"CHADEMA Wamechakachua Picha"!

Mambo haya hapa

thumbnail.aspx

Umepewa vitumbua vingapi?
 
Kwahiyo mleta mada unataka kutuaminisha ya kuwa waliuwa mtu ili watu waogope kwenda kwenye mkutano??

Mkuu Lymo naongezea kidogo,sio waliua ni mliua!Maana nae anaweza kuwa ndie plan meneja.
 
Extraordinary claims require extraordinary evidence.So that sage Sagan said.

Kabla hujasema "wamechakachua" kuwa na uhakika ukiulizwa "wapi?" unaweza kuonyesha "hapa".

Pamoja na kuwa teacher wangu(indirect)wa lugha ngumu,pia fact zako ni extraordinary and untouchable,kama hii hapo juu.
 
Umepewa vitumbua vingapi?

tatizo mkuu mimi mwenyewe mwanachama wa chama cha magamba lakini hawa watu wanaojifanya hawaoni wanaharibu chama, ukweli unapaki palepale nimeangalia kwa mjengwa ingawaje huwa sipendi sana kuingia huko ni aibu watu walijaa aibu, sasa hawa wakina calculator ndo wanaharibu kabisaa ccm, ndo maana Lowasa atabaki kuwa mwenye akili pekee yeye nyeusi anaita nyeusi na nyeupe anaiita nyeupe!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo picha ya kuchakachua hata kama wewe ni Chadema wakutupwa ebu angalia vizuri hiyo picha ina vipande vitatu, hilo jukwaa halafu angalia katikati watu wamesimama.

Hata mie natiilia shaka,hicho kiatu cha Dr nakumbuka kampeni za 2010 ndo alikuwa anakivaa unless anavipenda sana vya hivo so anazo pairs lukuki
 
Bado kuna kina Tomaso hawaamini kama safari ya CCM ya Niagieni imefika.wanakua kama mtu mwenye ukimwi ukimpa hata 1% kuwa hana ,ataamini kuwa hana.
 
Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa

source mjengwa

Leo umebahatika kuwa na comments nyingi kwakuwa umegusa mioyo ya watu lakini kubisha kwamba hii picha halisi, umechemka. Linganisha na hii habari .. Mauaji ya Raia mikononi mwa Polisi Moro - YouTube... halafu endelea kubisha.
 
Amini, Usiamini, hali si nzuri. Tukiendelea kujidanganya kuwa walichakachua, na kuendelea kutumia nguvu ya dola kuzuia mawazo ya watu, ikiwa ni pamoja na kufungia magazeti (Mwana halisi), hali itakuwa mbaya kwetu 2015. Kwa wale wote wapenda chama chetu, inatubidi tuache matumizi ya mabavu, kwani ni sawa na kuzuia maji ya mto kwa kiganja cha mkono, badala yake, tuwaze mbinu za ushawishi kwa kutumia nguvu za hoja. Vinginevyo, mambo yanazidi kuwa mabaya, haya majamaa yanazidi kupata umaarufu. Ukitaka kujua nguvu yao, vaa jezi za chama chetu, upite mjini (Mwanza, Shinyanga, Mbeya, Arusha, Moshi, Morogoro), Ukipona kutukanwa, basi utapigwa kabisa. Please, let we think in-terms of countermeasures to make sure that we revive our party.
 
Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa

source mjengwa

Hii ndiyo akili matope, picha imepigwa na mdau wa mjengwa lakini hilo gamba masalakulangwa linalia na Chadema. Kwa akili yake ya kimabwepande alidhani kwamba kwakuwa policcm imewasaidia kwa kuua mtu ili wananchi waogope kuhudhuria mkutano wa Chadema, kinyume chake wananchi walimiminika kwa wingi sana katika mkutano hadi magamba yametikisika. Mbunge wa morogoro mjini yeye amepata mtikisiko mkubwa zaidi hadi akaamua kuwalaani policcm kwa kuwapiga mabomu wapigakura wake hivyo kuhatarisha kitumbua chake.
 
Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa

source mjengwa

Nilikuwepo kwenye mkutano wa CHADEMA Morogoro jana. Wewe unayesema kwamba haupendi mambo ya propaganda naona uko kwenye kundi la kina Thomas wa kwenye Biblia. Watu walijaa mpaka nikawa nawaambia wenzangu kwamba inawezekana kwa Morogoro ikawa ndo mara ya kwanza kukusanyika watu wengi kiasi iki. Na kwa taarifa yako Polisi wasingemuua Ally nafikiri hata watu wangekosa pa kusimama achilia mbali pa kukaa. Muulize mtu yeyote wa Morogoro aliyehudhuria mkutano huo kama mimi ni mwongo basi Mungu anichukkulie hatua. Watu wameamua na kwa taarifa yako hakuna wa kuwarudisha nyuma. bakieni kutokuamini mpaka mtakapoona yamekuwa
 
ama kweli wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, endeleeni kulala

  • :sleepy:
 
Pamoja na kuwa teacher wangu(indirect)wa lugha ngumu,pia fact zako ni extraordinary and untouchable,kama hii hapo juu.

Lugha inaonekana ngumu kwa sababu Kiswahili chepesi kimeshika mizizi, lakini ni ya kawaida tu.
 
Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa

source mjengwa

tembelea michuzi blog utapata za kutosha maumivu yakizidi gona PANADOL
 
Mkuu Double Chris,

nimependa ufundi ulioutumia kutufikishia HUU UJUMBE wenye neema kuu kuking'oa kabisa CCM pale Mkoa wa Morogoro. Tuliowachache humu tumeelewa ujumbe wako.

Morogoro Pipozzzz Pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mpaka kwa Ole Medeye!!!!!

Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa

source mjengwa

Similar Discussions

Back
Top Bottom