CHADEMA wamtesa J.K, ashindwa kutangaza Ma-DC na Ma-RC!

Nyami2010

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
227
50
Hakika, CDM mumemkaba koo J.K hadi kashindwa kutangaza Ma-DC na Wakuu wa Mikoa, duu! Muacheni kidogo apumue.......jamani..........Leo wako Iringa, Kesho Mikumi na kesho kutwa Mzumbe..........J2, bila shaka ni Chalinze.........:dance:

Ilianza, oh watatangazwa dec 2010, oh...Jan, oh Machi, mara Aprili....Mei kila kitu kitakuwa tayari...Mei hiyo inayoyoma........kwisheni wandugu:mod:

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki J.K:A S-rose:
 
Akili yake imepooza

May be anawaza kuoa mkee wa mwingine as dini yake inamruhusu
 
hakika, cdm mumemkaba koo j.k hadi kashindwa kutangaza ma-dc na wakuu wa mikoa, duu! Muacheni kidogo apumue.......jamani..........leo wako iringa, kesho mikumi na kesho kutwa mzumbe..........j2, bila shaka ni chalinze.........:dance:

Ilianza, oh watatangazwa dec 2010, oh...jan, oh machi, mara aprili....mei kila kitu kitakuwa tayari...mei hiyo inayoyoma........kwisheni wandugu:mod:

Mungu ibariki tanzania, mungu mbariki j.k:a s-rose:

funga domo lako hujui lolote! Unayo bajet ya kuwalipa wewe sasa hivi au unazani hayo ni maadamano ya kupanda kwa bei ya maandazi?
 
Cdm mpaka kieleweke, atabanwa mpaka aachie ngazi mwenyewe

hakika, cdm mumemkaba koo j.k hadi kashindwa kutangaza ma-dc na wakuu wa mikoa, duu! Muacheni kidogo apumue.......jamani..........leo wako iringa, kesho mikumi na kesho kutwa mzumbe..........j2, bila shaka ni chalinze.........:dance:

Ilianza, oh watatangazwa dec 2010, oh...jan, oh machi, mara aprili....mei kila kitu kitakuwa tayari...mei hiyo inayoyoma........kwisheni wandugu:mod:

Mungu ibariki tanzania, mungu mbariki j.k:a s-rose:
 
Hakika, CDM mumemkaba koo J.K hadi kashindwa kutangaza Ma-DC na Wakuu wa Mikoa, duu! Muacheni kidogo apumue.......jamani..........Leo wako Iringa, Kesho Mikumi na kesho kutwa Mzumbe..........J2, bila shaka ni Chalinze.........:dance:

Ilianza, oh watatangazwa dec 2010, oh...Jan, oh Machi, mara Aprili....Mei kila kitu kitakuwa tayari...Mei hiyo inayoyoma........kwisheni wandugu:mod:

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki J.K:A S-rose:

JK yumo ndani ya katiba, kwani hakuna ndani ya katiba sehemu yoyote inayomshurutisha Rais kutangaza ma DC na RC ndani ya muda fulani
 
unajua tatizo pesa zote wamekula kuna wanaotakiwa kustaafu,kuhamishwa na wengine wapya pesa hiyo hawana inasemekana wameshakopa sana kwa wafanyabiashara wakubwa nchi bado pesa hazi toshi sidhani kama ataweza kufika 2015
 
Mie naona hata akiacha kutangaza sawa tu hawana kazi , hawana manufaa kwa maisha ya mtanzania , akiwatangaza means kuwapa ulaji wao na zaidi kuwaambia kuwabana wapinzani .JK aliita Chadema kwamba ni Chama cha msimu sasa achana aonane na moto wake
 
Wakitaka kutukomoa wafute ruzuku hi hi hi hi hi hi bila hivyo, hakuna kulala mpaka kieleweke. Peoplessssssssssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Seriously, kwa vyovyote kuna hali ambayo si ya kawaida ndani ya Serikali ya J.K....

Ebu tuendelee kusubiri....lakini viashiria ni vingi na vinazidi kuwa wazi jinsi muda unavyoyoyoma:pound:
 
funga domo lako hujui lolote! Unayo bajet ya kuwalipa wewe sasa hivi au unazani hayo ni maadamano ya kupanda kwa bei ya maandazi?

Mbona Mkullo amedai kwamba Serikali haijafilisika? Awalipe basi kama Serikali ina fedha!
 
Tumia busara na jenga hoja! Mbona ccm mmeishiwa kabisa? Haongezi mikoa anatangaza wakuu wa wilaya na mikoa. Mishahara wanayolipwa waliopo itakuwa hiyohiyo kwa watakao ingia.
 
Kwa vyovyote Serikali haiwezi kuishiwa.....kwani imewahi kutokea hapa nchini?
 
Kuna ufukunyunku unasema anasubiri rafiki zake kutoka JWTZ wastaafu kutoka jeshini iliawapatie nafasi za uDC na uRC baada ya kuweka kibindoni mafao yao. Hao wajeshi watapangwa kwenye wilaya na mikoa yote inayoshabikia upinzani na mikoa na wilaya zote zinazo ongozwa na Chadema. Kumbuka maneno aliyoyasema DC Balama kule Mbeya baada yakuona sera ya Chadema kuwashirikisha wananchi kwenye maamuzi inaleta tija alimchimba mkwara mzito Diwani huko Mbeya.....Wajeshi wanakuja
 
Back
Top Bottom