Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,184
- 259
Wanabodi,
Tanzania ni nchi yetu sote na itajengwa na sisi wenyewe na itabomolewa na sisi wenyewe, Inasikitisha sana la polisi linapotumia nguvu kuuwa raia wanaofanya maandamo kwa amani kwa kuwapiga risasi za moto.
Itakumbukwa maandamano yalifanyika janauri 27, 2001 yalikabiliwa na polisi na kusababisha vifo na majeruhi. Hadi sasa idadi ya vifo inayotajwa na serikali ni watu 34, lakini kuna madai kuwa waliokufa ni zaidi yao cha kushangaza polisi walipo wauwa hao waandamaji wa Pemba, Chadema walikuwa upande wa Jeshi la Polisi na serikali na kudai waandamaji hao walikuwa wanataka kuatalisha amani ya nchi.
Lakini polisi wanapofanya mauaji kwa wafuasi wa Chadema, kule Arusha walikufa watu wawili, Kule Morogoro alikufa mtu mmoja na Iringa alikufa muandishi wa habari, hawa ndio wanaonekana raia muhimu ambao hawakutakiwa kuuwa lakini waandamaji wa pemba walitakiwa kuuwa..
Sasa mkuu unasema tuu bila kuleta ushahidi wa nani alisema nini na wapi? huu tutauita umbea!! Potea.....