Elections 2010 Chadema wafanye malinganisho kati ya kura vituo na taarifa za tume kuna wizi mkubwa

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Kura zinapohesabiwa vituoni na mawakala kuweka saini za kukiri kuwa matokeo ni sawa ni ushahidi unaojitoshereza kwa CHADEMA kutumia katika kufanya malinganisho ya kura zilizo kwenye karatasi ya matokeo YA TUME kwa kila kituo.

Malinganisho haya yatatusaidia kujua kama kuna wizi wa kura au la.Kuna taarifa za kusikitisha kuwa wizi wa kura za rais unafanyika kwa kiwango kikubwa sana na huenda JK AKAPITA KWA 80%+.

Matokeo haya kwa bahati nzuri yanapita katika mfumo wa komputa ambao tayari kuna wajanja wanaingilia mawasiliano hayo na kuharibu taarifa matokeo yake kura za DR.SLAA Zinazidi kupungua. Msitake ushahidi ili tusijicheleweshe kujadili ni kwamba wasimamizi wameanza kutoa siri hizo kuwa kuna mchezo mchafu.

NINI KIFANYIKE
Wataalamu wa computer wana usemi wao wa kitaalam unasema GABBAGE IN GABBAGE OUT.Kwa maana kwamba ukiweka wrong data utapata wrong result(output).
Tunatakiwa kutunza sana PRIMARY DOCUMENTS(Matokeo ya kura vituoni) ili itusaidie kufanya RECONCILIATION LAZIMA TUWANASE TU.
KUNA JAMAA YANGU NI MSIMAMIZI AMESEMA KWA UCHUNGU SANA ANASHAURI TUTUNZE PRIMARY RESULTS NA TUTENGENEZE TAARIFA YA MALINGANISHO NA DATA ZA TUME .
 
Kura zinapohesabiwa vituoni na mawakala kuweka saini za kukiri kuwa matokeo ni sawa ni ushahidi unaojitoshereza kwa CHADEMA kutumia katika kufanya malinganisho ya kura zilizo kwenye karatasi ya matokeo YA TUME kwa kila kituo.

Malinganisho haya yatatusaidia kujua kama kuna wizi wa kura au la.Kuna taarifa za kusikitisha kuwa wizi wa kura za rais unafanyika kwa kiwango kikubwa sana na huenda JK AKAPITA KWA 80%+.

Matokeo haya kwa bahati nzuri yanapita katika mfumo wa komputa ambao tayari kuna wajanja wanaingilia mawasiliano hayo na kuharibu taarifa matokeo yake kura za DR.SLAA Zinazidi kupungua. Msitake ushahidi ili tusijicheleweshe kujadili ni kwamba wasimamizi wameanza kutoa siri hizo kuwa kuna mchezo mchafu.

NINI KIFANYIKE
Wataalamu wa computer wana usemi wao wa kitaalam unasema GABBAGE IN GABBAGE OUT.Kwa maana kwamba ukiweka wrong data utapata wrong result(output).
Tunatakiwa kutunza sana PRIMARY DOCUMENTS(Matokeo ya kura vituoni) ili itusaidie kufanya RECONCILIATION LAZIMA TUWANASE TU.
KUNA JAMAA YANGU NI MSIMAMIZI AMESEMA KWA UCHUNGU SANA ANASHAURI TUTUNZE PRIMARY RESULTS NA TUTENGENEZE TAARIFA YA MALINGANISHO NA DATA ZA TUME .[/QUOTE

CHADEMA SI ILIWEKA MAWAKALA SEHEMU ZOTE?EASY!
 
Wafanye wizi lakini wakae wakijua kuwa hilo jinamizi litawaandama tu, wao na pesa sisi na mungu
 
kura zinapohesabiwa vituoni na mawakala kuweka saini za kukiri kuwa matokeo ni sawa ni ushahidi unaojitoshereza kwa chadema kutumia katika kufanya malinganisho ya kura zilizo kwenye karatasi ya matokeo ya tume kwa kila kituo.

malinganisho haya yatatusaidia kujua kama kuna wizi wa kura au la.kuna taarifa za kusikitisha kuwa wizi wa kura za rais unafanyika kwa kiwango kikubwa sana na huenda jk akapita kwa 80%+.

matokeo haya kwa bahati nzuri yanapita katika mfumo wa komputa ambao tayari kuna wajanja wanaingilia mawasiliano hayo na kuharibu taarifa matokeo yake kura za dr.slaa zinazidi kupungua. Msitake ushahidi ili tusijicheleweshe kujadili ni kwamba wasimamizi wameanza kutoa siri hizo kuwa kuna mchezo mchafu.

nini kifanyike
wataalamu wa computer wana usemi wao wa kitaalam unasema gabbage in gabbage out.kwa maana kwamba ukiweka wrong data utapata wrong result(output).
tunatakiwa kutunza sana primary documents(matokeo ya kura vituoni) ili itusaidie kufanya reconciliation lazima tuwanase tu.
kuna jamaa yangu ni msimamizi amesema kwa uchungu sana anashauri tutunze primary results na tutengeneze taarifa ya malinganisho na data za tume .[/quote

chadema si iliweka mawakala sehemu zote?easy!

are u sure?
 
Kwenye swala la computer programming hata wasimamizi wakiwepo haisaidii hapo tumepigwa bao la itokee kati wa hao it specialist atokee mtu mpenda haki. Ila ni vizuri kutunza hard copy kutoka kwa wasimamizi kisha zijumlishwe manually for comparison ili kuhakiki. Kama kuna tofauti kubwa basi tujipange kuikataa hiyo technolojia next time.isije ikawa kama usa wakati bush alipompiga algoa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom