Chadema wameokota pochi

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Akihojiwa na radio moja mkoani Arusha jana, katibu wenezi wa ccm mkoa wa Arusha Bw. Semi Kiondo, amesema ushindi wa CDM jimbo la Arumeru Mashariki ni sawa na mtu aliyeokota pochi. akifafanua zaidi amesema pochi hilo CCM wamelidondosha na CDM wameliokota kwa bahati mbaya na kwamba CDM wasijitape sana kwani pochi sio lao.

Baada ya mahojiano hayo ilifuatiwa na maoni ya wananchi kwa njia ya simu ambapo kila aliyepiga simu alimchana live Bw. Kiondo hakukuwa na hata msikilizaji mmoja alirithika na maneno hayo ya kada huyu wa CCM.
 
hana lolote huyo ccm ni watu wa kujifariji sana kila wakati. tatizo lao moja kubwa ni uwezo mdogo wa kufikiri .
 
Akihojiwa na radio moja mkoani Arusha jana, katibu wenezi wa ccm mkoa wa Arusha Bw. Semi Kiondo, amesema ushindi wa CDM jimbo la Arumeru Mashariki ni sawa na mtu aliyeokota pochi. akifafanua zaidi amesema pochi hilo CCM wamelidondosha na CDM wameliokota kwa bahati mbaya na kwamba CDM wasijitape sana kwani pochi sio lao.

Baada ya mahojiano hayo ilifuatiwa na maoni ya wananchi kwa njia ya simu ambapo kila aliyepiga simu alimchana live Bw. Kiondo hakukuwa na hata msikilizaji mmoja alirithika na maneno hayo ya kada huyu wa CCM.
Hao ndo makada uchwara wa siasa uchwara. Nani kamwambia jimbo ni mali ya CCM? Hawa wetu wanajifanya hawajui kuzisoma harama za nyakati, ila kwa jinsi tunavyowawashia moto, wataenda tu tuition kujifunza kusoma harama za nyakati. Tuwape muda.
 
Hayo maneno ni ya mpenda ndizi mbivu kamtuma gamba mwenzie alopoke.funza nyie mda wenu umeisha!=>2015 mwisho
 
Back
Top Bottom