CHADEMA wakataza

Asha Abdala

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
1,130
44
Nimeandika barua pepe na CHADEMA kwamba kama nataka niendelee kutumia hii signature:

“CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya “Nguvu ya Umma” na kuamini katika itikadi ya “Mrengo wa Kati”. CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala. Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya. CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM), Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana”

Ambayo ni maneno rasmi ya CHADEMA yaliyoko kwenye tovuti ya chama basi niache kuandika mipasho humu JF.

Nimewaambia sitaweza kunyamaza pale ninapotakiwa niseme ukweli. I will always call a spade a spade. Kwa hiyo natangaza rasmi kuacha kutumia hii signature. Badala yake nitatumia hii

“ Huu ni mwanzo wa mwisho wa Chama Cha Mafisadi(CCM), hakuna dola idumuyo isipokuwa ya Mungu tu. Ni wakati wa vyama mbadala, kimoja wapo kipo hapa www.chadema.net, mabadiliko ni chakula kisichokifu”
 
Asha,
Hao waliokukataza hawatakiwi wawe wanapigania demokrasia maana kama hawajawa na madaraka tayari wanakusakama huku kwenye internet, imagine ungekuwa na radio au gazeti? Shame on them. Ningekushauri usiache kuitumia hiyo signature kama wewe binafsi unaipenda. Hiyo unayotaka kuitumia ni wishful thinking ambayo inaweza isitokee in your life time.
 
Wamesema natumia maneno ya kushambulia sana, na kwa jinsi nilivyoandika ile signature ya mwanzo kuna watu humu wameandika email za kulalamika CHADEMA kwamba msemaji wenu katika JF anawadhalilisha na kugombana na watu kwenye mtandao. Sasa mi si msemaji rasmi, nimeamua kuondoa ili nisionekane msemaji rasmi. Mi ni mwanachama tu. Wala sijachukia kwa kweli. Na wameniandikia ujumbe mzuri tu wa kunipongeza kwa kukitetea chama. Na wamesema niendelee tu kukitetea chama kwa kuwa kila mwanachama ana haki ya kutoa maoni

Asha
 
Kweli CHADEMA hapo wamechemsha vibaya mno, huwezi kumkataza mwanachama kutumia ujumbe wa chama, mathalani mwanachama wa ccm ambaye michango yake huwa ni hoja dhaifu, au hata kama ni mtu wa mipasho lakini asiyependa rushwa akiamua kutumia meseji hii katika signature yake "rushwa ni adui wa haki sitapokea wala kutoa rushwa" hii peke yake inakitangaza chama, na inakisaidia chama kuosha picha yake. watu wana akili ya kutofautisha msimamo wa chama na maoni ya wanachama.

Kama CHADEMA wanataka kuhodhi ujumbe wao usitumiwe na wanachama kwa hofu kwamba kutokana na wanachama hao kuwa watu wa mipasho, au watu wenye hoja dhaifu basi itakiharibia chama, hii inaweza kutafsiriwa kuwa chadema ni chama cha "elites", chama kinachoshindwa ku connect na wananchi wa kawaida ambao chadema wanadhani siyo "elites".

besides ina maana hao CHADEMA wameshindwa kuwaelewesha hao wanaolalamika kwamba Asha siyo msemaji wa chadema mpaka wamuwekee asha vikwazo vya kutokutumia mipasho kwenye meseji zake ili aweze kuendelea kutumia signature yake ya awali?.
 
Nimeandika barua pepe na CHADEMA kwamba kama nataka niendelee kutumia hii signature:

“CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya “Nguvu ya Umma” na kuamini katika itikadi ya “Mrengo wa Kati”. CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala. Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya. CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM), Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana”

Ambayo ni maneno rasmi ya CHADEMA yaliyoko kwenye tovuti ya chama basi niache kuandika mipasho humu JF.

Nimewaambia sitaweza kunyamaza pale ninapotakiwa niseme ukweli. I will always call a spade a spade. Kwa hiyo natangaza rasmi kuacha kutumia hii signature. Badala yake nitatumia hii

“ Huu ni mwanzo wa mwisho wa Chama Cha Mafisadi(CCM), hakuna dola idumuyo isipokuwa ya Mungu tu. Ni wakati wa vyama mbadala, kimoja wapo kipo hapa www.chadema.net, mabadiliko ni chakula kisichokifu”

Yaani wamekukataza kijisehemu kidogo ukaamua kutumia website nzima!!
 
Ni chadema kweli au ni mtu tu kaamua kujiita chadema??
 
Kweli CHADEMA hapo wamechemsha vibaya mno, huwezi kumkataza mwanachama kutumia ujumbe wa chama, mathalani mwanachama wa ccm ambaye michango yake huwa ni hoja dhaifu, au hata kama ni mtu wa mipasho lakini asiyependa rushwa akiamua kutumia meseji hii katika signature yake "rushwa ni adui wa haki sitapokea wala kutoa rushwa" hii peke yake inakitangaza chama, na inakisaidia chama kuosha picha yake. watu wana akili ya kutofautisha msimamo wa chama na maoni ya wanachama.

Kama CHADEMA wanataka kuhodhi ujumbe wao usitumiwe na wanachama kwa hofu kwamba kutokana na wanachama hao kuwa watu wa mipasho, au watu wenye hoja dhaifu basi itakiharibia chama, hii inaweza kutafsiriwa kuwa chadema ni chama cha "elites", chama kinachoshindwa ku connect na wananchi wa kawaida ambao chadema wanadhani siyo "elites".

besides ina maana hao CHADEMA wameshindwa kuwaelewesha hao wanaolalamika kwamba Asha siyo msemaji wa chadema mpaka wamuwekee asha vikwazo vya kutokutumia mipasho kwenye meseji zake ili aweze kuendelea kutumia signature yake ya awali?.

Soma vizuri hayo maelezo ya Asha....utagundua kuwa hujaelewa anachozungumzia.
 
Mwishoni watakupangia cha kuwaza na kusema; ama kweli kama upinzani ndo hivi basi kuing'oa CCM majaliwa...
 
Wamesema natumia maneno ya kushambulia sana, na kwa jinsi nilivyoandika ile signature ya mwanzo kuna watu humu wameandika email za kulalamika CHADEMA kwamba msemaji wenu katika JF anawadhalilisha na kugombana na watu kwenye mtandao. Sasa mi si msemaji rasmi, nimeamua kuondoa ili nisionekane msemaji rasmi. Mi ni mwanachama tu. Wala sijachukia kwa kweli. Na wameniandikia ujumbe mzuri tu wa kunipongeza kwa kukitetea chama. Na wamesema niendelee tu kukitetea chama kwa kuwa kila mwanachama ana haki ya kutoa maoni

Asha

Asha,
Nakushauri usikubaliane na hao wanaokukataza. Kama roho yako ilikuwa inapendezewa na ile signature ya awali, lala nao sambamba na usikubali yeyote yule atakayetaka kukuzuia. Kumbuka kwenye kila chama kuna watu wazuri na wabaya. Akikukataza mmoja usichukulie kuwa ni azimio la chama. Ila ukikubaliana nao utakuwa unamuunga mkono huyo anayetaka kuchukua uhuru wako wa kujieleza. Mbona GAME THEORY anampeperusha Barack Obama??

image.php

JF ni mtandao huru where everyone dare to talk. Humu ndani kuna Chadema wengi na huyo atakayechukulia maneno yako kuwa ndio ya chama atakuwa mwendawazimu. Kwani Chadema haina njia za kupeperushia maazimio yao?? Usiiache hiyo signature under pressure, utakuwa unaunga mkono udikiteta. Kuwa mkakamavu, Demokrasia haiji kiurahisi. Ukiiacia tu hiyo signature mimi nitaichukua nione huyo atakayenigusa.
 
Ndiyo Asha
Ujumbe wako mzito na watu wanausoma kwa kukurupuka sasa inakuwa balaa .Wananchi tumieni muda kusoma na kumwelewa Asha .Asha kaza buti ndugu hadi kieleweke .
 
Nimeandika barua pepe na CHADEMA kwamba kama nataka niendelee kutumia hii signature:

“CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya “Nguvu ya Umma” na kuamini katika itikadi ya “Mrengo wa Kati”. CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala. Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya. CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM), Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana”

Ambayo ni maneno rasmi ya CHADEMA yaliyoko kwenye tovuti ya chama basi niache kuandika mipasho humu JF.

Nimewaambia sitaweza kunyamaza pale ninapotakiwa niseme ukweli. I will always call a spade a spade. Kwa hiyo natangaza rasmi kuacha kutumia hii signature. Badala yake nitatumia hii

“ Huu ni mwanzo wa mwisho wa Chama Cha Mafisadi(CCM), hakuna dola idumuyo isipokuwa ya Mungu tu. Ni wakati wa vyama mbadala, kimoja wapo kipo hapa www.chadema.net, mabadiliko ni chakula kisichokifu”

Dada Asha,

Una haki ya kutumia maneno yoyote kwenye signature yako ili mradi huvunji sheria za nchi pamoja na zile etiquette za Internet pamoja na Jamboforums.

Ungelikuwa unadai kwamba wewe ni kiongozi wa Chadema, angalau ningelikuelewa lakini kuweka signature ambayo huitumia kwa nia mbaya yoyote, nafikiri wanakuonea bure.

Wewe endelea tu kuitumia labda mpaka wakufukuze uanachama kwi kwi kwi!!!

Kama wao wanaandikiwa malalamiko, sasa wanashindwa nini kuwajibu hao wanaowalalamikia?

Wala hata usiogope kurusha vijembe hapa JF ili mradi kama unachoandika unakiamini na kinaweza kuleta tija kwa nchi yetu.
 
Soma vizuri hayo maelezo ya Asha....utagundua kuwa hujaelewa anachozungumzia.

Hivi Mkuu Mtu anaweza kuja Ofisini kwako akachukua Signature yako akawa anaitumia bila idhini yako?

Kama angelikuwa msemaji wa CHadema basi chadema ingemuruhusu kufanya hivyo lakini si msemaji.
 
Signature ya ofisini na banner ya kwenye internet ni vitu viwili tofauti. Kama watu wataanza kulalamikia hata banners basi watapoteza muda wao kuhangaika na mambo ambayo wala hayawaongezei tija.

Imagine Obama anaanza kuwafuatlia wote wanaotumia picha yake.

Nafikiri Chadema watumie muda wao kuuza chama chao na sio kumkataza dada ambaye zaidi ya kuandika maoni yake hajaabuse hiyo banner kwa njia yoyote ile.

Sikubaliani na maoni mengi ya dada Asha lakini sioni kama maoni yake yana tofauti na maoni ya sisi wengine hapa JF, ni upande tu mwingine wa shilingi. Hoja hujibiwa kwa hoja na sio kukataza kutumia symbols fulani. Wakianza kukataza kitu kidogo kama hicho, mwisho wake wataishia wapi?
 
Hivi kwani hayo maneno ni "signature" ya Chadema?

Halafu mnaodai watu wanakurupuka hebu someni Asha mwenyewe alivyoandika... kifupi ni kwamba hawajamkataza kuyatumia bali wamemtaka kuacha kuandika kile walichokiita mipasho humu JF ikiwa anataka kuendelea kuyaweka maneno hayo kwenye sig line yake, hapo sasa...
 
Nimeandika barua pepe na CHADEMA kwamba kama nataka niendelee kutumia hii signature:

“CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya “Nguvu ya Umma” na kuamini katika itikadi ya “Mrengo wa Kati”. CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala. Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya. CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM), Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana”

Ambayo ni maneno rasmi ya CHADEMA yaliyoko kwenye tovuti ya chama basi niache kuandika mipasho humu JF.

Nimewaambia sitaweza kunyamaza pale ninapotakiwa niseme ukweli. I will always call a spade a spade. Kwa hiyo natangaza rasmi kuacha kutumia hii signature. Badala yake nitatumia hii

“ Huu ni mwanzo wa mwisho wa Chama Cha Mafisadi(CCM), hakuna dola idumuyo isipokuwa ya Mungu tu. Ni wakati wa vyama mbadala, kimoja wapo kipo hapa www.chadema.net, mabadiliko ni chakula kisichokifu”

Asha goma, kwa nini unakubali kunywimwa haki yako ya kutumia uhuru wako kama mtanzania? Chadema kukukataza kutumia hiyo sahihi yako ni uvunjaji wa haki yako ya msingi kama binadamu.
 
Hivi Mkuu Mtu anaweza kuja Ofisini kwako akachukua Signature yako akawa anaitumia bila idhini yako?

Kama angelikuwa msemaji wa CHadema basi chadema ingemuruhusu kufanya hivyo lakini si msemaji.

Mkuu Kakindo,
Nafikiri hapa unachanganya kidogo. Ile sio signature ya Chadema, ni Mission Statement yao ambayo kiukweli kila mpenzi wa Chadema anatakiwa aibebe moyoni na publicly. Signature ya JF ni jinsi tu ya kujieleza mrengo wa mawazo yako hapa mtandaoni, na sio kuwa inaweza ikatumika kwenye official transactions.

Huyo mhusika wa Chadema aliyemwamrisha Asha inabidi amuombe Asha na mtandao wa JF samahani kwa kuingilia mambo yake ya ndani kama wale makachero waliowaweka ndani mamoderator wa JF.
 
Huyo aliyemwandikia barua Asha ni fisadi na dikteta aache kabisa kuingilia uhuru na haki yake ya kutoa maoni na kuandika chochote hapa JF.
 
Signature ya ofisini na banner ya kwenye internet ni vitu viwili tofauti. Kama watu wataanza kulalamikia hata banners basi watapoteza muda wao kuhangaika na mambo ambayo wala hayawaongezei tija.

Imagine Obama anaanza kuwafuatlia wote wanaotumia picha yake.

Nafikiri Chadema watumie muda wao kuuza chama chao na sio kumkataza dada ambaye zaidi ya kuandika maoni yake hajaabuse hiyo banner kwa njia yoyote ile.

Sikubaliani na maoni mengi ya dada Asha lakini sioni kama maoni yake yana tofauti na maoni ya sisi wengine hapa JF, ni upande tu mwingine wa shilingi. Hoja hujibiwa kwa hoja na sio kukataza kutumia symbols fulani. Wakianza kukataza kitu kidogo kama hicho, mwisho wake wataishia wapi?

Nafikiri kuna ambao ndani ya Chadema wamekuwa obsessed sana na matukio ya kwenye mitandao kiasi cha kuwafanya wasahau kuwa kura ziko vijijini. What they did is pathetic.
 
Nimeandika barua pepe na CHADEMA kwamba kama nataka niendelee kutumia hii signature:

“CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya “Nguvu ya Umma” na kuamini katika itikadi ya “Mrengo wa Kati”. CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala. Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya. CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM), Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana”

Ambayo ni maneno rasmi ya CHADEMA yaliyoko kwenye tovuti ya chama basi niache kuandika mipasho humu JF.

Nimewaambia sitaweza kunyamaza pale ninapotakiwa niseme ukweli. I will always call a spade a spade. Kwa hiyo natangaza rasmi kuacha kutumia hii signature. Badala yake nitatumia hii

“ Huu ni mwanzo wa mwisho wa Chama Cha Mafisadi(CCM), hakuna dola idumuyo isipokuwa ya Mungu tu. Ni wakati wa vyama mbadala, kimoja wapo kipo hapa www.chadema.net, mabadiliko ni chakula kisichokifu”

Mbona hata uliyoamua kutumia siyo yenyewe unayotumaia sasa? Au bado hujaanza kuitumia? au umebadilisha tena?

Check hii unayotumia sasa

“ Huu ni mwanzo wa mwisho wa Chama Cha Mafisadi(CCM), hakuna dola idumuyo isipokuwa ya Mungu tu" hivi hawa www.chadema.net wanaweza kuwa mbadala?
 
Ambayo ni maneno rasmi ya CHADEMA yaliyoko kwenye tovuti ya chama basi niache kuandika mipasho humu JF.

Wakuu hebu chonde chonde kidogo, hivi hapa si mahali pa hoja na kujibiwa kwa hoja, sasa kumbe kuna wanaoandika mipasho hapa Jambo Forums?

Hiyo mipasho si inakuwaga kwenye zile nyimbo za mwambao yaani Taarabu na chakacha, na halua! halua! sasa kweli mnatuletea hayo mambo humu JF, sasa si noma hiyo? au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom