Chadema waitosa rasmi CUF kambi ya upinzani bungeni.

Baba Tina

Senior Member
Dec 22, 2010
131
2
Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimesema hakiko tayari kukishirikisha chama kilichoko serikalini kwenye kambi ya upinzani. Katibu mkuu wa chama hicho amesema chama hicho cha chadema kiko tayari kuvishirikisha vyama vingine kwenye kambi hiyo endapo vitasitisha uhusiano na chama cha CUF ambacho kinaunda serikali ya zanzibar pamoja na chama cha mapinduzi. Source: TBC news leo usiku.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom