (the nephew of Mr. Juma Duni), and Hajjy Sadifa (leader and active member of CUF's Blue Guards).

These leaders, after they were dumped at the Madema police station, in Zanzibar town, were isolated from the group and were separately taken into secluded torturing chambers, where they were tortured each by a mob of more than eight policemen using police clubs, army boots and fists until they were unconscious.

A mob of more than eight policemen beat up, Mr. S. Miraji until he fell down helplessly when the mob decided to jump up and down on his body with their army boots on. At this stage he became unconscious and was assumed to be dead by the police mob. Mr. S. Miraji is admitted at the Mnazi Mmoja Hospital in Zanzibar, suffering from paralysis among other ailments and his condition was still serious as he can neither stand on his feet, nor can he fold his legs without the help of nurses.

(3) Most of those arrested on 27[SUP]th[/SUP] Jan, 2001, were taken to the Mwanakwerekwe Primary and District Courts. Their case is scheduled for hearing on 9[SUP]th[/SUP] Feb 2001.

(4) Most of those arrested on 28[SUP]th[/SUP] Jan, 2001, were taken to the Mwanakwerekwe Primary and District Courts. Their case is scheduled for a hearing on 12[SUP]th[/SUP] Feb 2001.
29[SUP]th[/SUP] Jan 2001(1) On 29[SUP]th[/SUP] Jan 2001, early in the morning, Mrs. Fatma Saleh was arrested at her home in Mchangani, in Zanzibar. Mrs Fatma works as a secretary at the CUF headquarters at Mtendeni, Zanzibar.
2[SUP]nd[/SUP] Feb. 2001














(1)In the evening of 2[SUP]nd[/SUP] Feb. 2001, the Commanding Officer for Zanzibar Town District (OCD), SP George Kizuguto accompanied by more than twelve riot police officers with full riot-gear, stormed the Casualty ward designated for the remandees and evicted by force all those admitted except four of them, who took them to unknown location. The list of those evicted included Mr. Duni and Hajjy Sadifa as well as one women. This action is thought to have been taken for the purpose of keeping all the seriously injured patients away from the eyes of the European Union Delegation currently visiting Unguja and Pemba Isles.

Reports from Kiinuamiguu Remand Prison say that CUF leaders who were being held there, and their followers, are tortured daily. It is reported from reliable sources that Mr. Maulid Makame’s arm was broken. Mr. Zahor Tamali, who suffers from diabetes, could not take it any more and he was admitted at the inside-prison dispensary with no medicine and food as the prison authorities have issued an order that food and medicine should not be brought for all the prisoners.


The following is a list of some of the victims who were physically abused by Police and those whose properties were looted by the Police in collaboration with other Security forces in Chake Chake, Pemba. The lists for other regions of Zanzibar will be published later.

S/NNAME OF THE VICTIM
SEX
VICTIM’S ADDRESS
DETAILS OF PROPERTIES LOOTED
1Khamis MgandoMBeaten-up, then 25,000/- (TShs) stolen, then was arrested along with his father, Kheri.
2Bimkubwa FWas beaten up and then robbed of her money
3KheriMSee above, no. 1
4Asha Salim SuleimanFWas shot with live ammunition in her house, and her young sister was forced to take off her under wear. Also Police seized 18,000/- TShs.
5Famau Salim SuleimanMWas robbed of 106,000/- TShs, cash.
6Ramadhan IbrahimMThe inside doors of his house were broken.
7Fatma Salim FundiFWas beaten up and then robbed of her golden necklace and one radio. Her husband was severely beaten up.
8Fatma Rashid SalimFTwo doors of her house were broken, then she and her husband Mr. Seif Suleiman, were both beaten up by Police, who injured Mr Seif’s leg and arm. After beating her spouse, Police robbed her of 2 golden necklaces, 4 golden rings, 1 golden bracelet, 1 golden earring, 670,000/- TShs in cash, 1 school bag, 2 bottles of perfume, 4 watches, 1 mobile-telephone handset, 10 pairs of kanga cloth.
9Rashid SeifMPolice took 150,000 TShs in cash from his house, and his wife was physically abused by Police.
10Halima NassorFHer clothes were stripped off and physically abused by Police, her husband was beaten up, and then was robbed of 2 golden bracelets and 3 pairs of golden rings.
11Abdalla NassorMA bomb was thrown into his bed, burning the mattress and the pillows.
12SaumuFWas beaten up by Police and was robbed of 3 golden necklace, 2 golden bracelet, 5 golden rings, and 50,000/- TShs in cash. Then Police beat up her husband, Mr. Moh’d Salim Ali.
13Salim Moh’d (Kibadi)MAll doors and the furniture as well as utensils inside his house were smashed by Police.
14Juma NgwaliMPolice broke into his house and beat everybody inside the house, then smashed every thing, and finally got away with all jewellery found in the house.
15Sharifa MussaFWas beaten up and robbed of her 2 gold necklaces, 1 wrist watch and 120,000/- Tshs in cash.
16Khadija (Dr.)FThe doors to her house were smashed, then was robbed of her golden watch and 300,000/- TShs in cash.
17Bi. UngujaFShe was robbed of all her jewellery as well as all cash money.
18The Anonymous There are a number of women who were raped by Police but prefer that their names should not appear in this document but are willing and readily available to talk to their fellow women from International Institutions and Organisations that will be ready to investigate the facts about the Zanzibar massacre. They can be contacted through the following e-mail address: cuftz@hotmail.com

This morning, at around 2:00 am, Police and KMKM (Zanzibar Navy) invaded Monduli Village, in Zanzibar town, storming into houses occupied by Pembans, guided by the local CCM representative, and beat up everybody inside those houses, then got away with money, jewelry and other valuable properties. Such ongoing targeting Pembans both in Pemba and Zanzibar Islands is certainly a case of gross human rights violations ordered by Benjamin Mkapa and his CCM party using Police and other Security forces.

Conclusion:

Arbitrary arrests, detentions, harassments, beatings and intimidations, and killings are still common in Zanzibar. Police and the security services are mounting a witch-hunt against CUF members and supporters, especially those of Pemban origin.

The Civic United Front requests all human rights institutions and other concerned organizations to contact the Tanzanian government or its representatives abroad, before the situation escalates into more bloodshed and violence. CUF also wishes to remind the International Community that the protection of human rights is a universal moral obligation, and that the failure to intervene will increase the sufferings of innocent people in Zanzibar.
Baada ya yote hayo, mwisho wake Seif akaungana na CCM, huu ni usaliti wa hali ya juu.
 
Nashukuru sana wale wote wanaokuja kujibu hii thread jiwe wanakuja na matusi badala ya kujibu hoja lakini raia wanawasoma na wanajua sasa Chadema ni chama cha aina gani.

teh teh the

ukipanda matembele utavuna matembele
 
Hivi umeishawahi kumsikia Dr.Slaa au Mbowe au Lema, wakilalamika kuhumu mauaji ya Pemba...

Mauaji muhimu kwao ni ya Arusha na Morogoro.

CCM walilalamikia hili jambo coz unaandika as if walitoa hata tamko,na ukweli ni kua mwaka ule maji yalizidi unga kwa CCM katika uchaguzi na mlipochakachua ndio umma ukaja juu na nyie kutunia dola kuwaua na kuogofya. Pia kuja na tamko au ushahidi wa CCM juu ya hili.

Nina ualakini na elimu uliyonayo ni ya PICHU.
 
Back
Top Bottom