CHADEMA wako Mtwara,ZANZIBAR yuko nani?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Yule wa kusingiziwa popote iwapo changamoto ya wananchi kuhoji hayuko karibu.Yuko mbali mno.Anaendeleza vuguvugu la mabadiliko Mtwara.CHADEMA husemwa kuwa hana nguvu Visiwani.Wenye nguvu ni CCM na CUF.Hao pia ndio wanaounda Serikali.

Zanzibar si shwari tena.Makanisa yanachomwa,watu wanashtakiwa kwa vurugu.Hadi jana,vijana wapatao 30 walipandishwa kizimbani.Wazanzibar hawasikilizwi watakacho.Wameamua kusema kwa vitendo.Wanafanya vurugu.Je,ikiwa CHADEMA hawako huko wala 'hawana nguvu' huko,nani hasa yuko huko na anahusika na vurugu hizo? Na tusemezane...
 
Zbar kuna hiki kitu kiitwacho Rabdi, ni jini linalotumwa kwa Waislamu peke yake, kwa ajili ya kufanya fujo.
 
Tunasubiri tamko la waziri flan., wanasemaga eti hizo tarifa tunazo na tunazifanyia kazi kuhusu hicho chama kujihusisha na vurugu,.
 
Very good analysis, ndo maana wako kimya kama wamenyeshewa. Watamlaumu nani? Hakuna upinzani kule, kinachonekana ni nguvu ya umma ingawa inatumiwa vibaya.
 
Labda baada ya kutoka pale jangwani Lema alidandia boti chap kwenda mwanakwerekwe ku start then akarudi ntwara.
 
Baba MwanaAsha si anapenda cfa,kwenda misiban kuona wagonjwa na maafa,mbona ajaenda kumpa pole Askofu?Sasa pcha nayoipata huwa aend kwa 7bbu,ila sifa 2.
 
Yule wa kusingiziwa popote iwapo changamoto ya wananchi kuhoji hayuko karibu.Yuko mbali mno.Anaendeleza vuguvugu la mabadiliko Mtwara.CHADEMA husemwa kuwa hana nguvu Visiwani.Wenye nguvu ni CCM na CUF.Hao pia ndio wanaounda Serikali.

Zanzibar si shwari tena.Makanisa yanachomwa,watu wanashtakiwa kwa vurugu.Hadi jana,vijana wapatao 30 walipandishwa kizimbani.Wazanzibar hawasikilizwi watakacho.Wameamua kusema kwa vitendo.Wanafanya vurugu.Je,ikiwa CHADEMA hawako huko wala 'hawana nguvu' huko,nani hasa yuko huko na anahusika na vurugu hizo? Na tusemezane...

Hapa hawatasingizia "CHADEMA hao" kama kawaida yao badala yake watasema "NI UPEPO TU HUO"
 
Shamuhuna ni mwizi na Fisadi mkubwa, ndio sababu Shein kamwondoa wizara Ardhi labda nae akachukue ngazi na kuanza kupiga chabo kama Maustaadh wa mjini
 
C mlisema kusini chadema haipo..2kija huko zenji MTABAKI MKISEMA CHADEMA MBONA HAMUENDI LAMU NA KISMAYU.ingekuwa vurugu bara lema na waitara wangekamatwa
 
wako walio olewa(CUF) na alio waoa (CCM) nadhani wako "han-mun"
subirin lugha ya siasa inayoandaliwa kutolewa hapo.kama ingekua kuwahi kuchakachua matokeo ya uchaguzi nadhan wangekua wameisha fika kama mwaka ule 1995 na 2000 lakini kwa sasa hawana habari unachezea magamba wewe??
 
Back
Top Bottom