Elections 2010 Chadema wamekamilika kuongoza nchi 2015?

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Nashindwa kutambua kama ikitokea mwaka 2015 wamechukua nchi kwenye uchaguzi huo, je wana uwezo kiasi gani wa kuongoza taifa hili masikini la kizazi kilichokata tamaa na kupoteza uelekeo. maswali yangu yapo katika nyanja zifuatazo

1.Je sera zao zipoje katika kuliongoza taifa hili

2.Je muundo wa viongozi wao hupo vipi katika kuliongoza taifa hili

3.Ukomavu wa misukosuko ya kiuongozi kwenye chama chao hukoje

4.Nini mikakati yao katika kuondoa umasikini na kulinda rasilimali za nchi hii

5.Mipango yao inasemaje juu ya kushughulikia maovu ya viongozi waliopita(tawala wa CCM)

6.Maoni yao kuhusu muundo wa BUNGE na serikali ya nchii hii
 
ni vizuri kukumbuka kuwa kitu ambacho tunakosea wenzetu Wakenya wamekwisha kukijua na kukifanya ...yaani kuwa na KATIBA MPYA!
Titizo letu tuliweka utawala wa nchi (enzi za Mwalimu) kwa mtu mmoja aitwaye RAIS!!! Ambapo inawezekana wakati huo ilikuwa sawa kutokana na uwezo wake.
Kwa sasabu cdm wanadai nguvu ya umma na wengi wengi wetu tuna mawazo yale ya "rais amesema", lakini hicho kitu ni sera ya sasa hivi yakija mabadiliko itakuwa hakuna uamuzi wa mtu mmoja kufanya maamuzi ya watu milioni 45 bila hata kuwauliza.
....nadhani umemuona Mzee Ruhanjo juzi anaongelea kuwaondoa wakuu wa wilaya kitu ambach CHADEMA wamekiongelea miaka 15 iliyopita!
 
Back
Top Bottom