Chadema have a case, wao wanawabunge wanaowawakilisha kwenye bunge la Jamhuri ya Tanzania pia ni chama kiongozi wa upinzani bungeni; na charter ya community inasema vyama vyenye uwakilishi bungeni ni lazima viwakilishwe kwenye baraza la kutunga sheria la Afrika Mashariki!! Uchaguzi wa kesho ni dhahili huko mbele utakuwa declared null and void!! Majaji wa East African court of Appeal sio wa Voda-fasta; ni watu waliobobea kisheria!! Wale wagombea wa magamba walitumia mamilioni kuhonga itabidi wahonge tena uchaguzi utakaporudiwa; Shame on bibi kiroboto!!