CHADEMA waitangazia CCM kifo

Unaunga mwenyewe hoja mkono, siyo tunaunga hoja mkono.

Brother nakufatilia kwa makini,umekuwa baridi zaidi ya bonge la barafu. Una kila dalili za kupigania Serikali ya Mseto 2015! Hatutaki asilani, tumekuja kuifuta CCM ktk uso wa dunia
 
Maoni ya Rejao ni sahihi mbona kwa mtazamo wake nyie mko mjini sisiem mpaka porini wanyama wa porini wanaipigia kura za ndiyo.... nyie mtaambulia kura za mama ntilie tu na kiasi kidogo cha vijana (machinga) na ni mara chache wao kukakaa kusubiri kupiga kura.

vipi na arumeru ?
 
Toka mmeanza kuandamani mmepata faida gani? Zaidi ya watu kuumizwa na wengine kupoteza maisha yao huku viongozi wenu wakijineemesha tu!
Utaijuaje faida ya maandamano ya CHADEMA wakati yanatishia usalama wa mkate wako? Sisi wengine tumeona faida kubwa sana kwani serikali ya CCM haifanyi kazi bila kushinikizwa kwa nguvu ya umma.
 
Maoni ya Rejao ni sahihi mbona kwa mtazamo wake nyie mko mjini sisiem mpaka porini wanyama wa porini wanaipigia kura za ndiyo.... nyie mtaambulia kura za mama ntilie tu na kiasi kidogo cha vijana (machinga) na ni mara chache wao kukakaa kusubiri kupiga kura.
kama vile ulikuwepo kule Arumeru, ilikuwa kama ulivyoeleza.
 
Haki huwa haitolewi kwa hiari...Inagombewa!
Piganieni haki...mwisho beberu atakimbia miguu ikimgonga kisogo.

kwa waliosoma enzi zileee! wanakumbuka katika vitabu vya kiswahili kibanga ampiga mkoloni. sasa cdm ndio kibanga na ccm ndio mkoloni wa leo.
 
Kama umeilewa mada pia mstari.
Kifo cha ccm kimeshapitishwa na mungu kwa sababu ya udhalimu kwa watanzania.
Chadema wanachokifanya ni kukazia hukumu.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom