Chadema wakiingia madarakani ulinzi wa rais utakuwa ................

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,705
1,288
Nilikuwa naahgalia taarifa ya habari na niliangalia kwa hisia namna walinzi wa Mgombea wa urais kwa kupitia CHADEMA walivyo shupavu kwa kufuatilia gari ya Bosi wao kwa miguu. Jee hali itakuwa hivi iwapo Dr Slaa ataingia madarakani?
 
Unawaza nini now?
Masuala ya ulinzi ni protokali tu ila cha msingi ni utekelezaji wa ahadi na si msururu wa ulinzi.
pumba punguzeni jamani
 
Back
Top Bottom