CHADEMA wajiandaa kutupa bomu kubwa kuhusu SIOI kuwa na PASI mbili

chachana

Member
Aug 4, 2011
57
92
Inasemekana nakala ya pasi mbili zote zimepatikana kutoka uingereza (heathrow airport), na zinauthibitisho wa mgombea wa ccm kuwa na pasi mbili ya tanzania na ya XXXXXXXXXXXXXa.

Inasemekana bomu hili ni sehemu ya mambo yatakayowekwa hadharani iwapo tume itatengeneza sababu ambazo zipo kinyume na sheria na kanuni.
 
hivi nyie mna akili kweli sasa waingereza wawe na passport mbili bila wao kuchukua hatua walikuwa wanawasubiri nyinyi CDM siyo??!!
 
weka vithibitisho kama ile barua ya siri ya uhamiaji kwa mkuu wa mkoa.
 
hivi nyie mna akili kweli sasa waingereza wawe na passport mbili bila wao kuchukua hatua walikuwa wanawasubiri nyinyi CDM siyo??!!

Usiwe na akili kama ya Mwanaasha.

UK wanaruhusu dual citizenship, Tz hawaruhusu. Hivyo hiyo siyo kazi yao wala hawana inetrest ya kufuatilia hilo........... Kwa vile kwa serikali ya TZ kwao ni tatizo au ni kinyume cha sheria kuwa na passport zaidi ya moja then CDM wana haki ya kukitumia hicho kipengere.
 
Pia Kenya na wao wameanza kuruhusu uraia wa nchi mbili. Kwetu hatutambui. Hachomoki hapo
 
Wana interest, kwa vile katika hiyo hali huyo mtu amegushi kitambulisho cha tanzania. Wangitakiwa walione hilo jambo hao wazungu!
Usiwe na akili kama ya Mwanaasha.

UK wanaruhusu dual citizenship, Tz hawaruhusu. Hivyo hiyo siyo kazi yao wala hawana inetrest ya kufuatilia hilo........... Kwa vile kwa serikali ya TZ kwao ni tatizo au ni kinyume cha sheria kuwa na passport zaidi ya moja then CDM wana haki ya kukitumia hicho kipengere.
 
Inasemekana nakala ya pasi mbili zote zimepatikana kutoka uingereza (heathrow airport), na zinauthibitisho wa mgombea wa ccm kuwa na pasi mbili ya tanzania na ya XXXXXXXXXXXXXa.

Inasemekana bomu hili ni sehemu ya mambo yatakayowekwa hadharani iwapo tume itatengeneza sababu ambazo zipo kinyume na sheria na kanuni.
Hili gamba halishindi Ubunge Arumeru, hiki si cheo cha kifalme
 
unawazingua watu lakini wenye akili ya kuona hilo wachache sana
I will pass
OTIS
 
Inasemekana nakala ya pasi mbili zote zimepatikana kutoka uingereza (heathrow airport), na zinauthibitisho wa mgombea wa ccm kuwa na pasi mbili ya tanzania na ya XXXXXXXXXXXXXa.

Inasemekana bomu hili ni sehemu ya mambo yatakayowekwa hadharani iwapo tume itatengeneza sababu ambazo zipo kinyume na sheria na kanuni.
Ni kwa nini nakala hizi hazikuwa attached kwenye rufaa ya CHADEMA kwenda tume ya uchaguzi ili uteuzi wake utenguliwe? mimi habari za namna hii huwa naziona ni za kutupotezea muda wetu wa kujadili vitu vya msingi.
 
Usiwe na akili kama ya Mwanaasha.

UK wanaruhusu dual citizenship, Tz hawaruhusu. Hivyo hiyo siyo kazi yao wala hawana inetrest ya kufuatilia hilo........... Kwa vile kwa serikali ya TZ kwao ni tatizo au ni kinyume cha sheria kuwa na passport zaidi ya moja then CDM wana haki ya kukitumia hicho kipengere.

Mkuu kwa hiyo Uingereza watashirikiana na Chadema katika sakata la urai wa Siyoi?

Hivi unajua sheria za Uingereza katika matumizi ya pasipoti kwa wageni? Au umeamua kujifurahisha tu?
 
Ni kwa nini nakala hizi hazikuwa attached kwenye rufaa ya CHADEMA kwenda tume ya uchaguzi ili uteuzi wake utenguliwe? mimi habari za namna hii huwa naziona ni za kutupotezea muda wetu wa kujadili vitu vya msingi.

Watu wanakwenda kwa mahesabu, lengo inaezekana ni kuwatega NEC, kama wakijichanganya, yawezekana ikwa ni njia ya kuuonesha umma wa watanz kuwa sheria zinachakachuliwa. waache NEC wapime upepo kwanza.

Pia inawezekana vimechelewa kupatikana.
 
Unataka Watanzania mpaka waoneshwe nini ndio wajue CCM ni chama cha majambazi, hivi Watanzania hawa hawa wangekuwa na akili wangekubali kudanganywa na yule muuwaji Benjamini Mkapa kwamba atawarudishia mashamba wana Arumeru wakati yeye ametawala miaka 10 mfululizo na hakufanya hivyo na badala yake ameuza viwanda!!??
 
[QUOT=Watu wanakwenda kwa mahesabu, lengo inaezekana ni kuwatega NEC, kama wakijichanganya, yawezekana ikwa ni njia ya kuuonesha umma wa watanz kuwa sheria zinachakachuliwa. waache NEC wapime upepo kwanza.

Pia inawezekana vimechelewa kupatikana.[/QUOTE]

Pia inawezekana aliyeweka mada
anajaribu kuwatishia NEC; kuwa upo ushihidi mwingine!
 
Mkuu kwa hiyo Uingereza watashirikiana na Chadema katika sakata la urai wa Siyoi?

Hivi unajua sheria za Uingereza katika matumizi ya pasipoti kwa wageni? Au umeamua kujifurahisha tu?

Mkuu sijakusoma siku mbili hizi.Kulikoni?
 
Back
Top Bottom