Tumepata habari za upande mmoja, Slaa.Mboe.na Zitto tunaomba taarifa zenu kabla umma haujanza kuwashukia hakika kama wakipatikana na kosa la ukwepaji kodi ni muda muafaka wa kikifuta hiki chama oh mungu mkubwa hatimae mmenasa kiulaini
Wamenasa katika mtego wa pacha hawana ujanja, TRA iliwapa nafasi hadi ijumaa ya juzi wajitee, wameingia mitini. Labda kwa sabau walikuwa safarini, tuwasubiri j3 wajipeleke TRA
Mbinu za kizamani sana hizi. CCM wamekuwa wanazitumia kutishia wafanyabiashara wakubwa ili wawaunge mkono (forced marriage). Lakini sidhani kwa zama hizi mbinu kama hiyo italeta majibu wanayotaka. Wakubwa wa TRA - hii itakula kwanu.