Chadema wagawanyinga

I agree with you 100%, nawasikitikia hawa vijana, hawamjui Mbowe, ni dictator ile mbaya, na yupo Chadema si kwa maslahi ya waTanzania bali kuna mambo na malengo yake binafsi.

Mie nawashangaa sana wa Tanzania wenzangu wengine, hivi huyu jamaa ambae klabu zake za usiku zina uozo wa uadilifu kupindukia, na yule Dokta Slaa ndio kama tujuavyo, ana kesi ya kupora Mke wa mtu, ndio wanawashabikia na kuwasikiliza eti ni viongozi, wanaongoza nini?

Mbowe na wenzake wapo kwa ajili ya maslahi ya Watz. Watu utawajua kwa matendo yao. Kama CCM ama JK/Kayanja/na wengine wengi wangekuwa na mapenzi mema na nchi hii wasingefanya uchakachuaji mkubwa katika historia yetu. Wasingechochea chuki ya kidini ndani ya watz. Kama wanaipenda Tz, wasingekubali mali ya umma ipotee huku wenye mali wakifa kwa njaa, magonjwa na ujinga uliopindukia na ilihali wageni wanafaidi mali hiyohiyo na kuwa mabilionea huko kwao. Wasingekubali kutumia pesa ya umma kama EPA kuwaingiza madarakani. Wangeleta katiba mpya yenye kuwapa nguvu wananchi kuchagua kiongozi wamtakaye na kuifuta tume ya kichina inayowachagulia watu kiongozi na kuburuza matakwa ya watu.
Nataka kuwatia moyo CHADEMA, viongozi wake na wote wenye mapenzi mema na nchi hii, aruta continue, mpaka kieleweke. Hii sio nchi ya CCM, hii ni nchi ya watanzania. CCM ilizaliwa na ipo siku itakufa. Vyama vyote vina haki sawa. Na hata Mbowe/Slaa wakikaa kimya leo hii, nakuakikishia watainuka wengine kudai haki hii, tena watadai kwa nguvu ya ajabu. Watanzania wamechoka na manyanyaso ya CCM.
 
Jambo lolote ambalo linahusu wabunge na si JK na speech zake ni halali kwa wabunge wa Chadema kushiriki na hili halina mjadala sasa ulitaka wasiende kwende chakula cha wabunge kimeandaliwa kwa pesa yan walipa kodi wote ? Jamani akili zingine

Acheni kujichanganya bana, hii yaonyesha kuwa hamko sawa hv kuna walakini kidogo ndani yenu. Mh, Shibuda anatoa mkono wa heshima utafikiri anamwakia baba yake, huyo ndio JK bana RAIS WA UKWELI WA JMT. Na hata wewe huna Rais zaidi yake, kama yupo hebu mtaje ambae KATIBA inamtambua.
 
Hawakufika kabisa bungeni, hii inaonyesha ni jinsi gani mbowe na mtei wanavyotaka kuwaburuza vijana waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha na sasa wanataka kuwatumia kutimiza haja zao na si maslahi ya wananchi waliowachagua.

CCM wangekuwa wanaangalia maslahi ya wananchi waliowaweka madarakani wangemtosa Sitta kwenye uspika? Hivi unaweza kuzungumzia maslahi ya wananchi kwa kuwahusisha CCM?!!!! Stop insulting our intelligence!
 
Acheni kujichanganya bana, hii yaonyesha kuwa hamko sawa hv kuna walakini kidogo ndani yenu. Mh, Shibuda anatoa mkono wa heshima utafikiri anamwakia baba yake, huyo ndio JK bana RAIS WA UKWELI WA JMT. Na hata wewe huna Rais zaidi yake, kama yupo hebu mtaje ambae KATIBA inamtambua.

.
Leodga Tenga, rais wa TFF.
 
Hao wabunge wametumia akili sana, kutofika kabisa katika maeneo ya bunge... Hao vipofu wengine wameingia mkenge
Huna Hoja, unauliza au unajibu, Mnafiki mkubwa, kipofu ni wewe ambaye upendi katiba ilekebishwe au ibadilishwe na NEC Taifa iwe huru na tume huru ya kufatilia malalamikp kabla ya kuyatangaza kama ilivyo Senegal ambavyo rais uchukua ata mwezi lakini nyinyi siku tatu tu mwataka kuapisha, kumpiga chura teke ni kumwongezea mwendo sasa mwendo unaanzia kwa kususa mpaka kieleweke, hata hivyo wasingeweza kusikiliza hotuba duplicate ya 2005 ambayo mika mitano hakuna mabadiliko, yaani yale ya Nkapa AKA Mr. SAFI aliyoayaacha:embarrassed:
 
WAMEANZA! Wameanza kutafuta jinsi ya kuweka ufa kwenye ngome imara ya CHADEMA! Wataanza kutafuta mianya ya kuwahonga ili kukisambaratisha CHADEMA! Wasichojua ni kuwa hawa wabunge ni watu makini, wenye uchungu na nchi yao, wenye kujali maslahi ya taifa na sio ya kwao binafsi. Wanadhani hawa ni sawa na CCM MPs wanaoutafuta ubunge ili kujinufaisha na kulinda ufisadi usilipuliwe! WASHINDWE!
 
Ni haki yao kupinga. Demokrasia ndani ya CHADEMA iko wazi. Kama kweli walikuwa na ubavu wa kumpinga Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CHADEMA, wangekwenda Bungeni siku hiyo na KUBAKI ndani wakati JK alipohutubia! Huo ni unafiki!

Unasema unampinga Mwenyekiti, unakipinga CHADEMA, halafu hufanyi vitendo? Khaaa!

Uchuro!

Watanzania waoga sana! Ningependa kujua majina yao niwanange hapa LIVE! Wekeni majina yao tafadhali! Mnawaficha nini? Hawa si watu makini, HAWATUFAI ndani ya CHADEMA! Inawezekana ndio hawa wale Wabunge Mamluki waliopandikizwa na CCM, kuja kuivuruga CHADEMA!

Tuko makini, hamtuwezi!

Zitto Kabwe
Lucy owenya
Said Arfi
endelea
 
Jambo lolote ambalo linahusu wabunge na si JK na speech zake ni halali kwa wabunge wa Chadema kushiriki na hili halina mjadala sasa ulitaka wasiende kwende chakula cha wabunge kimeandaliwa kwa pesa yan walipa kodi wote ? Jamani akili zingine

Mkuu, unaendeleaje? Natumaini u mzima wa afya sasa.
 
in here we discuss ideas! Ideas which are or become the founding principles of basic human rights and upon which comes true socio-econ6ic development. Peoplf in iere should validated info na siy6 udaku. Hopenimeeleweka
 
Hawakufika kabisa bungeni, hii inaonyesha ni jinsi gani mbowe na mtei wanavyotaka kuwaburuza vijana waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha na sasa wanataka kuwatumia kutimiza haja zao na si maslahi ya wananchi waliowachagua.

sasa rafiki we hii post ya kwanza tu unaanza kuleta ukabila?
 
wabunge 11 wa chadema wamepinga msimamo wa mwenyekiti freeman mbowe wa kususia hotuba ya rais katika ufunguzi wa bunge la kumi

nani kapinga na lini na wapi??? Wapimge waone tunawafukuza na hawatarudi tena daima,hakuna wakupinga acha uzushi.
 
Hawakufika kabisa bungeni, hii inaonyesha ni jinsi gani mbowe na mtei wanavyotaka kuwaburuza vijana waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha na sasa wanataka kuwatumia kutimiza haja zao na si maslahi ya wananchi waliowachagua.
kilitreka umenena yauhalisia,ungekua karib yangu ningekupa zawadi nono,nawapa pongez wabunge wote 11 wa chadema waliokataa kuburuzwa na huyu mbumbumbu wasiasa mbowe,mbowe amekaa kimaslahi zaid,ila haisumbui ndio kawaida ya wachaga najamiizao wote wa north wao tamaambele kuliko kitu chochote,angalia hata vitimaalum vya chadema 70% ni wachaga au niseme wenyekutoka north,hongera wabunge mliokataa ujinga wa mbowe.
 
Jamaa hawa wa CHADEMA ni geresha tu , hawana lolote aisee. Walitoka ukumbi wa Bunge ili kutomsikiliza Mh. RAIS JK, wakaenda kwenye ukumbi wa upinzani Bungeni wakawa wanasikiliza hotuba hiyo kupitia Runinga. Jioni ya siku hiyo, JK aliwaandalia sherehe wabunge, jamaa wote walikuja wakala wali na kunywa. Sasa najiuliza , km hamumtambui mbona mlikuja kwenye sherehe yake na mkala vyakula vyake? Kweli BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA AISEE.
hawa chadema ninjaa tu inawasumbua,wajinga hawa,tamaa mbele mauti nyuma,labda walizani jk kwenye sherehe hiyo kaweka nakitimoto nambege,ulafi wamsosi naulafi waposho za bunge,kalagabaho hao hawajui walifanyalo
 
non sense,naona ni wale wachafuaji wa umoja wa wachakachuaji Tz(UWT) wapo kazini. WaTZ HATUDANGANYIKI from 2010 kwenda mbele
 
kilitreka umenena yauhalisia,ungekua karib yangu ningekupa zawadi nono,nawapa pongez wabunge wote 11 wa chadema waliokataa kuburuzwa na huyu mbumbumbu wasiasa mbowe,mbowe amekaa kimaslahi zaid,ila haisumbui ndio kawaida ya wachaga najamiizao wote wa north wao tamaambele kuliko kitu chochote,angalia hata vitimaalum vya chadema 70% ni wachaga au niseme wenyekutoka north,hongera wabunge mliokataa ujinga wa mbowe.

Mwera, MUngu amekupa akili bureee. Hakukuuzia. kama njia ya kumshukuru, itumie. Usiiweke kabatini. Kama wamekataa kuburuzwa si wangeenda Bungeni na wakabaki vitini pale wenzao walipotoka ili kuonyesha jinsi ambavyo hawaburuzwi?? Hili mbona linahitaji akili ndogo tu ya mtoto wa Chekechea kulichuja?? Kaaz kwei kwei.

hawa chadema ninjaa tu inawasumbua,wajinga hawa,tamaa mbele mauti nyuma,labda walizani jk kwenye sherehe hiyo kaweka nakitimoto nambege,ulafi wamsosi naulafi waposho za bunge,kalagabaho hao hawajui walifanyalo

Hapa sasa ina maana wote. wale waburuzaji na wale uliowasifia kuwa hawakubali kuburuzwa. Kama akili ni nywele na kila mtu ana zake, basi comrade naona una bonge la KIPARA!
 
actually hata mimi sikuwaona kina Mdee na Zitto...nilikuwa najiuliza wako wapi....wasaliti katika hao chadema siku zote wanajulikana....lakini chadema kimeshachukua umaarufu mkubwa tz, hakuna wa kukiangusha...
 
Back
Top Bottom