Chadema walipeleka haya hapa CUF je watapeleka yapi?

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
http://www.chadema.tv

CUF wanazidi kuwa wadandia hoja kila kukicha. Katiba wanayoifikiria walishaipeleka leo sijui wanataka nini tena! Wakisikia watu wanataka kuandamana na wao wanatangaza maandamano leo wamesikia Ikulu na wao wanataka mbona hawakutoka Bungeni na wao? au posho ndio ziliwabakiza? au Uzanzibar? Maana wanapenda kujadili ya Bara sana hao? Nafikiri wana tabia zile za akina Mama wanaotaka kujadili na kutumia vya Mume tu ila vyake na mshahara wake ni wa kwake mwenyewe haujadiliwi na Mume. Tena naambiwa hata katiba waliyopeleka ilikuwa ni ile iliyokuwa imeandaliwa na ushirikiano wa vyama vya upinzani kabla CUF hawajauvuruga. Anyway ngoja tuone.
 

Attachments

  • Mtanke.docx
    3.8 MB · Views: 33

Similar Discussions

Back
Top Bottom