Chadema Waishukuru Polisi

Naama Mwiba, Maalim Seif anaendeleaje na mnofu wa ngurue alioamua kuisaidia CCM kutafuna huko yakhe?
yakhe maalim yupo katika kazi kwani kazi tuliyomtuma hajaimaliza na wewe kama shahidi ,angalia tu na utakuja kuona kuwa jamaa ni MasterMind wa kuiondoa CCM kwenye madaraka ,haya ya huku yawache kama yalivyo ,CUF inasema wameshaingiza mguu mmoja ndani ya Ikulu sasa wanapigania kuingiza wa pili.Kazi huko mnakogombea umeya !

Tahadhari kubwa kwa wale ambao mawazo yao yanamuona Maalim Seif kama aliyepewa au kutupiwa fupa,mtakuwa mnakosea sana ,Msimamo waake na wa Chama Chake ni kuhakikisha CCM inaondoka madarakani,mwanzo walikuwa CCM watupu ,sasa hayo ni baada ya kusukumwa na CUF ,hivyo nguvu za kusukuma bado zinaendelea na hatimae kama yalivyomashindano ya mueleka ni kumsukuma hadi kumtoa nje ya ulingo,na hapa walipo wanendelea kumsukuma hadi wanahakikisha wametupa nje.

Ila Chadema wacheni kupelekwa puta na CCM ,mkifanya mchezo mtanasa,nasema tena washukuruni polisi wamewatoa kwenye mdomo wa chewa,naamini viongozi wenu watakuwa wameshajua.
 
Ninawashangaa mnajadili jambo ambalo ni simple logic.

IGP kasema kuna taarifa za kiinteligentsia, kwamba, maandamano yakifanyika, kutakuwa na vurugu.

Baada ya kilometa mbili, Polisi wakaingilia kati! Vurugu zikatokea!

AMETHIBITISHA KAULI YAKE!

Sasa mnataka nini tena?

Eboooo?
 
Guyz, mnanichosha na comments zenu humu,
I cant spend the rest of the night keeping an eye to this post wakati nyote ni watu wazima na mnajua mnachokifanya.
Kama thread haijakufurahisha just simply ignore it na endelea na threads nyingine,
lakini kila mtu akitaka kutoa tusi analojua yeye humu kweli tutakuwa 'great thinkers'??
huna cha kuchangia-simply keep quiet.
Nashukuru
 
Taarifa za kiintelijinsia ni aina ya ushenzi unaotumika kutenda yaliyotokea Arusha. Mimi nitoe mfano. wakati wa kampeni ya uchaguzi wa Oktoba mwaka jana JK alifika Mbulu. Wakati alipoanza tu kuzangumza upuuzi wake watu walianza kuondoka uwanjani. Polisi walipoona hivyo wakaanza kurusha mabomu ya machozi. Niambieni, taarifa za kiintelijinsia kwanini hazikutumika kuzuia mkutano huo?watu walioanza kuondoka kwenye uwanja wa mkutano walikuwa wanavunja amani gani?kwanini mabomu ya machozi yalitumuka hapo Mbulu?

Acheni kuwadanganya Watanzania. Kilichotokea Arusha ni uhuni wa Serikali ya CCM kwamba kitendo cha wananchi kuendelea kukiunga mkono Chadema kinawaumiza sana vichwa. Wanapoona kwamba Dr. Slaa bado yupo katika mioyo wa Watanzania kinawazengua sana. Wanadhani kwa kitendo kilichofanyika Arusha watapunguza umaarufu wa Chadema. wanadhani Watanzania wataamini kuwa Dr. Slaa alichochea vurugu Arusha na hivyo hafai kuwa rais. Hata kama watasema nini ukweli unajulikana uko wapi.

Mwiba umeleta propaganda, tunashukuru kwa mawasilisho ya hoja za kipropaganda. ujue tunajua lengo lako ni nini.
 
HUYU MWIBA NI TAHIRA itakuaje uvunjaji wa amani uwe wa upinzani tu Mbona hatusikii jeshi la Polsi kuzima mikutano ya CCM na kuuwa watu Nyerere aliwaambia mupingane kwa hoja .
Usiwe Limbukeni ukaandika vitu humu Arusha isengekalika umesoma mpaka darasa la ngapi wewe kama huan cha kuandika kaa pembeni soma yanayoandikwa usiwe zumbukuku.
Hii style ya CCM ni kama shetani kila miaka kumi lazima wamwage damu na kisingizio kulinda amani walimwaga damu Pemba na Unguja January 2001 na leo hii wamamemua kumwaga damu Arusha , awalimwaga damu Musoma , Walimwaga damu pale MWembechai Masjid magomeni CCM inauwa Waislamu kwa Wakristo ni jinamilzi linalowamaliza watanzania.
 
Maskini pamoja na kuandika kote hakuna hata mtu mmoja aliedu ze niidifuli :washing::washing::washing::washing:
 
Wekeni pembeni matusi,hapa nilipo nipo na mkuu tena wa ngazi za juu kabisa,amesema kipo kitu ilikuwa kitokee na kama sio polisi kuingilia kati basi ana uhakika Chadema wangetwishwa mzigo wa lawama.
Nyie wengine mpo kusubiri habari tu,hebu ingieni deep kwenye hili jambo ili mjue ni kipi hicho walichokuwa nacho polisi ???



Huwezi kuwa na Mkuu wa ngazi ya juu kwa jinsi unavyoeneza pumba. Na kama kweli upo naye basi na yeye ni MPUMBAVU kama wewe.
Mauaji ya Arusha CCM walisababisha, kwahiyo kama kuna chama cha kufutwa ilitakiwa CCM ifutwe haraka iwezekanavyo.
 
Yakhe mimi ni mtu wa kwanza kulaani mambo haya ,tena ni nambari one,tokea 2001 ......sasa hii ya Arusha kwangu mimi ni muendelezo tu wa yale ambayo nikiyapinga kwa marefu na mapana ,siejui wakati huo mlikuwa wapi ,maana kama tungelikuwa pamoja wakati huo ,haya ya leo yasingetendeka,lakini mlitutenga na kutona wapemba si watu.

Now police forces kill your brothers and sisters ,poleni sana ,leo hii ndio mnatambua kuwa Serikali ya CCM ni mbaya,leo hii ndio mnatambua kuwa jeshi la polisi halitendi haki ,leo hii ndio mnatambua kuwa jeshi la polisi linauwa raia wasiokuwa na hatia.

Basi wandugu bado huo au hio ni dibaji tu,polisi hao watauwa,watatesa watanajisi na watafanya kila ovu mnalolijua na msilo lijua,kama nasema kama hamkuamua kupambana nao roho kwa roho basi hayo makelele yenu hayatakuwa dawa wala hawatayasikia,endeleeni kuleta matusi hapa labda mnaona hiyo ndio dawa.

WanaJF,

Post ya mwiba inatafsiriwa kama "Crap" na wengi wa wachangiaji, mimi naoana ametumia kejeli kidogo kuwasilisha ujumbe mzito.

Amesema analaani mauaji ya raia wasio na hatia. Hili halina shaka limo kwenye post yake...pia amekwenda mbali kusema wakati 2001 wapemba waliuwawa na hawa hawa Polisi wa serikali inayoilinda CCM na si wananchi. walipofanya mauaji wengi wa watu walifurahia waliona ni sawa tu waliyofanya Polisi wakati huo.

Vyama vyengine vinapoandamana, maoni yanayotolewa humu Jf yanaweza kukufanya ujiulize masuali mengi na usipate jawabu..wengine husema "vunja miguu", "vunja mikono hao", washikishe adabu hao nk.

Waswahili husema "ukimuona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji!"
Kwa hiyo, wakati tunauchungu, tunaomboleza vifo vya Watznia wenzetu, pia tutafakari zaidi kuwa ushabiki wa kichama pekee, unatupeleka pabaya, kuna mambo ambayo yanamgusa kila raia, aliye Arusha, aliye Lindi, aliye Tanga, aliye Mbeya, aliye Pemba na kwa hivyo, linapotokea kama hili la Arusha inapasa tushikamane na kudai haki zetu.

kama nimemfahamu vyema Mwiba ni kuwa kama jamii ya Tz ingesimama kidete kutetea, kuunga mkono na kutetea haki za Raia waliouwawa Pemba 2001 leo Polisi na serikali ya CCM isingekuwa na jeuri hii waliyoifanya Arusha.

Badala ya kutupiana matusi, tuutafakari ujumbe wa Mwiba na tuufanyie kazi.
Tushikamane! na Haki ya Raia inapokanyangwa sote, tuhisi kuwa tumeonewa na tudai haki hiyo.

Na CCM na serikali yake haitaishia hapo,itaendeleza kumpiga nyundo kila ambaye anatishia maslahi yao.
kauli za NCCR, CUF nk ni mwanzo mzuri, vyama vinaanza kuona ukweli na taasisi nyengine za kiraia pia. sasa isiwe kwa hili tu.
 
Unafahamu jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza,mambo ambayo yangetokea kama maandamano yangefanyika yangelipelekea Chadema kufutwa na pia wengi wa viongozi kuishia gerezani.

Majanga ambayo yangetokea kusingelikuwa na wa kumshika isipokuwa wahusika wangelikuwa ni Chama cha Chadema.Ni vizuri Chadema kutafuta ni habari gani polisi walikuwa nazo na ni akina nani walitayarisha mipango hiyo ya hatari,Je ni UVCCM au Ni WaChadema.

Habari za kiintelijensia ambazo polisi wamesema wanazo au walizipata bila ya wasiwasi wowote ule zingehatarisha usalama wa raia wengi kuliko inavyofikiriwa ,nionavyo ndio maana polisi wakalazimika kuzima maandamano kwa njia yeyote ile alimuradi nia ya waliokusudia uovu kutumia maandamano hayo zisifanikiwe.

Inawezekana kabisa habari hizo zikawa na ukweli au zikawa ni rummors zisizo na uthibitisho wowote ule, sasa inakuja kuja hali ya kudhibiti ni pale tunaposema ni bora kukinga kuliko kutibu,polisi wamekinga.

Ingawa kuna watu humu watakuja na ujuwaji kulivyo wanavyojua,hao huwa nawaweka mkono wa kushoto na ni watu wa kupuuzwa,changamoto iliyopo ni uongozi wa juu kutafuta hizo habari za kiupelelezi kutoka kwa jeshi la polisi na kuwajua wabaya wao waliotaka kujichomeka ndani ya maandamano ili kujua ukweli wa mambo.Tugange yajayo yaliopita si ndwele ndivyo waswahili tusemavyo.

Matokeo ya kutumia makalio kufikiri.
 
Wacheni Jazba ,muhimu ni kutafutwa walichokuwa nacho polisi ,jamani hasira hazijengi ,JF ni moja ya kiini zipatikanapo habari za kiintelejinsia ,sasa kale kaizi chetu ni lazima kapite huko kwenye vitalu vya habari za upelelezi ziwekwe hapa ,ikiwa Chadema na uongozi wao watashindwa kuzipata ,kama mnafahamu hili sio jambo jepesi ni lazima ukweli wa kilichokuwa kitendeke ambacho polisi walikihofia kielezwe ,nani atakieleza ,je Chadema wanazijua au wameshazijua ,au walipokamatwa walimegewa na sasa wamekaa kimya ,wengine wacheni kumwaga mavumba maana mna harufu mbaya ya midomo.

Sasa Mwiba intelligensia ya Chadema ambayo si lazima iwe sahihi inaonyesha kuwa polisi walijitungia hakukuwa na hatari yoyote ila ni CCM hawataki kuwa challenged kwa namna yoyote. Siasa za ubabe na ukandamizaji na matumizi ya nguvu ndiyo mtaji pekee walio baki nao baada ya kuishiwa na watu (hata wewe Mwiba deep down unajua huwapendi ila kwa ajili ya kazi na malipo ya usaliti inabidi uonyeshe kukubaliana). Sasa kama unapinga hili basi wewe bila shaka una taarifa ya kamili basi tupe data..
 
Mwiba umepoteza mwelekeo na credibility!
Habari za kiintelijensia zinaniambia kwamba unaishi kwa kutunga kubuni na kuzusha mambo na kuhisihisi bila kuwa objective!

Credibility ya kitu gani? tuchanganulie basi. Kwani si kila mtu ana haki ya kueleza maoni yake humu?
 
WanaJF,

Post ya mwiba inatafsiriwa kama "Crap" na wengi wa wachangiaji, mimi naoana ametumia kejeli kidogo kuwasilisha ujumbe mzito.

Amesema analaani mauaji ya raia wasio na hatia. Hili halina shaka limo kwenye post yake...pia amekwenda mbali kusema wakati 2001 wapemba waliuwawa na hawa hawa Polisi wa serikali inayoilinda CCM na si wananchi. walipofanya mauaji wengi wa watu walifurahia waliona ni sawa tu waliyofanya Polisi wakati huo.

Vyama vyengine vinapoandamana, maoni yanayotolewa humu Jf yanaweza kukufanya ujiulize masuali mengi na usipate jawabu..wengine husema "vunja miguu", "vunja mikono hao", washikishe adabu hao nk.

Waswahili husema "ukimuona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji!"
Kwa hiyo, wakati tunauchungu, tunaomboleza vifo vya Watznia wenzetu, pia tutafakari zaidi kuwa ushabiki wa kichama pekee, unatupeleka pabaya, kuna mambo ambayo yanamgusa kila raia, aliye Arusha, aliye Lindi, aliye Tanga, aliye Mbeya, aliye Pemba na kwa hivyo, linapotokea kama hili la Arusha inapasa tushikamane na kudai haki zetu.

kama nimemfahamu vyema Mwiba ni kuwa kama jamii ya Tz ingesimama kidete kutetea, kuunga mkono na kutetea haki za Raia waliouwawa Pemba 2001 leo Polisi na serikali ya CCM isingekuwa na jeuri hii waliyoifanya Arusha.

Badala ya kutupiana matusi, tuutafakari ujumbe wa Mwiba na tuufanyie kazi.
Tushikamane! na Haki ya Raia inapokanyangwa sote, tuhisi kuwa tumeonewa na tudai haki hiyo.

Na CCM na serikali yake haitaishia hapo,itaendeleza kumpiga nyundo kila ambaye anatishia maslahi yao.
kauli za NCCR, CUF nk ni mwanzo mzuri, vyama vinaanza kuona ukweli na taasisi nyengine za kiraia pia. sasa isiwe kwa hili tu.
Tungekuwa na watu kumi tu wenye uelewa kama wako hapa JF tungelikuwa tumefika mbali ,ila kama uonavyo tuna mambutwai wababe na wajuaji na wenye urithi wa matusi kutoka wanakokujua,ahsante kwa kunifahamu kwa kina.
 
Mbona unaongea habari za kufikirika? Hata kama kulikuwa na habari za kiintelijensia, nguvu iliyotumika kuzuia mkutano wa chadema ikiwa imeambatana na marungu, risasi za moto, maguruneti ya nguvu, maji ya kusababisha raia wema wajikune strongly, askari waliojikoki kana kwamba wanaingia kwenye msitu wenye wanyama wakali, n.k; hivyo vyote visingalitosha kulinda hizo taarifa za "kiintelijensia"
My take:
Utumbo.:Cry:
 
Zile habari za kuchakachuwa wamiliki wa Dowans, ni za ki-inteligensia pia. Ebu pia wachukuwe mabomu maana ni za hatari mno.
 
Mwiba wewe ni mwanga,muuaji,jinamizi,matongotongo,uvundo,my foot,hayawani,mwanaharamu,najisi,Umechanyikiwa,mkuda wewe,chotara wewe,mla watu,damu ya kunguru wewe.Fakeni
 
Mwiba if you don't mind! please let me know where are you come from? coz it simce you are not Tanzanian then will get back to you with full dataz according to your Thread! Its total Craaaap please find another Thread.
 
Back
Top Bottom