CHADEMA wakiwa na Dr Slaa ndani ya Njombe

Ahsante mkuu, naona wanajombe wanaonyesha hisia kali juu ya CCM! bravo watanzania!
 
Kapandb dr.slaa.kaanza na ishu ya ccm na kujivua gamba.dr.wa ukweli katoa gamba la nyoka live ndani ya gwanda.nyoka aina ya koboko,yule mwenye sifa ya kukimbiza watu.katoka nalo songea mbinga.anaanza uchambuzi.kama kawa kaanza na data.
 
Haaa, kazi ipo!

CCM CHALI !

Asante kwa picha mkuu, endelea kutuletea picha na habari zaidi
 
Ha ha haaaa mpenda zoe aliisha bugi stepu bana ! kujitoa cdm ndiko aliji maliza wenyewe, na asivyo na akili akapoteza mafao yake ya ubunge. Wakina Shibuda walilamba kwanza ndipo wakatoka

we vp?ujue wanaoöngea jf ni wenye akili timamu tu! Sheria za jf ziko wazi, people who unsound of mind,thence,insane should not register! We umefikaje huku? Ni lini Mpendazoe kajitoa cdm??? Bwn ehe vichaa hawakai huku bwn!
 
waoo!t's ameizing I like that.kila ninapoona hizi picha najisikia raha sana.Ee mola tupe sisi CHADEMA hii nchi 2015 tuibadilishe.Hichi CHAMA CHA MAGAMBA kimeshindwa hakina mawazo mapya wiz mtupu.
 
Kapandb dr.slaa.kaanza na ishu ya ccm na kujivua gamba.dr.wa ukweli katoa gamba la nyoka live ndani ya gwanda.nyoka aina ya koboko,yule mwenye sifa ya kukimbiza watu.katoka nalo songea mbinga.anaanza uchambuzi.kama kawa kaanza na data.

Kamanda Slaa nimekuba kweli mafunzo kwa vitendo!
 
cdm sasa mnapoteza muelekeo maswla akina mwakiembe na sitta huo ni umbea sasa ongeeni issue ni jinsi gani zera zenu mbadala zinaweza kuwakomboa wananchi achaneni na kuongelea watu

Chama cha magamba kinaundwa na watu. Na hao watu ndio wanaofanya maovu na ndio wanaosababisha maisha magumu kwa watanzania wanyonge. Huwezi kuzungumzia maovu bila kuwataja watu, kwa hiyo suala la kuwataja watu haliepukiki. Mbona nape naye alifanya hivyo hivyo.
 
Duh: hii kali badala ya kujivua gamba na kashifa na propaganda zote kushindwa sasa hivi wameanza kutumia nguvu za giza....
Ama kweli CCM watasalimu wenyewe amri na ****** ataomba mwenyewe kuondoka ikulu halafu mbona miezi sita imepita hajarudi hata kutoa shukrani kwa waliompa kura?
 
Kapandb dr.slaa.kaanza na ishu ya ccm na kujivua gamba.dr.wa ukweli katoa gamba la nyoka live ndani ya gwanda.nyoka aina ya koboko,yule mwenye sifa ya kukimbiza watu.katoka nalo songea mbinga.anaanza uchambuzi.kama kawa kaanza na data.
 
Kapanda kamanda silnde sauti ya simba mb wa mbozi.huwez amin polisi nao leo wanaitikia peoples power!.anapanda sugu sasa.kwanza anapiga free style.anauliza masela mpo!mnaniona mwanenu?anawaasa raia kusimamia na kutetea haki zao

Hapo pamenikuna. Ahahahhahahahatehetehetehetehetehetehetehjetehetehetehetehetehe.loh, mnainiona mwanenuuuuuuuuuuu????
 
cdm inamchana mwanaccm jk live,itamwogopaje mwanaccj nape? Ww vp? Hata waje wanaccj wangapi cdm kama kazi! Ujiulizi kwa sasa cdm inamchala mijeled (ccm+ccj+cuf),yan inachapa kote kote!
twanga kotekote ndugu.
 
Kapandb dr.slaa.kaanza na ishu ya ccm na kujivua gamba.dr.wa ukweli katoa gamba la nyoka live ndani ya gwanda.nyoka aina ya koboko,yule mwenye sifa ya kukimbiza watu.katoka nalo songea mbinga.anaanza uchambuzi.kama kawa kaanza na data.

Si mchezo!
Tupe, tupe mkuu.
Dr. wa ukweli (Phd) anatoa hotuba kwa vitendo.
chama cha magamba watajivua hadi ngozi mwaka huu, wakimaliza ngozi watakuja kujivua nyama, watakapobaki na skeleton ndio kwishney yao.
 
we vp?ujue wanaoöngea jf ni wenye akili timamu tu! Sheria za jf ziko wazi, people who unsound of mind,thence,insane should not register! We umefikaje huku? Ni lini Mpendazoe kajitoa cdm??? Bwn ehe vichaa hawakai huku bwn!

Achana nae huyo haina haja ya kumjibu
 
Nape ni kiboko ya cdm, jamaa kila wakisimama jukwaani wanamuwazia huyu kijana wamfanye nn kwani ameisha mwaga mboga tayari

Kiboko wa mipasho. Huyo dogo anajua maana na ya neno Itakidi (ideology)? Na kama anajua, itakadi ya chama chake ni nini? (dont tell me it's ujamaa na kujitegemea) maana that one died yeye akiwa a smaal boy possibly 14yrs!
 
Duh: hii kali badala ya kujivua gamba na kashifa na propaganda zote kushindwa sasa hivi wameanza kutumia nguvu za giza....
Ama kweli CCM watasalimu wenyewe amri na ****** ataomba mwenyewe kuondoka ikulu halafu mbona miezi sita imepita hajarudi hata kutoa shukrani kwa waliompa kura?

Atarudi kwanani wakati asilimia kubwa ya hao watu wanajua hakushinda kihalali.
 
Back
Top Bottom