CHADEMA wafanya Press Conference; yaliyojiri Singida- Ndago na yatokanayo

siwezi kushangaa chadema kuua mwana ccm,namfahamu vyema waitara ana roho mbaya na muuaji kabisa,aliandaa vijana wakamwagia mtu acid igunga,aliandaa watu wenye mapanga kukatakata watu busanda,aliandaa kundi likawapiga mawe viongozi wa ccm tarime,aliongoza kundi lililomuua mwenyekiti wa chadema usa river,bado chadema waliua dereva wa ccm bariadi,kwa chadema wametamka wazi kuwa wao damui imwagike hawajali kinachotakiwa ni kuingia ikulu!
ukisoma vyema story ya huyu jamaa unaona palikuwwa na taarifa za vijana na kwa maana hiyo palilkuwa na maandalizi ya kuwakabili,je unawezaje kukanusha kwamba hukuua!
Wewe ni tone katika bahari mwambie aliekutuma huku jamvini hakufai kuna watu wana akili kubwa za kupambanua mambo na kama ni akili zenu ndogo zipelekeni kwenye vikao vyenu vya nec mnakopanga namna ya kuua makada wenu ili msingizie CDM,kumbuka hakuna siri chini ya jua!!!!
 
mungu wabariki wote waliosimama katika haki na uwaumbue wote walio na hila katika hili.
aamiiiiiiiiiiin.

CDM kwenye hili tukio la Singida wamehusika wazi wazi kutoa roho ya binaadamu mwenzao kwa uroho wa madaraka. Sheria ichukue mkondo wake, na wale wote walio husika wakamatwe na wasipewe dhamana kwani kosa la mauaji halina dhamana.

Wewe ni tone katika bahari mwambie aliekutuma huku jamvini hakufai kuna watu wana akili kubwa za kupambanua mambo na kama ni akili zenu ndogo zipelekeni kwenye vikao vyenu vya nec mnakopanga namna ya kuua makada wenu ili msingizie CDM,kumbuka hakuna siri chini ya jua!!!!

Waitara akamatwe haraka iwezekanavyo ! huyu jamaa nakumbuka kwenye kampeni za igunga aliisha wahi kutoa kauli kuwa cdm na wao wataua, na kauli hiyo haikuwahi kukanushwa na kiongozi au kikao chochote cha CDM ,sasa hili laonyesha ni utekelezaji wa maagizo ya vikao vya siri vya cdm

Kwa kweli tunawashukuru wananchi wengi wa Ndago walioonesha ujasiri mkubwa kuweza kuwaondoa vijana wale eneo la mkutano, kisha mkutano ukaendelea, huku wananchi wakionesha kila hamasa ya kufurahia hoja kutoka kwa wazungumzaji, akiwemo Mheshimiwa John Mnyika, ambaye aliombwa ahudhurie ziara hiyo kwa nafasi yake ya Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA.

wakawapeleka wapi?
 
cdm kwenye hili tukio la singida wamehusika wazi wazi kutoa roho ya binaadamu mwenzao kwa uroho wa madaraka. Sheria ichukue mkondo wake, na wale wote walio husika wakamatwe na wasipewe dhamana kwani kosa la mauaji halina dhamana.

una ushahidi kuwa aliyeuwa ni chadema?
 
Wewe ni tone katika bahari mwambie aliekutuma huku jamvini hakufai kuna watu wana akili kubwa za kupambanua mambo na kama ni akili zenu ndogo zipelekeni kwenye vikao vyenu vya nec mnakopanga namna ya kuua makada wenu ili msingizie CDM,kumbuka hakuna siri chini ya jua!!!!

Nazan wewe hujui usemalo,kama wewe upo janvini kwa maelekezo ni wewe na aliyekutuma,hapa kila mtu anatoa uhuru wa mawazo yake na kama unazan kila atakayekuja anatakiwa aunge mkono hoja za kipumbavu umechemsha sana,tutakupinga mpaka utaelewa kuwa wapo watu hawakubaliani na upumbavu wenu.
 
siwezi kushangaa chadema kuua mwana ccm,namfahamu vyema waitara ana roho mbaya na muuaji kabisa,aliandaa vijana wakamwagia mtu acid igunga,aliandaa watu wenye mapanga kukatakata watu busanda,aliandaa kundi likawapiga mawe viongozi wa ccm tarime,aliongoza kundi lililomuua mwenyekiti wa chadema usa river,bado chadema waliua dereva wa ccm bariadi,kwa chadema wametamka wazi kuwa wao damui imwagike hawajali kinachotakiwa ni kuingia ikulu!
ukisoma vyema story ya huyu jamaa unaona palikuwwa na taarifa za vijana na kwa maana hiyo palilkuwa na maandalizi ya kuwakabili,je unawezaje kukanusha kwamba hukuua!
Aibu kuu hii!
Kiongozi/Kada mzima kama wewe na mamlaka uliyopewa huyatumii vema! Kunda serikali na kuongoza wananchi mapa 2015.
Ndugu kama CHADEMA ni wauwaji na wewe unayodhamana ya kulinda raia na mali zao kwa nini hujawakamata wote akiwemo Mwita? Ni wazi CCM imeshindwa kutawala hili unalijua ! Any way anajua utakuwa atumikia cheo cha sandakalawe kama U-RC, UDC, na vingine visivyo na TBS. Ndiyo maana sisi wananchi wengi tulikukataa CCM! Msirudiei tena 2015 ni mwisho wenu.
badala ya kuusema ukweli unadaganya utakuta ni msomi mzuri tu! Mshauri vyema JK hata kama shule yako ni ya kuunga unga na vyuo vikuu vya kata. Shame upon U!
 
siwezi kushangaa chadema kuua mwana ccm,namfahamu vyema waitara ana roho mbaya na muuaji kabisa,aliandaa vijana wakamwagia mtu acid igunga,aliandaa watu wenye mapanga kukatakata watu busanda,aliandaa kundi likawapiga mawe viongozi wa ccm tarime,aliongoza kundi lililomuua mwenyekiti wa chadema usa river,bado chadema waliua dereva wa ccm bariadi,kwa chadema wametamka wazi kuwa wao damui imwagike hawajali kinachotakiwa ni kuingia ikulu!
ukisoma vyema story ya huyu jamaa unaona palikuwwa na taarifa za vijana na kwa maana hiyo palilkuwa na maandalizi ya kuwakabili,je unawezaje kukanusha kwamba hukuua!

Wewe mchangiaji acha ushabiki wa kijinga. kama una ashahidi wa mauaji na uhalifu wote aliofanya Mwikabe si upeleke polisi akamatwe? maana sioni sababu ya mhalifu mkubwa kama huyu awepo mtaaani hadi sasa hivi akihatarisha maisha ya wananchi otherwise polisi na vyombo vingine vya usalama wameshindwa kazi na ndio maana wananchi hawana tena imani na vyombo vya usalama
 
Umetumwa!Nani asiyeelewa vurugu za CCM. Mlijiumbua waza wakati wa Uchaguzi wa wabunge katika vyama. Vurugu zilizotokeazilikuwa za wanachama wanu wenyewe? Mchezo mchafu unaoendelezwa unafahamika wazi. Mkumbuke wengine walikuwa pamoja nanyi katika chama, na wametoka wanaweka adharani mbinu zenu.
Ushauri, tujenge hoja zaidi na vitendo ili kuokoa taifa. Hii biashara ya malumbano ya bunuwasi haitajenga.
Kuna matatizo ya kutatua nchini na sio malumbuna yasiyoleta tija

nashangaa unakimbilia kujibu kama mtoto wa chekechea!
wewe hujui kuwa chadema wanaua watu ovyo kila uchaguzi unapotokea?
bariadi waliua,busanda waliua,igunga waliua na yule mwenyekiti wa chadema usa river walimuuua wao baada ya kumtuhumu kuisaidia ccm,mambo haya kama huyajui basi upambe wako katika chadema bado sawa na houseboy ndani ya nyumba.
 
Kwa kweli tunawashukuru wananchi wengi wa Ndago walioonesha ujasiri mkubwa kuweza kuwaondoa vijana wale eneo la mkutano, kisha mkutano ukaendelea, huku wananchi wakionesha kila hamasa ya kufurahia hoja kutoka kwa wazungumzaji, akiwemo Mheshimiwa John Mnyika, ambaye aliombwa ahudhurie ziara hiyo kwa nafasi yake ya Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA.

wakawapeleka wapi?

Kawaulize askari walikuwepo kwenye mkutano.
 
siwezi kushangaa chadema kuua mwana ccm,namfahamu vyema waitara ana roho mbaya na muuaji kabisa,aliandaa vijana wakamwagia mtu acid igunga,aliandaa watu wenye mapanga kukatakata watu busanda,aliandaa kundi likawapiga mawe viongozi wa ccm tarime,aliongoza kundi lililomuua mwenyekiti wa chadema usa river,bado chadema waliua dereva wa ccm bariadi,kwa chadema wametamka wazi kuwa wao damui imwagike hawajali kinachotakiwa ni kuingia ikulu!
ukisoma vyema story ya huyu jamaa unaona palikuwwa na taarifa za vijana na kwa maana hiyo palilkuwa na maandalizi ya kuwakabili,je unawezaje kukanusha kwamba hukuua!

Acha ushabiki wa kipuuzi we kama mwana CCM mwenye busara ungetafakari wale waleta vurugu wanaodaiwa ni wa chama chako walikwenda kwenye mkutano wa chama kingine kufanya nini kabla ya kuanza kutuhumu chama kingine kinahusika na mauaji.
 
siwezi kushangaa chadema kuua mwana ccm,namfahamu vyema waitara ana roho mbaya na muuaji kabisa,aliandaa vijana wakamwagia mtu acid igunga,aliandaa watu wenye mapanga kukatakata watu busanda,aliandaa kundi likawapiga mawe viongozi wa ccm tarime,aliongoza kundi lililomuua mwenyekiti wa chadema usa river,bado chadema waliua dereva wa ccm bariadi,kwa chadema wametamka wazi kuwa wao damui imwagike hawajali kinachotakiwa ni kuingia ikulu!
ukisoma vyema story ya huyu jamaa unaona palikuwwa na taarifa za vijana na kwa maana hiyo palilkuwa na maandalizi ya kuwakabili,je unawezaje kukanusha kwamba hukuua!

Mbona hujapeleka taarifa polisi akamatwe au ndizo propaganda mufilisi za Lumumba?
 
Waitara akamatwe haraka iwezekanavyo ! huyu jamaa nakumbuka kwenye kampeni za igunga aliisha wahi kutoa kauli kuwa cdm na wao wataua, na kauli hiyo haikuwahi kukanushwa na kiongozi au kikao chochote cha CDM ,sasa hili laonyesha ni utekelezaji wa maagizo ya vikao vya siri vya cdm

Mtajitafuta na tochi mchana kweupe. Tupeni taarifa za mauaji ya Masoud Mbwana mmefikia wapi na uchunguzi. Hili la Dr. Uli limebuma mkaanze upya. Na hili la Ndago kanusheni hiyo orodha.
 
MUNGU awabariki wote waliosimama katika haki na uwaumbue wote walio na hila katika hili. CHADEMA PIGENI KAZI. Endeleeni na kazi nzuri kwani hata mchango wenu Bungeni tunauona, na tunatambua jinsi Bunge na Speaker, Naibu Speaker pamoja na wenyekiti wanavyopindisha kanuni ili muonekana hoja zenu hazina mashiko. Wananchi wanatambua na mavuno ni kipindi cha uchaguzi 2015 kwani tutawapa kura zetu na tutahakikisha tunazilinda kwa hali yeyote na kwa namna yeyote ile.
kwani ccm imeshindwa kusikiliza sauti za wanyonge na walalahoi, na imekosa uzalendo vilevile tunatambua njia zinazotumiwa na nguvu za dola ili kuwahujumu. Napenda kuwahakikishia kwamba hakuna siri ila kila tutakachopata ukiwemo ushahidi na ubadhitifu wowote ule tukiwa kama wazalendo wa hii nchi tutawapatia tuko na nyie bega kwa bega.

msikate tamaa kwani muda wa mabadiliko umeshafika.
 
Mi nadhani ccm wawe makini sana na Mchemba atawaletea matatizo. Pili ajue wazi hawezi shindana na nguvu ya umma. Pls Broo huwezi zuia jua kwa kirago. Kazi njema mjengoni ila tafakari sana Mr Mchemba damu za watu zitakulilia sana. take care Broo. naomba Kuwasilisha.

Huyu Jamaa Haaminiki... Ukimsikiliza sauti yake ina nguvu na ukatili; ina raise uwalakini

Sijui CCM ilitengeza JIMBO kwasababu ya yeye; kama NYAMAGANA kwa LAU MASHA
 
siwezi kushangaa chadema kuua mwana ccm,namfahamu vyema waitara ana roho mbaya na muuaji kabisa,aliandaa vijana wakamwagia mtu acid igunga,aliandaa watu wenye mapanga kukatakata watu busanda,aliandaa kundi likawapiga mawe viongozi wa ccm tarime,aliongoza kundi lililomuua mwenyekiti wa chadema usa river,bado chadema waliua dereva wa ccm bariadi,kwa chadema wametamka wazi kuwa wao damui imwagike hawajali kinachotakiwa ni kuingia ikulu!
ukisoma vyema story ya huyu jamaa unaona palikuwwa na taarifa za vijana na kwa maana hiyo palilkuwa na maandalizi ya kuwakabili,je unawezaje kukanusha kwamba hukuua!

acha propaganda ndg.
 
Mbunge wa serengeti dr kebwe stephen kebwe akichangia bungeni jioni hii ameitaja chadema kuwa ndio inayohusika moja kwa moja na mauwaji ya kijana huko iramba singida.amesema hakuna haja ya kuunda tume,wahusika wanafahamika,wachukuliwe hatua.
 
Back
Top Bottom