CHADEMA wamfungulia kesi Nape

Mkuu ondoa wasiwasi, haijalishi kama jaji atambeba ama la, kwa kuwa kesi zinaendeshwa hadharani na watanzania siku hizi tunaakili ya kupima ukweli, tutapima ushahidi na kutoa hukumu yetu ya kijamii hapa JF.


na isitoshe akishataja hayo mataifa lazima yasibitishe na asipoangalia hayo mataifa yanaweza kuja juu kwa kuchafuliwa kwa kutaka kuja kuunyoya uchumi wa tanzani km alivyosema nape kuwa hizo nchi zinafanya hivyo kwa sababu tanzania imegundua gesi na madini mengine
 
hapo naona aliyewashauri cdm kwenda mahakamani kawauza. ccm kwa kugushi achana nao, mbona hizo data watakuja nazo.

Umeshasema kugushi. Wataitwa hao waliogushiwa wakanushe ndipo wataumbuka.
 
Napenda sana haya mambo kwasababu yanafanya maisha yawe mapya kila siku. Kwenye nchi yenye matatizo kama hii, ni sinema za namna hii tu zinazoweza angalau kupunguza machungu ya maisha.

Tunahitaji sinema hizi?..Upya wa maisha??? nadhani zinaongeza machungu maana zinakwangua rasilimali zetu zaidi.
Kesi na mazagazaga si sinema..ina malipo yake ndugu yangu.
 
CDM wamempeleka dogo Nape mahakamani wkt CDM hawana imani na mahakama sasa sijui itakuaje.

Mahakimu wazuri ni wananchi, tutapima hukumu kwa vifungu vyake na kuipa heshima yake ama kuidharau na kutoiamini. Kunabaadhi ya hukumu tumeona mahakama ilitumika kwa matakwa fulani, na kuna hukumu nyingine tumeona mahakama ikitenda haki.
 
Tupo pamoja Radhia. Hakika
tumekuwa watu wa kuchomekewa mauza uza kila siku, Katiba mpya watu
wameipotezea, Ishu ya fao la kujitoa kwa mifuko ya jamii tumesahau,
mauji yanayofanywa na polisi kimya kimya yanapotea, nategemea mpaka wiki
ijayo tutakuwa tumesahau, migomo ya madaktari na walimu tumesahau
zamani, mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha imekuwa wimbo
uliosahaulika! Tunahamia kwa malumbano ya Nnape na CDM, yanatija gani
kwa taifa? Let say Nnape amekutwa na hatia, na akalipa hiyo 3bn,
mlalahoi wa kule kwetu Ngadinda au Ndapata atanufaikaje?

Mkuu wengine watakuwa wamejifunza kutokuropoka hovyo. hivyo hao watu wa Ngadinda na Ndapata watapata taarifa sahihi kuliko ilivyo sasa.
 
ukisha ona unashindwa lazima utafute maneno mengi, CCM Hata siku moja haikurupuki, unawaona walioko CCM Lakini? CDM kuna nani? labda ZITTO TU ALIYEWAAMBIA CDM WENZAKE HAKUNA MSOMI KAMA YEYE, AND ITS TRUE, Ztto akitoka cdm kwisha,, Mwambie lema alienda UINGEREZA KUKAGUA MAHELKOPTA ALIKUWA ANAKUJUA, AU NDIO ANAJINADI AJIJENGE YEYE PAMOJA NA MBOWE NA FAMILIA ZAO? HUU NI MOTO WA KIFUU, WATANZANIA WANA AKILI SANA ,,,ENDELEENI KUANDAMANA WAKATI WENGINE WAKO KWENYE UTENDAJI!
 
Kutokana na vyanzo vyangu vilivyopo Mahakama kuu ya Tanzania Leo Nape amefunguliwa kesi ya madai na imepewa namba 186 ya mwaka 2012.

Kesi hii ni kuhusiana na madai ya nnape kuwa CDM wana pokea pesa kutoka nje ya nchi.

Tuendelee kufuatilia


Updates.

Inaitwa civil case no.186 of 2012 ,board of registered trustees of chadema ... Plaintiff versus nnape nnauye defendant .

Nadhani siyo tu Pesa Mheshimiwa, alisema PESA CHAFU !
 
Kutokana na vyanzo vyangu vilivyopo Mahakama kuu ya Tanzania Leo Nape amefunguliwa kesi ya madai na imepewa namba 186 ya mwaka 2012.

Kesi hii ni kuhusiana na madai ya nnape kuwa CDM wana pokea pesa kutoka nje ya nchi.

Tuendelee kufuatilia


Updates.

Inaitwa civil case no.186 of 2012 ,board of registered trustees of chadema ... Plaintiff versus nnape nnauye defendant .

wametimiza wajibu tu ao, hawana lolote, kwani uongo.
 
Duh, mkuu unauhakika au ushabiki?

mkuu si ushabiki bali kijana huyu (Nape) alisema anao ushahidi wa kuiacha uchi chadema mahakamani. Nimenukuu maneno ya huyu kijana sina ushabiki wa CCM na wala sintakuwa nao.
 
Yaan ukiangalia cv za wote walioko cdm hutaamini, mnyika alidanganya amemaliza masters, kumbe alisoma bba ya evening na akashindwa mwaka wa pili, ndio shule ikaishia hapo,, leo hii kuongea tu ndiko anawamaliza wasomi . Je mnyika akapewa uwaziri atawaongoza nani? Jaman si kila kingaacho ni dhahabu, kipya kinyemi, raisi ghali,, watanzania hapa cdm ni maslai tu na walewale, wote walikimbia vyama ndio wakaona cdm, ndio maana tabidi wakope mwanasheria kutoka ccm, ccm wako kwenye utendaji wao wako barabarani wanachangisha ili wakanu nue mahelkopta wakati watanzania wako kazini.

sijakuelewa vizuri, unasema ccm kuna wanasheria mahiri? unawa-refer kina nani! chenge? werema? mkono?
nakushauri ushirikiane na akili yako, usitumie mwili pekee kuongea.

Wangekuwa mahiri tusingeingia mikataba mibovu kila kona ya nchi!

Wangekuwa mahiri wasingeshindwa kesi ya drown one's.

Ukome kutuaminisha uzandiki.
 
Anasimama na Lissu Mahakamani pembeni kuna Prof.Safari au kuna kitu gani kwa upande wa Chadema ? Na hii ndiyo watanzania watajua kwamba Chadema wako serious sasa .Komesha kuropoka bila ushahidi .Marando am sure hatakosa hapa kuongoza kuutafuta ukweli .
Hiyo list akiisikia lazima agome kwenda mahakamani
 
sijakuelewa vizuri, unasema ccm kuna wanasheria mahiri? unawa-refer kina nani! chenge? werema? mkono?
nakushauri ushirikiane na akili yako, usitumie mwili pekee kuongea.

Wangekuwa mahiri tusingeingia mikataba mibovu kila kona ya nchi!

Wangekuwa mahiri wasingeshindwa kesi ya drown one's.

Ukome kutuaminisha uzandiki.
mbona hawakumtetea Dr kafumu na huo umahiri wao?
 
Back
Top Bottom