Chadema wamepata wapi haki ya kutengeneza CD mauaji ya Mwangosi (R.I.P) na kuiuza

Mkuu Ritz
Mradi una baraka zote za uongozi; kauli ya Mnyika vuvuzela tu wanajua nini wanachofanya si kweli eti hawajui; yaani unataka kuniambia mtu akiuza miraa barazani kwako wewe hutajua? Hawa jamaa wameishiwa sera wamebaki kuhamasisha vurugu tu>

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
Huyo John Mnyika, jana nimemsikia akisema hawawezi kukaa kimya Chadema wakichafuliwa ndio maana wameamua kumfungulia kesi Nape, anawachafua kuwa wanapewa pesa kutoka nje ya nchi wakati sio kweli. Sasa wameshindwa vipi kuwapeleka mahakamani hawa wauza CD ambao wanaziuza kwenye mikutano ya Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu, kwa hiyo unaunga mkono Chadema kusafiria nyota ya Marehemu Mwangosi (R.I.P) kama mtaji wa kisiasa? Na unakubali familia ya Mwangosi wasipate chochote kwenye mauzo ya hizo CD za mauaji ya Baba yao kipenzi.

Ninachotaka kusema hapa ni kwamba tukio la kuuawa kwa Mwangosi limo katika matukio yaliyojiri siku ya ufunguzi wa Tawi. Sidhani kila atakayeonekana katika picha za mkanda ule atadai kulipwa. Kitu kimoja naweza kukubaliana na wewe kwamba kutokana na tukio la mauaji ya Mwangosi wengi watainunua kuona nini kilijiri kabla ya mauaji yake. Its mere coincidence! Familia ya Marehemu Mwangosi haiwezi kudai haki miliki ya mkanda ule. Wakifanya hivyo ina maana kwamba tukio lile lilipangwa na familia ilikuwa inajua( kama picha iliyochezwa) na Marehemu ndo alikuwa sterling! Acha iuzwe watu waone ubabe wa serikali!!
 
Kwa hiyo Chadema ndio wenye haki wa kutumia msiba wa Mwangosi kama mtaji wa kisiasa.
 
Wanabodi.

Imepita mwezi na siku kadhaa toka yafanyike mauji ya Mwandisi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, Daudi Mwangosi, baada ya kuuliwa na polisi kwa kuripuliwa na bomu.

Chama Cha Demokrasia na Maendeo Chadema wamezindua CD ya mauaji ya Davidi Mwangosi (R.I.P) na kuisambaza mitaani na kuanza kuiuza. Chadema wamepata wapi haki ya kutengeneza hiyo CD na kuiingiza sokoni kwa mauzo.

Familia ya Mwangosi (R.I.P) pamoja na Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania wanapata mgao wowote wa mauzo ya hiyo CD kama hawapati jambo ili kisheria linakuaje.

Watoto wa Marehemu ambao ni wadogo kiumri wanajua chochote kuhusu mauzo ya CD ya baba yao kipenzi.

MAJIBU YA CHADEMA:

Ngoja nirahisishe,kuzama kwa mv Bukoba,Spis ya Zenji,na nyinginezo kisha mikanda ikauzwa je ulihoji?au ndio kitu CDM?kama utakuwa muelewa basi nenda Kariakoo kusanya cd dvd zote zilizofanyiwa kazi pasipo wahusika kisha jiridhishe na upigie mstari jibu!EBU WAACHENI WAPAMBANAJI WAJIPAMBANUE MUSTAKABALI WA HALI ZETU MBOFU MBOFU.sawa eeh!
 
Tumaini Makene,

Mbona unakuja na majibu nusu nusu ujasema CD hiyo umezinduliwa lini na wameishauza nakala ngapi mpaka sasa na inauzwa kiasi gani CD moja, haitoshi tu kusema Mnyika katangaza wasitishe kuuza kwa maneno bila hatua zozote za kisheria.

Nenda Kariakoo mitaa ya Msimbazi, Congo, Uhuru, Magira, Mhuonda, Narung'ombe, zinauzwa.

Mbaya zaidi kwenye mikutano ya Chadema Tanzania nzima zinauzwa mtasemaje Chadema hawahusiki.

Hivi wewe huwa unashirikisha ubongo??? Maelezo hayasemi chadema imetengeneza na yeye ni msemaji wa chadema na wala sio msemaji wa mtengeneza cd. Kama unataka mengine mtafute msemaji wa mtengeneza cd. Au toa taarifa kwa kina Rama Mwabepande wafanye kazi yao.
 
Last edited by a moderator:
Can't you stand alone?
Mkuu Ritz
Inasikitisha sana kuona watu wanathamini pesa zaidi ya utu; hata kama ni kufanya propaganda za kisiasa nawashauri Chadema watafute njia muafaka na sahihi hili la kuwahusisha marehemu waliopoteza maisha kutokana na harakati zao za M4C si jambo la kiungwana hakuna mzazi ambaye angependa kutoneswa kidonda cha kupoteza kipenzi chake; pamoja na kuwa uongozi wa Chadema umekata kuuzwa kwa cd hizo bado naamini yupo kiongozi wa juu aliyebariki utoaji wa cd hizo hainingii akilini cd ziuzwe kwenye mikutano yao halafu wadai wasijue zinakotoka.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Can't you stand alone?
Mkuu chama,
Kama kweli Chadema hawahusiki na hizo CD kwa nini wasitoe ripoti polisi kwa kuchafuliwa jina la chama kuhusishwa na hizo CD za mauaji ya Mwangosi (R.I.P) mbaya zaidi cover za CD hizo kuna nembo ya Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi.

Imepita mwezi na siku kadhaa toka yafanyike mauji ya Mwandisi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, Daudi Mwangosi, baada ya kuuliwa na polisi kwa kuripuliwa na bomu.

Chama Cha Demokrasia na Maendeo Chadema wamezindua CD ya mauaji ya Davidi Mwangosi (R.I.P) na kuisambaza mitaani na kuanza kuiuza. Chadema wamepata wapi haki ya kutengeneza hiyo CD na kuiingiza sokoni kwa mauzo.

Familia ya Mwangosi (R.I.P) pamoja na Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania wanapata mgao wowote wa mauzo ya hiyo CD kama hawapati jambo ili kisheria linakuaje.

Watoto wa Marehemu ambao ni wadogo kiumri wanajua chochote kuhusu mauzo ya CD ya baba yao kipenzi.

MAJIBU YA CHADEMA:

[MENTION][/MENTION]somoche[MENTION][/MENTION] [MENTION]kamandamakini[MENTION][/MENTION][/MENTION] ona hii
 
Mkuu unabisha au hutaki kuamini?
Haya basi hatubishi tunaomba utuambie Je CCM nao walipokuwa wakimtembeza yule ndugu aliyemwagiwa Tindikali kule Igunga kama moja ya matangazo katika kampeni ikiwepo Arumeru kwamba CDM ni chama cha waharifu familia ya yule ndugu iliombwa ruhusa kama ndiyo na kukubali je familia ilillipwa?
 
Tumaini Makene,
Mnyika amepata wapi mamlaka ya kuamuru mgawanyo wa pesa za mauzo ya CD ya Mwangosi? Kama anaona kosa limefanyika kwanini kama raia wema na viongozi msitoe taarifa kwa mamlaka husika?

What is at stake hapa ni kwamba inaleta picha kuwa kuna vurugu zinaanzishwa makusudi ili zipigwe picha za kutengeneza CD na kuuza kama movie. Kwa ripoti iliyotolewa ya CD elfu 30 kwa sh. elfu 5 ni milioni 150. That means vurugu zimegeuzwa kuwa biashara kubwa!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo Chadema ndio wenye haki wa kutumia msiba wa Mwangosi kama mtaji wa kisiasa.
CD za mazishi ya Marehemu Baba wa Taifa(R.I.P) ziliuzwa nyingi sana hebu tuambie alitengeneza nani na familia ya Mwl ilipata nini, Tumeshuhudi mazishi ya Kanumba CD zinauzwa je familia inanufaika na nini.
 
Mkuu wangu, kwa hiyo unaunga mkono Chadema kusafiria nyota ya Marehemu Mwangosi (R.I.P) kama mtaji wa kisiasa? Na unakubali familia ya Mwangosi wasipate chochote kwenye mauzo ya hizo CD za mauaji ya Baba yao kipenzi.
Kwa hiyo wewe ndiye msemaji wa familia ya Mwangosi? Unaionea familia yake huruma baada ya nyie magamba kumuua? Unafiki wa hali ya juu!!
 
Ritz kama ungekuwa unauchukia ufisadi na kuukemea kwa nguvu zote kama unavyojitahidi kuiandama cdm kwa hoja, maisha ya watz wengi yangeboreka, lkn bahati mbaya sana upo busy na issue nyepesi zisizo na manufaa kwa umma wa watz.
 
Tumaini Makene,
Mnyika amepata wapi mamlaka ya kuamuru mgawanyo wa pesa za mauzo ya CD ya Mwangosi? Kama anaona kosa limefanyika kwanini kama raia wema na viongozi msitoe taarifa kwa mamlaka husika?

What is at stake hapa ni kwamba inaleta picha kuwa kuna vurugu zinaanzishwa makusudi ili zipigwe picha za kutengeneza CD na kuuza kama movie. Kwa ripoti iliyotolewa ya CD elfu 30 kwa sh. elfu 5 ni milioni 150. That means vurugu zimegeuzwa kuwa biashara kubwa!!!

Mkuu wangu halafu wanasema Chadema hawahusiki na hizo CD wakati zinauzwa kwenye mikutano yao.
 
Last edited by a moderator:
ahsante kwa kukiri hilo kuwa polisi wako tayari kuua kwa pesa
maana wao ndio waliomuua Mwangosi
na bado mtajichanganya sana
na pia umenidhihirishia ni mtu gani ulivvyo ambae huna hata utu

Umeona eehh, hawana tofauti na Wachagga wa chadema.
 
Mkuu chama,
Kama kweli Chadema hawahusiki na hizo CD kwa nini wasitoe ripoti polisi kwa kuchafuliwa jina la chama kuhusishwa na hizo CD za mauaji ya Mwangosi (R.I.P) mbaya zaidi cover za CD hizo kuna nembo ya Chadema.
Asante kwa taarifa mkuu Tumaini Makene,hii issue imeshatolewa ufafanuzi na kamanda JJ Mnyika mkururgenzi wa habari na uenezi Taifa,kama unaendelea kuwa king'ang'anizi bwana Ritz una lako jambo....full stop.
 
Back
Top Bottom