CHADEMA Wafunga Barabara Kwa Saa 2 Baada ya Mkutano

ndo pale unakuja gundua kuwa polisi ndo chanzo cha vurugu. angalia wametembea hadi kinondoni hakuna mtu aliyeibiwa sim,kupigwa kisu ,kubabwa hakuna ila kama polisi wangelikuwepo watu wengeliibiwa hadi cmu unakumbuka yaliyotokea arusha.
 
kwa umati huo lazima magamba wamesalute mbaya ila mbona kama naona kusika dola ni ngumu sana kwa jinsi ambavyochadema wanafanya ningependelea hayo yote yangefanyika 2014?

Hatuwezi kusubiri mwaka 2014 ukizingatia mwaka huo kutakuwa na chaguzi za serikali ya mitaa ambayo kimsingi ndiyo serikali.
 
Tujihadhali isije ikawa umati wa wapambe wasio piga kura!!!

hiyo ilikuwa zamani watu hawana uelewa. Arumeru ccm walijidanganya vijana hawaendi kupiga kura wakaumbuka. sasa subiri marekebisho ya daftari la kura ndo utaona mziki wake. mi mwnyw nilikuwa si mpiga kura lkn mwaka jana nilienda kumpigia Mdee
 
Kova aliogopa nini sasa? Mbona kila kitu kimeenda safi???

Intelijensia ni ipi walitumia?
 
wewe ule umati wote ni CHADEMA ivi bado mawazo yako ni utawala wa chama kimoja cha mafisadi tunataka mabadiliko nani angejua leo hii Gadaffi angewawa na wanachi kuwa makini sana watanzania sasa tumeamka tunataka mabadiliko hatutaki longo longo tena. Tunazidi kuwa maskini kila kukicha kwa sababu ya uongozi wa kifisadi, kifamilia na kujuana TUTAFIKA wapi? We want changes
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom