Chadema wagomea mwaliko wa Tendwa

Hivi unamgomeaje Tendwa halafu unaendelea na kazi za kisiasa? Si uache siasa kabisa basi.

Leo umeongea pumba iliyo pitiliza! Kwa hiyo Tendwa akigomewa siasa haifanyiki?! Yeye ni mlezi anaye lea kilicho mshinda kulea hakuna mahusiano na kuacha kufanya kazi ya siasa. In reverse, wewe ukipigwa kibuti na mwanaume una ng'oa kabisa sehemu zako za siri kwa vile huna tena kidume cha kuendeleza?

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Hongera kwa majibu mwanzuri nadhani hata wachangiaji wengine wataona jinsi ulivyo na akili timamu na jinsi ulivyonijibu hoja ambayo sikuitoa mimi....Kweli wewe ni jembe...dah you are among the few great thinkers!

Mkuu, uandishi wako unawapa shida wasomaji, maana kuna maneno kadha wa kadha yanapoteza mwelekeo mzima wa maudhui ya hoja zako.

Tulia mkuu unapoandika na ufanye marejeo ya uandishi wako.
 
Nilikuwa sijui kama Ruzuku inatolewa kwa Vyama vinavyoshiriki semina za Msajili wa Vyama vya Siasa tu!
 
Chadema na Harakati zao za kutaka nchi isitawalike. Sasa wamehamia kwa Mh. Tendwa..
 
Jaji Tendwa kwenye hili la kukata ruzuku ningependa alifanye haraka haraka, lengo kuu hapa ni kutuokolea fedha zetu wananchi zisiende katika matumbo ya hao MAJAMBAZI wasiotumia silaha.

Jeuri na kiburi chao tuone kitaishia wapi wapuuzi hao, kwanza kwanini asirejee katiba ya nchi imejieleza waziwazi kuhusu kutokuwa na uhalali wa hiki chama katika siasa za hapa nchini.

Katiba ya nchi imekataa kuwa na chama cha siasa ambacho kimeundwa kikanda, hapa kwenye hili la ukanda ukiangalia vyama vyote vya siasa utaona ni CHADEMA pekee ndio wamejazana WACHAGA na WA-ARUSHA.

Kama baba wa taifa angekuwa na akili kama ya hawa MAGWANDA leo hii nafasi zote ndani ya chama angewajaza watu wa MUSOMA, lakini akufanya hivyo, aliamini katika "binadamu wote ni sawa" na wote wana haki ya kupata fursa katika nafasi yeyote ndani ya chama au kitaifa.

Wewe mwananchi unaeipigania CHADEMA na kuiunga mkono, fanya tafiti na ukijue kwa undani wake, usiridhike kwa maneno ya hao wasanii wachumia tumbo, wataongea lolote hili wakuteke akili yako kwa lengo la kukutumia.

Mabadiliko ya hili taifa yatatokana na CCM, jambo la maana ni kuiacha serikali itekeleze ilani ya chama ya mwaka 2010 na muifanyie tathmini kutokana na yale yaliyoelezwa kwenye ilani ya chama, kama yametekelezwa au laa.

"BADILIKA UBADILI TAIFA".

U truly a great thinker,C.C.M ina hazina ya vijana wasomi na waelewa sana i see!ni kweli kabisa John Tendwa ni jaji,hv aliwahi kua high court au cort of appeal?Hawa Cdm kweli waliasisiwa na watu wa kanda moja tu,maana hata kina Bob Makani walikua wakaskazini,pia Cdm ni majambazi yasiyotumia silaha,maana wamepiga issue za Kagoda,Eppa,Richmond,wanauza twiga nje,wameua viwanda,wameua reli ya kati,wameingia mikataba ya kitapeli ya madini na ardhi,jamaha hawafai kabisa hawa hata baba wa taifa alikosea sana aliposema Cdm ni chama makini wakati Tlp na Cuf ndio vilikua makini na vyenye nguvu by then!!ni kweli mabadiliko ya kweli yataletwa na C.c.m maana miaka 50 waliyokaa madarakani ni michache sana,yaani nusu karne tu!?if EDUCATION IS EXPENSIVE TRY IGNORANCE
 
Unajuwa ni vizuri kwa mtu wa level na taaluma yake akaquote kifungu cha sheria anachokisimamia kutoa kauli/vitisho vyake vinginevyo tunazidi kumuona adui no 1 wa demokrasia nchini.

Na kama kuna shabiki wa CCM ambaye ana mawazo chanya hatoweza kamwe kushabikia vitendo vya kitumbafu vinavyofanywa na baadhi ya watendaji wa serekali wenye dhamana kama kina tendwa na kamuhanda (just to mention few) kwani badala ya kuubomoa upinzani kama wanavyodhani kinauongezea umaarufu na kuwafanya hata wasioushabikia wafanye hivyo kwani huhitaji akili nyingi sana kuonana kukerwa na yanayofanywa.

Kuna vitendo vya kipumbafu na kifisadi zaidi kama ile mipango ya safari ya Kigali, iliyo andaliwa na mpedwa wetu Meya wa CDM Moshi, na ikazimwa na watendaji wa Serikali.
Una mawazo yasiyo ya kipumbafu juu ya hilo?
 
U truly a great thinker,C.C.M ina hazina ya vijana wasomi na waelewa sana i see!ni kweli kabisa John Tendwa ni jaji,hv aliwahi kua high court au cort of appeal?Hawa Cdm kweli waliasisiwa na watu wa kanda moja tu,maana hata kina Bob Makani walikua wakaskazini,pia Cdm ni majambazi yasiyotumia silaha,maana wamepiga issue za Kagoda,Eppa,Richmond,wanauza twiga nje,wameua viwanda,wameua reli ya kati,wameingia mikataba ya kitapeli ya madini na ardhi,jamaha hawafai kabisa hawa hata baba wa taifa alikosea sana aliposema Cdm ni chama makini wakati Tlp na Cuf ndio vilikua makini na vyenye nguvu by then!!ni kweli mabadiliko ya kweli yataletwa na C.c.m maana miaka 50 waliyokaa madarakani ni michache sana,yaani nusu karne tu!?if EDUCATION IS EXPENSIVE TRY IGNORANCE

Sina utaratibu wa kubishana na VILAZA, maana ninaogopa kumpa mawazo yangu, wakati najua fika hawezi kuyachambua kwa udogo wa uwelewa, uweledi na umakini wake.

Wewe ni kilaza, kwahiyo si vyema nikabishana na wewe kwa uwezo mdogo ulionao wa hayo niliyoyaeleza hapo juu.

Kajifunze kufanya uchanganuzi wa mambo, kwa ushauri wa bure kabisa nakupa.
 
Kuna vitendo vya kipumbafu na kifisadi zaidi kama ile mipango ya safari ya Kigali, iliyo andaliwa na mpedwa wetu Meya wa CDM Moshi, na ikazimwa na watendaji wa Serikali.
Una mawazo yasiyo ya kipumbafu juu ya hilo?

Mkuu mbona unahama kwenye hoja uliyoiasisi wewe mwenyewe kirahisi hivi?? Tumalize hili la tendwa, la madiwani uliliasisi humu ukapata michango miiingi tu hukuridhika?? Tusimamie hoja iliyopo mbele yetu kwanza.
 
Sina utaratibu wa kubishana na VILAZA, maana ninaogopa kumpa mawazo yangu, wakati najua fika hawezi kuyachambua kwa udogo wa uwelewa, uweledi na umakini wake.

Wewe ni kilaza, kwahiyo si vyema nikabishana na wewe kwa uwezo mdogo ulionao wa hayo niliyoyaeleza hapo juu.

Kajifunze kufanya uchanganuzi wa mambo, kwa ushauri wa bure kabisa nakupa.

Hauna hoja thats why unakimbilia kuita watu vilaza na kutukana!ofkoz me ni kilaza kweli mkuu,nahitaji kutoka kwenye ukilaza kwa wajenga hoja watakao nipa ufunuo wa ubongo!jenga hoja basi great thinker,matusi na kebehi kwa mtu mwenye upeo mpana kama wewe vitakushushia hadhi,hayo mambo inatakiwa tufanye sisi vilaza
 
Mkuu, uandishi wako unawapa shida wasomaji, maana kuna maneno kadha wa kadha yanapoteza mwelekeo mzima wa maudhui ya hoja zako.

Tulia mkuu unapoandika na ufanye marejeo ya uandishi wako.

Level zikitofautiana sana ni tatizo tafuta yeyote unayedhani kuwa ni muelewa kuliko wewe apitie maandishi yangu akueleweshe.
 
Mkuu mbona unahama kwenye hoja uliyoiasisi wewe mwenyewe kirahisi hivi?? Tumalize hili la tendwa, la madiwani uliliasisi humu ukapata michango miiingi tu hukuridhika?? Tusimamie hoja iliyopo mbele yetu kwanza.
Sihami kwenye hoja mkuu, wewe kama mtu mwenye mawazo chanya vilevile you are setting a precedence na ku-conclude from it.
Precednce na mifano chanya au hasi ipo mingi tu.
Ndio maana ukianza kuongelea mifano ya kipumbafu haipo sehemu moja tu.
 
Hauna hoja thats why unakimbilia kuita watu vilaza na kutukana!ofkoz me ni kilaza kweli mkuu,nahitaji kutoka kwenye ukilaza kwa wajenga hoja watakao nipa ufunuo wa ubongo!jenga hoja basi great thinker,matusi na kebehi kwa mtu mwenye upeo mpana kama wewe vitakushushia hadhi,hayo mambo inatakiwa tufanye sisi vilaza

Wewe usinifundishe mimi cha kufanya, angalia katika huu uzi kama sijaweka hoja yangu, nilichokipata ni kebehi na matusi kutoka kwenu WANA-CHADEMA. Maana ndilo mnalolijua hilo, bila matusi, ubabe na shari uhai wa chadema upo matatani.

Wana-mapinduzi tunakawaida moja, kama mtu atatumia matusi katika kujenga hoja zake basi sisi tunatumia vitendo. TAFAKARI SANA KWENYE HILI.
 
Level zikitofautiana sana ni tatizo tafuta yeyote unayedhani kuwa ni muelewa kuliko wewe apitie maandishi yangu akueleweshe.
The elitist, holier than thou attitude, basically cutting yourself from your roots!
 
quote_icon.png
By Mzalendo JR
Kwa mtazamo wangu kataa neno sio wito, ni hayo tu. N ingekua poa CDM ndio kutumia semina hii kumfundisha Tendwa.

Mkuu, wameshamfundisha! Kwa vitendo! Naye kaelewa somo.
 
Hauna hoja thats why unakimbilia kuita watu vilaza na kutukana!ofkoz me ni kilaza kweli mkuu,nahitaji kutoka kwenye ukilaza kwa wajenga hoja watakao nipa ufunuo wa ubongo!jenga hoja basi great thinker,matusi na kebehi kwa mtu mwenye upeo mpana kama wewe vitakushushia hadhi,hayo mambo inatakiwa tufanye sisi vilaza

Mkuu wala asikupe shida mpuuze tu kwani hakuna sehemu anayojibu hoja badala yake anakimbilia matusi. Ni uzao wa Livingstone, tendwa na dhaifu. Unategemea nini hapo?? Waache waendelee kuhaha nachofurahi ni kwamba bila kujuwa matendo yao yanawaamsha hata waliolala vijijini. Watakapostuka tayari watakuwa wamefungwa bao.
 
CHADEMA kama taasisi ipo juu sana kuliko taasisi ya Tendwa yaani msajili wa vyama,hivyo basi wana haki ya kugomea mkutano wa kibaraka Tendwa.
 
Hauna hoja thats why unakimbilia kuita watu vilaza na kutukana!ofkoz me ni kilaza kweli mkuu,nahitaji kutoka kwenye ukilaza kwa wajenga hoja watakao nipa ufunuo wa ubongo!jenga hoja basi great thinker,matusi na kebehi kwa mtu mwenye upeo mpana kama wewe vitakushushia hadhi,hayo mambo inatakiwa tufanye sisi vilaza

Mkuu you made my day!unajua ukiwa una argue with a fool inabidi uende nae taratibu,yeye akija na jazba,matusi n.k wewe unajishusha tu,mpaka mwisho wa siku ataelewa na kujigundua kumbe mie ndio mpumbavu!
 
Kamwaga ugali na ss tumemwaga mboga wote tulale njaa huyo kada anatafuta pa kujikosha ndni ya ccm hatumbembelez mjinga dwa aishitiwe!
 
Mkuu wala asikupe shida mpuuze tu kwani hakuna sehemu anayojibu hoja badala yake anakimbilia matusi. Ni uzao wa Livingstone, tendwa na dhaifu. Unategemea nini hapo?? Waache waendelee kuhaha nachofurahi ni kwamba bila kujuwa matendo yao yanawaamsha hata waliolala vijijini. Watakapostuka tayari watakuwa wamefungwa bao.

Ushauri mzuri umempa mkuu,maana atapoteza energy bure tu!wapo watu wa kubishana nao kwa hoja,lakini huyo sio level yake!
 
HAMY-D
Wana-mapinduzi tunakawaida moja, kama mtu atatumia matusi katika kujenga hoja zake basi sisi tunatumia vitendo. TAFAKARI SANA KWENYE HILI.

Mkuu, nimeipenda sana hii busara. Ndiyo maana CDM, kama wanamapinduzi, wameitumia kwa Tendwa kwa kuwaita "Chama cha Fujo" (ambalo ni tusi) na kutishia kukifuta. Sasa CDM wanatumia vitendo.
 
Back
Top Bottom