ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,161
- 1,460
Chadema ina watu makini na wenye akili ..labda awe ameenda kujimaliza mwenyewe
FL1- Point Noted - upo sahihi kule CHADEMA hakuna wajinga wajinga, waropokaji na mabendera fuata upepo, na wanaoingia kwa lengo hilo huwa hawana maisha marefu ndani ya CHADEMA. Kinachonifurahisha ni kwamba yeyote akitoka au akiingia ndani ya chama - CHADEMA inabakia vile vile, misingi imewekwa imara sana.