mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Wana JF wakati jana ukifanyika mkutano mkubwa pale Jangwani Makamanda wa CHADEMA waligawana viwanja ambapo Chiku Abwao alikuwa Ismani huku Makamanda Conchesca Lwamlaza(mbunge viti maalu kagera) Lucy Owenya(Mbunge viti maalum Kilimanjaro)na V J Nyerere waliunguruma katika viwanja vya Swea Nyamagana na Chuo kikuu cha SAUT,sambamba na kugawa vyeti kwa wahitimu(CHASO) chadema students association
Pia wana chama wa CCM 32(mabalozi)walikabidhiwa kadi za CHADEMA na Leo watakuwa Kemondo bay na Misenyi
Nawasilisha
Pia wana chama wa CCM 32(mabalozi)walikabidhiwa kadi za CHADEMA na Leo watakuwa Kemondo bay na Misenyi
Nawasilisha