CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

GREEN, mie CCM mwenzako. I can prove it kuwa jamaa kakamatwa na mke wa mtu. Marafiki zangu police Singida wamethibitisha. Na tena alihojiwa mpaka mchana police station. Jamani, kujiosha huku hakutusaidii chama chetu, lets try kuwa wakweli, tumfukuze huyu, pamoja na Malima na wote wenye kashfa za mangono, wananchi watatupenda tena. CCM forever

Wenzio wangekuwa na akili kama yako ingekuwa poa sana!
 
NI MNAFIKI SANA ANAHANGAHIKA SABABU ANAJUA SIKU ZAKE ZINAHESABIKA
HAJUI MAFISADI ANAOWASEMA WANAMILIKI40% YA VODACOM NA HAO MABWANA NI WAFADHILI WAKUU WA CCM SASA LOWASA KAENDA ZIARANI FOR 14 DAYS,CHENGE NI MWENYEKITI WA KAMATI YA FEDHA,LOWASA NI MWENYEKITI KAMATI YA MAMBO YA NJE ROSTAM ANAZIDI KUCHIMBA MADINI KULE KAHAMA MITAMBO YAKE IN TENDER YA MAISHA SASA NAPE UTAPONEA WAPI SIKU 90 ZIMEKUSHINDA NA HAO MAFISADI WANAJIPANGA KUCHUKUA CHAMA NA CCM HAINA UBAVU WA KUWATEMA HAWA SABABU WANAWAJUA SANA MKIHONGWA KIDOGO MNAGEUKANA SASA USICHEZE NA HAO WATU UTAANGAMIA NA KUPOTEA KWENYE ANGA ZA SIASA NENDA KULE CCJ MLIPOANZISHA CHAMA CHENU POLE SANA NA WACHA KULALAMIKA HUKUPANGA MAMBO YAKO VIZURI POLE KWA MAUMIVU YA KUAMBIWA UKWELI
:embarassed2:
 
Kutokana na unafiki,uongo,kejeli na jaziba za wanaCHADEMA ,wabunge na wafuasi wao katika wiki iliyopita imedhihirisha hawana uwezo wa kuongoza nchi hii yenye kila aina ya changamoto.Nitafafanua baadhi ya uongo wa WANACHADEMA;
Mosi,Walimshambulia sana Mh.Simbachawene(NW-Nishati) kwa uzushi ati amefumaniwa na kukatwa mkono huko SINGIDA.Wameumbuka kwa uongo uliokubuhi,nikajiridhisha kuwa hiki chama ni cha Waongo,kwani 100% ya wanaJF ambao ni CHADEMA walitumia simu na mitandao ya kijamii kusambaza uongo huu.
Pili,Jazba ya muhuni mmoja anajiita Mchungaji,ndg.Msigwa,hafanani hatakujiita mchungaji kwa hasira alizonazo.Mahakama inafuata sheria na ushahidi zaidi kuliko hisia zako
nakushauri ukasome biblia vizuri;YA KAISARI mpe KAISARI na YA MUNGU mpe MUNGU,siasa ni busara zinatawala na uwezo wa kujenga hoja.
Tatu,Viongozi wenu wanafiki,hawajui kujenga hoja katika bajeti kwa kisingizio ati lazima wapinge kila kitu ndiyo maana ya upinzani....Jamani bungeni si sehemu ya kuigiza mambo ya DEBATE MOTION ni sehemu yakuishauri serikali nini kifanyike ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Nadhani wabunge wengi waCHADEMA wamepata ubunge kwa bahati mbaya....bado wanaweweseka pia elimu ndogo.

Rai yangu kwa wana CCM wote,mapinduzi ya kweli yapo ndani ya CCM na sikukimbilia upinzani,tuache uoga kuchambua mapungufu ya serikali ili tuimarishe chama chetu.
Hongera sana Mh.Mpina,Filikunjombe,Lugola,Mkono ,Mwakyembe,Zambi kwa kuonyesha njia,nawengine wafuate mfano huo.Serikali imewapa uhuru wa kujadili kila kitu kwa uwazi zaidi.

Tukutane pale pschatry muhimbili tukakupime akili kama madaktari wa upande ule hawajagoma
 
Since your name is green then you are ccm naturally and your brain must be green in colour, then that's why you are thinking green and talk and talk the greenish. Thdnk u mr. Green. Sasa ujumbe umefika now go to the green chama for ur commission
 
Nadhani mwenzetu kweli kapagawa.Wana JF tumpeleke kwenye maombi akaombewe!!!!!!!!!! Mwe! huyu kweli mwendawazimu
 
Kutokana na unafiki,uongo,kejeli na jaziba za wanaCHADEMA ,wabunge na wafuasi wao katika wiki iliyopita imedhihirisha hawana uwezo wa kuongoza nchi hii yenye kila aina ya changamoto.Nitafafanua baadhi ya uongo wa WANACHADEMA;
Mosi,Walimshambulia sana Mh.Simbachawene(NW-Nishati) kwa uzushi ati amefumaniwa na kukatwa mkono huko SINGIDA.Wameumbuka kwa uongo uliokubuhi,nikajiridhisha kuwa hiki chama ni cha Waongo,kwani 100% ya wanaJF ambao ni CHADEMA walitumia simu na mitandao ya kijamii kusambaza uongo huu.
Pili,Jazba ya muhuni mmoja anajiita Mchungaji,ndg.Msigwa,hafanani hatakujiita mchungaji kwa hasira alizonazo.Mahakama inafuata sheria na ushahidi zaidi kuliko hisia zako
nakushauri ukasome biblia vizuri;YA KAISARI mpe KAISARI na YA MUNGU mpe MUNGU,siasa ni busara zinatawala na uwezo wa kujenga hoja.
Tatu,Viongozi wenu wanafiki,hawajui kujenga hoja katika bajeti kwa kisingizio ati lazima wapinge kila kitu ndiyo maana ya upinzani....Jamani bungeni si sehemu ya kuigiza mambo ya DEBATE MOTION ni sehemu yakuishauri serikali nini kifanyike ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Nadhani wabunge wengi waCHADEMA wamepata ubunge kwa bahati mbaya....bado wanaweweseka pia elimu ndogo.

Rai yangu kwa wana CCM wote,mapinduzi ya kweli yapo ndani ya CCM na sikukimbilia upinzani,tuache uoga kuchambua mapungufu ya serikali ili tuimarishe chama chetu.
Hongera sana Mh.Mpina,Filikunjombe,Lugola,Mkono ,Mwakyembe,Zambi kwa kuonyesha njia,nawengine wafuate mfano huo.Serikali imewapa uhuru wa kujadili kila kitu kwa uwazi zaidi.

unamwandiko mzuri! Kaombe Uhuru/Mzalendo wakupe chance ya artical!
 
Inawezekana waliokutuma huwa wanapita huku kukagua kazi walizokutuma,wakija huku watakupongeza japo kwa wenye kufikiri zaidi watakupuuzia na kukucheka.
 
Wewe mwenyewe umekaribia kufa, umepigwa chini uwaziri kwa mgogoro wa afya yako.

hapo kwenye red, Bw. Yesu alizungumzia umuhimu wa kulipa kodi na si vinginevyo, hakusema mambo ya siasa hapo kwani kodi ilikuwa ni jambo la lazima kulipa-hata kama hazitumiki ipasavyo.

Kwenye blue, kinachotakiwa ni utendaji wa mtu siyo Elimu. Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu waziri Mkuu alifanya mambo makubwa ya kukukmbukwa daima, hakuwa na Phd. Niambie hao MPs wa Magamba wenye Elimu kubwa wamelisaidia vipi taifa mpaka limefika hapa lilipo? Nchi kama Korea Kusini, Indonesia, Rwanda hata Botwana mbona zimepiga hatua za kimaendeleo? Nyambafu sana!
 
We greenstar nadhani utakuwa ulikua unatafuna pilipili na jojo wakati unaandika na kutafakari uliyoyaandika.kwanza utambue kwamba kama binadamu tunaishi kwa kaisari na kwa mungu. unapokuwa kwa mungu zungumza kimungu mungu na ukiwa kwa kaisari zungumza kikaisari kaisari. kwa ujumla wabunge wa chadema wanafanya kazi kubwa kuliko wa CCM pamoja na wingi wake. Na hapo ndo unaweza kuona ukweli wa ule msemo Ukubwa wa pua si wingi wa makamasi. uchache wa chadema na mchango wao ktk bunge na jamii unaonekana na hasa wanapojikita kusema ukweli juu ya yale yanayowasibu wananchi.CCM imejikita ktk propaganda za matusi na hadaa kwa raia. huwezi kumwambia mwananchi juu ya ugumu wa maisha halafu wakati huohuo unasema chadema wanatafuta umaarufu? kwa lipi? mbona mnaweka mikakati na bajeti ya kuwala tena kwa chenga ile ile ya dobo ya kupunguza ukali wa maisha huku bei za bidhaa ziksonga mbele kama kawaida. Tunajua CCM haitafuti umaarufu bali inatafuta kuua tena ikiwezekana watz wote na ndo maana Madaktari mazingira yetu ya kazi mabaya wanatafuta umaarufu, DrS hawana vitendea kazi eti wanatafuta umaarufu, Mwl. akisema hakuna vitabu naye anatafuta umaarufu, mshahara kidogo, anatafuta umaarufu. Mbona ninyi mnajilimbikizia mipesa kila kukicha sasa aliyemfundisha huyu mwalimu, daktari na nesi kudai kuongezewa posho na mshahara ni nani kama si ninyi mnaoiba alhali mnaonwa mchana kweupeee halafu mnasema serikali haina pesa. huu ni ujinga mtupu.M4C endelezeni juhudi zenu hadi watz wote waamke. wabunge wa chadema kuweni makini make mjadala wa sas hivi wa bunge naona magamba wajanja wakiona issue ilyopo mbele ni hot wanawatoa kwenye concentration ili muombe miongozo ama muanze kufanya usahihi, make naona Nchemba yeye sasa hivi anatafuta spelling kwenye hotuba zenu nakuomba mrekebishe (kitu ambacho ni makosa ya uchapaji), hii ni ishara ya kuishiwa. Anasema mmeiba hoja ya Mhagama ya pensheni kwa wazee na kuongeza kwenye bajeti yenu, hapa anaonyesha ni jinsi gani mlivyo makini kama serikali mbadala ktk kuchukua maoni ya wabunge bila kujali vyama vyao na wala si kama wao ambao kazi yao ni makofi na shukrani mpaka kengele inagongwa na mwisho bajeti kandamizi kwa wananchi inapita kama ilivyo bila kuwajali wazee wetu. hongereni sana kwa kuonyesha njia kwa magamba kwamba hoja yenye tija kwa watz itachukuliwa kwa uzito bila kujali itikadi za chama.
 
hoja dhaifuuuuuuuuuuuuuuuu,wewewe nawe hujui simbachawene sasa anaugulia kidonda alichoumizwa maeneo ya beganii na ndio maana taarifa zinasema haonekani bungeni.wewe wwawapi unakuja huku na hoja zisizo na mashikooooooooooooooooooooo
 
Kutokana na unafiki,uongo,kejeli na jaziba za wanaCHADEMA ,wabunge na wafuasi wao katika wiki iliyopita imedhihirisha hawana uwezo wa kuongoza nchi hii yenye kila aina ya changamoto.Nitafafanua baadhi ya uongo wa WANACHADEMA;
Mosi,Walimshambulia sana Mh.Simbachawene(NW-Nishati) kwa uzushi ati amefumaniwa na kukatwa mkono huko SINGIDA.Wameumbuka kwa uongo uliokubuhi,nikajiridhisha kuwa hiki chama ni cha Waongo,kwani 100% ya wanaJF ambao ni CHADEMA walitumia simu na mitandao ya kijamii kusambaza uongo huu.
Pili,Jazba ya muhuni mmoja anajiita Mchungaji,ndg.Msigwa,hafanani hatakujiita mchungaji kwa hasira alizonazo.Mahakama inafuata sheria na ushahidi zaidi kuliko hisia zako
nakushauri ukasome biblia vizuri;YA KAISARI mpe KAISARI na YA MUNGU mpe MUNGU,siasa ni busara zinatawala na uwezo wa kujenga hoja.
Tatu,Viongozi wenu wanafiki,hawajui kujenga hoja katika bajeti kwa kisingizio ati lazima wapinge kila kitu ndiyo maana ya upinzani....Jamani bungeni si sehemu ya kuigiza mambo ya DEBATE MOTION ni sehemu yakuishauri serikali nini kifanyike ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Nadhani wabunge wengi waCHADEMA wamepata ubunge kwa bahati mbaya....bado wanaweweseka pia elimu ndogo.

Rai yangu kwa wana CCM wote,mapinduzi ya kweli yapo ndani ya CCM na sikukimbilia upinzani,tuache uoga kuchambua mapungufu ya serikali ili tuimarishe chama chetu.
Hongera sana Mh.Mpina,Filikunjombe,Lugola,Mkono ,Mwakyembe,Zambi kwa kuonyesha njia,nawengine wafuate mfano huo.Serikali imewapa uhuru wa kujadili kila kitu kwa uwazi zaidi.

Kama huna mawazo ya kurutubisha akili za wanaJF sio lazima uandike. Mfano unaongea swala la Chadema kupoteza mvuto lakini ukashindwa kujenga hoja yako kuwa imepoteza mvuto namna gani na kwa nani. Umeishia kuandika ngonjera tu. Madarasa ya kisomo cha ngumbaru bado yapo, jieleimishe,fanya utafiti,jenga hoja na urutubishe akili za wanaJF
 
unajua kuwa kichaa siyo lazima uokote makopo,hata kutoa thread za aina hii ni dalili za kichaa..funguka na pepo mchafu akutoke.....
 
Kama huna mawazo ya kurutubisha akili za wanaJF sio lazima uandike. Mfano unaongea swala la Chadema kupoteza mvuto lakini ukashindwa kujenga hoja yako kuwa imepoteza mvuto namna gani na kwa nani. Umeishia kuandika ngonjera tu. Madarasa ya kisomo cha ngumbaru bado yapo, jieleimishe,fanya utafiti,jenga hoja na urutubishe akili za wanaJF
great thinkers mpo??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
greenstar Ndugu katika Bwana subiri matusi ya hao vijana wao hawataki kuambiwa ukweli wanajiona wao wamekamilika wameshajivisha UUNGU
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo wewe ndio uliyefumaniwa? Mbona unaoneka kama wewe ndio ulikuwa nae siku ya fumanizi!
 
Back
Top Bottom