Habari zenu wa JF. Nimeona ujumbe huu wa huyu mtu aliyukuwa anatumia CHADEMA kama ujumbe wake. Mimi kwa upande wangu huyu ni mstaarabu sana maana huwezi kujua hao waliomkataza kama ni wanachama kweli au wanachama feki. Kwenye vyama hasa hivi vyenye kuweka UTAIFA mbele kuna mamluki wengi sana ambao wako pale kwa mambo mengine. Hivyo kuondoa mitafaruku muache atumia ujumbe mwingine ambao pia unatuma message kama ileile ila kwa maneno mengine.
CHADEMA ni chama chenye watu wengi hivyo pia kila mtu akiamua kutumia ujumbe wa chama inaweza kujenga chama au kuharibu kama nilivyosema juu. Mwingine anaweza kusema yeye ni CHADEMA akamwaga sera za ajabu ambazo hazijengi huoni hapo atakuwa amekiharibia chama? Nafikiri chama kibaki chama na individual abaki hivyo.
Kila la kheri Asha.