CHADEMA waliomba kukutana na rais wamekubaliwa kukutana na m/kiti wa CCM

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
333
90
Kimsingi kwa yule alnayejua kuliangalia hili uajumuika kukubaliana na mimi kuwa cdm hawatakutana na rais kama walivyoomba hila watakutana na mwenyekiti wa ccm kwa sababu zifuatazo
1.tangu lini raisi akitaka kukutana na watu au organization fulani kamati kuu ya chama chake ndo kinatoa maamuzi?
2.kwa kuwa hoja ilijadiliwa na kamati ya chama chake na wakamuruhusu akutane nao mtakubaliana nami kuwa amepewa na yale atakayo yasimamia na kamati ya chama chake;je katika haya kuna anaebisha kuwa huu mchakato wa katiba ni kwa manufaa ya ccm?
 
Head of State Mbowe alisisitiza lakini jamaa wanataka na vyama vingine waingie kuonana na rais!
Ni kichekesho sana kwa hili,
 
Cha msingi ajiandae vema kujibu hoja za CDM! Majembe yaliyoandaliwa kukutana nao si mchezo!
 
Kuongozwa na Mkuu wa Nchi kama Kikwete unatakiwa uwe na roho ya mwendawazimu
 
Back
Top Bottom