CHADEMA wakiwa na Dr Slaa ndani ya Njombe

Mpenda zoe yupo jukwaan hv sasa.anaelezea kuhusu ccj na kufa kwake.ametoa list ya vigogo waliokuwa waasisi kutoka ccm na waliokuwa wajitoe ccm.yupo sita,mwakyembe na nape mnauye.

Ha ha haaaa mpenda zoe aliisha bugi stepu bana ! kujitoa cdm ndiko aliji maliza wenyewe, na asivyo na akili akapoteza mafao yake ya ubunge. Wakina Shibuda walilamba kwanza ndipo wakatoka
 
haha,..
chama cha majini (ccm)
chama cha majambazi
chama cha majinga
chama cha misamaha
chama cha misele
chama cha mizaha
chama cha majungu
chama cha majuha
chama cha malimbukeni
chama cha .....

duh,...malizieni wenyewe

mkuu uchaguzi uliisha zamani , hayo yote wananchi waliyasikia lakini wakawarudisha madarakani kwa kishindo ukiwamo na ww uliwapa kura !
 
Strategically, CDM kumuanika Nape na CCJ was a good move, lakini kwa Sita na Mwakyembe. wangewaacha wahemee 'oxygen' ndani ya kundi.
 
haha,..
chama cha majini (ccm)
chama cha majambazi
chama cha majinga
chama cha misamaha
chama cha misele
chama cha mizaha
chama cha majungu
chama cha majuha
chama cha malimbukeni
chama cha .....

duh,...malizieni wenyewe

chama cha mashuzi
 
Lazima kieleweke Mwaka huu. Kikwete si alisema ni chama cha msimu! Basi huu msimu wa chadema uko miaka yote.

Toa elimu Chadema. Mafisadi a.k.a Wazee wa CCJ lazima waikubali hii kasi.

Toeni elimu wanaharakati, kwani cdm sio chama cha siasa bana !
 
Strategically, CDM kumuanika Nape na CCJ was a good move, lakini kwa Sita na Mwakyembe. wangewaacha wahemee 'oxygen' ndani ya kundi.

Hakuna! Wote mafisadi na ndugu zao manafiki lazima watajwe. Ama sivyo CDM itakuwa inafanya makosa yale yale ya chama cha magamba!
 
Strategically, CDM kumuanika Nape na CCJ was a good move, lakini kwa Sita na Mwakyembe. wangewaacha wahemee 'oxygen' ndani ya kundi.

Nape ni kiboko ya cdm, jamaa kila wakisimama jukwaani wanamuwazia huyu kijana wamfanye nn kwani ameisha mwaga mboga tayari
 
sasa hao wanafiki akina nape hawaoni aibu kwausaliti waliufanya kwa wenzao wa ccm leo wanajifanya kutaka kuvua magamba wenzao. kumbe wapo wapo wengi hata mwakyembe na sita nao????. mbona sasa wamewapa vyeo vikubwa hivo, ccm itapona kweli??? ngoja tusubiri
 
Nape ni kiboko ya cdm, jamaa kila wakisimama jukwaani wanamuwazia huyu kijana wamfanye nn kwani ameisha mwaga mboga tayari

Hiyo strategy inaitwa take two,ni kumfrustrate Mkuu wa Kaya na CCM na entire Cabinet Jakaya kwenye semina elekezi amewashita mawaziri na makatibu wakuu wake kwa wananchi unadhani kwa nini hana mtu wa kumwamini, wanachofanya Chadema nikumuonyesha kuwa yeye na usalama wa Taifa hawana maono kwenye verting ,nikuulize Kwani toka NAPE aumbuliwe umeshasikia salamu za Kuna watu wanataka KUmchafua Raisi na Familia Yake ha ha ha Strategist wa CHadema ni Kiboko CCM inarushwa kichura haija pata tokea
 
haha,..
chama cha majini (ccm)
chama cha majambazi
chama cha majinga
chama cha misamaha
chama cha misele
chama cha mizaha
chama cha majungu
chama cha majuha
chama cha malimbukeni
chama cha .....

Mission.
 
mkuu ni baathi tu mda ni kidogo,pia mkutano ulichelewa kuanza.sababu ni kuwa walikwenda kata ya kifanya.walipokuwa wanarud wamekuta viro vilivyojazwa udongo vimejazwa barabaran.hvyo kukawa na kazi ya kuvipangua kwanza.vimemwagwa fuso zima

kazi ya makinda hiyo.
cdm itamfata kila m2 hadi kitaeleweka
 
sasa hao wanafiki akina nape hawaoni aibu kwausaliti waliufanya kwa wenzao wa ccm leo wanajifanya kutaka kuvua magamba wenzao. kumbe wapo wapo wengi hata mwakyembe na sita nao????. mbona sasa wamewapa vyeo vikubwa hivo, ccm itapona kweli??? ngoja tusubiri
cdm sasa mnapoteza muelekeo maswla akina mwakiembe na sitta huo ni umbea sasa ongeeni issue ni jinsi gani zera zenu mbadala zinaweza kuwakomboa wananchi achaneni na kuongelea watu
 
Ha ha haaaa mpenda zoe aliisha bugi stepu bana ! kujitoa cdm ndiko aliji maliza wenyewe, na asivyo na akili akapoteza mafao yake ya ubunge. Wakina Shibuda walilamba kwanza ndipo wakatoka

Kwani sasa hivi yupo chama gani?
 
Nape ni kiboko ya cdm, jamaa kila wakisimama jukwaani wanamuwazia huyu kijana wamfanye nn kwani ameisha mwaga mboga tayari

cdm inamchana mwanaccm jk live,itamwogopaje mwanaCCJ Nape? Ww vp? Hata waje wanaccj wangapi cdm kama kazi! Ujiulizi kwa sasa cdm inamchala mijeled (ccm+ccj+cuf),yan inachapa kote kote!
 
chadema njombe.jpg

wakuu njombe nayo yafunikwa na chadema
hiyo ni leo hii jioni
 
Back
Top Bottom