Chadema wameliona hili?

Wewe K fikiri usiropoke. Unafananisha pumba(u) na mchele! Yes we can ya BO fananisha na pumba ya cjui nguvu ... Na je unafikiri vipi kuhusu uchakachuaji na kauli nyengine km ufisadi ziliibuliwa na kina nani, al in al kikwete hana tofauti na Juma Nature na pumba yoyote atayoanzisha itapatg wajinga km wewe na magazeti ya udaku ya wana CCM kama Shigongo ambavyo kaz yao niku brainwash watz the whole day wasiwe na uwezo wa kufikiri na waendelee kusikiliza pvmbu the whole day, ukitaka ku-prove ujinga huu tune in kwenye media yoyote TZ ni ujinga na upumbavu wa kasi zaid ari blah blah kwny taarabu na ujinga wote. Mtaji wa magamba ni upumbavu wa mtu km ww mwanzisha mada kati ya wajinga hapa Jf na wewe ni mmoja wao. Pimbi sana.
 
Na nyie na post zenu ambazo hazina tija kwa watanzinia wanaopata shida kwa kusoma elimu bora, nyumba za tembe, na afya bora wee boss ulietumwa magamba njoo huku mtera (dodoma) huone wanainchi wanavyolia na hali ngumu ya maisha wakati mafisadi wanatamba mjini na mashangingi yao bila hata aibu ndani ya magamba unalodai ni maarufu kaka angalieni kauli mnajiangamiza wenyewe.
 
njoo huku mtera (dodoma) huone wanainchi wanavyolia na hali ngumu ya maisha wakati mafisadi wanatamba mjini na mashangingi yao bila hata aibu ndani ya magamba unalodai ni maarufu kaka angalieni kauli mnajiangamiza wenyewe.

Mimi niliwaambia wamchague Slaa, atawaleta woote mjini waje kutamba na mashangingi wakakataa, sasa waache wakae mashambani kwa kumchagua JK.
 
Ni kama vile Osama, jambazi sugu,fisadi nk. Maarufu kwa sababu unachukiwa
 
Kauli ya CHADEMA: Pipoooooooz!! Pawaaaaaa!!! Au "Nguvu ya umma". Huu muziki hata CCM wenyewe wanauimba bila kutaka. Upo hapo? Yaani CHADEMA wanakubalika kwa kauli zenye mvuto kwa jamii!
 
Hali ya namna hiyo inaonesha kukubalika zaidi kwa Jakaya Kikwete miongoni mwa umma wa watanzania.Yawezekana waliofungwa misuli ya macho wasiuone ukweli lakini ndivyo ilivyo.Nimekuwa nikifuatilia viongozi wengine wa vyama vya upinzani, hawana falsafa kali kama za Kikwete.Kikwete angekuwa anabebwa na vyombo vya habari basi umaarufu wake ungeongezeka maradufu.
 
Hv unafikiri media kama radio na magazeti vingekuwa makini kufikirisha wananchi leo tungekuwa na wajinga kama wewe, toka kiwete awe rais ameishawah onesha mara ngapi watanzania umuhmu wa kujisomea km alivyofanya Mwl. Nyerere kwa yeyd mwenyewe kuwa mfano kuandika vitabu na kuwasilisha kile anachoamini?zaid ya mkewe kufungua kijilibrary cha watoto na kujifanya anahimiza kusoma watoto? Thnk tank ya magamba ni January Makamba, nepi na wajinga wengine kama wewe, ulidhani rais hawezi kuwa kama Mzee Yusuph kwa ujinga wake. Rais mjinga, washauri wajinga, wanachama wajinga ni ujinga mtupu na wewe ni mjinga na mvivu wa kufikiri endelea kusoma vijarida vya udaku na ukaona hzo kauli mbiu za mwenyekiti wako kama umaarufu wkt zina aply ktk tamthiliya za ngono na upumbavu unaoendekezwa na wajinga kama wewe kufanya w2 wasifikiri ila sisi huku Mara tuko macho ukituletea shobo tunakudocha na katiba mpya ujinga wote shurti ubanwe hata kwa damu, tunawaona mnavyopiga makofi kwa nch wafadhili ktk bajeti na facial expression za wafadhili hao, mmetudhalilisha sana kwa namna mlivyo wajinga. Endeleeni na ujinga wenu ila we r looking down when u celebrate and smile, wajinga nyie.
 
mi sioni kama huu ni wakati wa kujadili umarufu wa kauli , zaidi tujadili kilicho nyuma ya kauli yenyewe, kama kujivua gamba ni inampa umaarufu mbona ile ya za mbayuwayu changanya na za kwako ilishindwa kumpa umaarufu akarudi kupiga magoti tena kwa wafanyakazi kuzitaka kura zao, the boss au the slave ?
 
chadema wanacheza mchezo wa ccm
wa kukifanya chadema kuwa chama cha kupiga kelele na kuikosoa ccm

wangekuwa na akili wange jiweka kama chama kinachojiandaa kuchukua nchi

na wangeweza wangekuwa na kauli ambazo wananchi wanazijadili

chadema wangeweza wangewafanya wananchi waidharau kabisa ccm na wasi pay attention kabisa
na kauli za ccm

hivi kama mna uhakika wa kuchukua dola 2015 ya nini kupiga kelele za katiba mpya now??????

kwa nini msisubiri mchukue dola msimamie vizuri zoezi hilo???????

hamkuwaona akina odinga na odm??????????



Duh! Kweli umekaa ukafikiria vizuri kabisa na kuja na ushauri wa kwamba katiba ibadilishwe baada ya kuitoa CCM madarakani? Ni chama gani kitaweza kuishinda CCM kwenye uchaguzi chini ya katiba ya sasa?!! The only reason CCM iko madarakani leo hii ni hiyo katiba mbovu, na ndio maana hawataki mabadiliko.
 
chadema wanacheza mchezo wa ccm
wa kukifanya chadema kuwa chama cha kupiga kelele na kuikosoa ccm

wangekuwa na akili wange jiweka kama chama kinachojiandaa kuchukua nchi

na wangeweza wangekuwa na kauli ambazo wananchi wanazijadili

chadema wangeweza wangewafanya wananchi waidharau kabisa ccm na wasi pay attention kabisa
na kauli za ccm

hivi kama mna uhakika wa kuchukua dola 2015 ya nini kupiga kelele za katiba mpya now??????

kwa nini msisubiri mchukue dola msimamie v
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/143897-mheshiwa-godbles-lema-hasikiki.html
 
Acha kukurupuka aliyeanzisha kauli ya kujivua gamba ni Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye akiitahadharisha CCM - get your facts right, not that it matters anyway !
 
umaarufu wa mtu unaweza pimwa kwa anachokiongea kinaifikiaje jamiii

hata kama jamii itakipinga kwa nguvu but still
ukiona jamiii kwa asilimia kubwa wamesikia au wanakijadili
basi huyo mtu ni maarufu sana au anakubalika sana.....

Umaarufu haunauhusiano na uongozi bora.unawezapata umaarufu kwa kuuwa tu,Binladen na bush walikua ndio watu maarufu zaidi wakati wao ila ndio walioleta balaa zaidi na maafa wakati wao.

Watanzania wanahitaji maendeleo sio umaarufu.
 
Acha kukurupuka aliyeanzisha kauli ya kujivua gamba ni Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye akiitahadharisha CCM - get your facts right, not that it matters anyway !

exactly
umezungumza my point

ni wangapi wanajua ni sumaye na si kikwete??????????
 
Duh! Kweli umekaa ukafikiria vizuri kabisa na kuja na ushauri wa kwamba katiba ibadilishwe baada ya kuitoa CCM madarakani? Ni chama gani kitaweza kuishinda CCM kwenye uchaguzi chini ya katiba ya sasa?!! The only reason CCM iko madarakani leo hii ni hiyo katiba mbovu, na ndio maana hawataki mabadiliko.

kenya mbona akina odinga waliitoa kwanza kanu
katiba imekuja juzi tu
 
Back
Top Bottom