CHADEMA wajiondoa kugombea ubunge - EALA

Status
Not open for further replies.

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
wakuu, kama kawaida, spika ana makinda amekataa mapendekezo yote yaliyopelekwa na wapinzani pursuant to EAC charter kuwa wabunge huchaguliwa kwa uwianao toka bunge la nchi husika. ameshilikia msimamo kuwa ni lazima wabunge 8 watoke ccm na wapinzani kiti kimoja. chadema ili kulinda charte ta EAC, na demokrasia katika ukanda huu wameamua rasmi kujitoa kwenye kinyanganyiro hicho. sasa wanakimbilia kwenye mahakama ya afrika mashariki kutafuta haki
 
This is new era politics, ukileta mambo ya kizamani na ukongwe tunafahamu wapi pa kubanana.

Heko wote walio mstari wa mbele!!
 
ccm n mbwaa anyekufa hivyo wantaka kushikilia kial kitu wakifikiriwataokoka
 
Kama mwongozo wa EAC unasema hivyo ni dhahiri Mahakma ya Jumuia itatengua maamuzi ya Bunge letu. Hivi kwa nini tunapenda kupata aibu hivi kila wakati? CCM hakuna aliyebaki mwenye ufahamu timamu akasimama na kuelekeza wenzake?
Kweli kumbe kifo kikifika hakuna wa kukizuia. CCM iliyokuwa moja ya vyama mahiri Africa iko ICU inapumulia gas na na mtungi wa gas umebaki robo na hakuna ziada.
 
Big up CDM bora mmejiondoa kuliko kushiriki na hao magamba,washirikiane na magamba B/CUF NA TLP.Hawa magamba ni wanafiki wakubwa wanafanya vile ili ionekane wameshirikisha upinzani upuuzi mkubwa kiti kimoja tuu?
 
Hawakimbilii mahakamani wameamua kutumia haki Yao ya kikatiba kuenda kupata haki inapotolewa, supika Hana mamlaka ya kutoa haki. Kaamua bila kuzingatia sheria dawa ni kwenda mahakamani.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom